mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Mbinu ya Kunyamaza kwa Samia Suluhu kumepunguza kwa sehemu kubwa hekaheka mtandaoni

    Hamjambo! 1. Kama mnakumbuka vizuri. Baada ya MO29 moja ya mbinu nilizoandika zitakazoshusha hasira za watu ni pamoja na Samia Suluhu kutozungumza zungumza mara kwa mara kwenye luninga. 2. Mbinu hiyo inafanya kazi haswa tena ni mbinu kamilifu hasa ukiwa upo upper hand. Lakini ukiwa lower hand...
  2. ELIA MWAPINGA

    Jinsi ya Kuanza Kutengeneza Pesa Mtandaoni Bila Mtaji (Kwa Wanaoanza Kabisa)

    ❌ Tatizo la Watu Wengi: Watu wengi wanataka kutengeneza pesa mtandaoni lakini wanaamini bila mtaji haiwezekani. Ukweli ni kwamba… mtaji mkubwa si pesa, ni maarifa + muda +uvumilivu . Njia 3 za kutengeneza pesa mtandaoni ambazo unaweza kuanza Bila Mtaji 1️⃣ Kuuza Ujuzi (Hata Kama Unaona Ni...
  3. M

    Nafurahishwa na vita ya maneno mtandaoni kati ya wakristo na Waislamu

    Kwa siku kadhaa kwenye nchi hii nimeshuhudia vita ya kimaneno katika watu wa imani ya kikristo na kiislamu na tena leo vita imechagizwa baada ya yule shekhe barahiyan kusema marufuku waislamu kula chakula cha krismasi kiukweli ukiona comment za wachangiaji wakristo na Waislamu nabaki nacheka na...
  4. Fbn

    Chawa mtandaoni mnazidi kuleta mambo ya ajabu

    Kuna chawa walitengeneza picha kuwa asilimia 98 aliongea na Rais wa Marekani. Kumbe sisi huku ndani tukufahamu walifanya hivyo kuaminisha dunia. Kuwekea kikwazo na Marekani sababu ya udanganyifu na mauaji ambayo wanatumia nguvu nyingi. Walivyoona hivyo walifuta ila hii ni sehemu ya ushaidi.
  5. Damaso

    Kodi ya Watengeneza Maudhui Mtandaoni: Ubunifu unakufa taratibu

    Ni Desemba 16, 2025, Kampuni ya Meta ilithibitisha rasmi kupokea ombi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) la kukata kodi ya asilimia 5 kwa kila malipo yanayolipwa kwa Watengeneza Maudhui (Content Creators) wanaoishi Tanzania. Utekelezaji wa mfumo huu unaanza Desemba 21, 2025, hatua inayozua...
  6. The Watchman

    Watiwa mbaroni kwa tuhuma za kuwatapeli kimapenzi 'mishangazi' mtandaoni

    Raia wa Ghana Frederick Kumi maarufu mtandoni ‘Abu Trica’ amekamatwa kwa tuhuma za utapeli wa kimapenzi na kuwaibia wazee na watu wazima ambao ni Wazungu nchini Marekani kiasi cha fedha Dola milioni 8 za Marekani. Waendesha mashtaka wa Marekani wanasema kijana huyo mwenye miaka 31, alitumia...
  7. Penguinelli Cactussini

    Kwa hiyo polisi walioko doria mtandaoni WAKO NORMAL wanavyoona watu wanavyoumia kisa wao?

    Enyi polisi mlioko doria mtandaoni MKO NORMAL mnavyoona watu wanavyoumia kuomboleza KUULIWA ndugu zao? Lakini Yesu aliwaonya muwe watu wa haki.
  8. Genius Man

    Gen Z wana-trend. Wamekubaliana uelekeo ni Ikulu na Bungeni. Msisahau sahani, vijiko, pilipili na ndizi ubwabwa utakuwepo #D9

    Gen z wana trend wamekubaliana uelekeo ni ikulu na bungeni msasahau sahani, vijiko, pilipili na ndizi ubwabwa utakuwepo #D9.
  9. Genius Man

    Wamama wafiwa wa vijana waliouawa wanasema #D9 wanaandamana na kwamba vijana wao walikuwa na sababu za msingi

    Tetesi, kuna baadhi ya video mtandaoni wamama wafiwa wa vijana walio uwawa wanasema #D9 wanaandamana na kwamba vijana wao walikuwa na sababu za msingi. Maandamano hayptokuwa tu ya Gen z kwenye round hii tutakuwa na wazazi nchi nzima tutakinukisha.
  10. lost files

    PostGE2025 WARNING:⚠️Namna Serikali inavyowakamata Wanaotuma picha Za Mauaji Mtandaoni: Na jinsi unaweza kujilinda

    Bila Salamu., Nilitaka kuandika hili kama comment katika Uzi Fulani days ago but sikufanya hivyo Sababu niliogopa kwamba kwa kufanya hivyo nitaogopesha watu wanaotuma picha na videos,pili niliogopa kua kama Serikali haifanyi nilichofikiria basi nitakachosema ndio kitawapa mbinu na nini Cha...
  11. mirindimo

    PICHA: Wauaji wa vijana kwenye maandamano wakijitapa mtandaoni

  12. Robert Heriel Mtibeli

    Huko mtandaoni Waislamu wamshukia sheikhe Pembe kwa kusema Amani ndio inaleta Haki

    Habari za jioni! Sheikhe Pembe alikuwa akitoa maoni yake kama watu wengine lakini akasahau cheo chake cha usheikhe na dini aliyomo ambayo ni uislamu inamtaka awe mwingi wa tahadhari anapozungumza mbele ya Umma kwani anaweza kuudhalilisha uislamu na waislamu wa Tanzania. Pembe alikuwa anajaribu...
  13. BigTall

    Kupuuza maoni ya Wananchi Mtandaoni: Hatua ndogo inayoweza kuigharimu Taifa kubwa

    Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) iliyochapishwa Julai 2025 inaonyesha kuwa idadi ya watumiaji wa intaneti nchini imefikia milioni 54 kufikia robo ya nne ya Mwaka wa Fedha 2024/2025, hilo ni ongezeko kubwa kutoka milioni 29, Mwaka 2020. Katika kipindi cha miaka minne hiyo...
  14. figganigga

    Chawa wa CCM kaniomba msamaha kwa mambo anayopost Mtandaoni

    Kuna ndugu yangu ni chawa wa CCM(Jina Kapuni) Nilimfungia safari kuuliza kwanini anaunga mkono CCM na Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan ambaye Mdomo waake haukemei Mauaji wala hajali anaowaongoza wakipotea? Nilienda Iringa kwa Ukali sana. Nia ni tuvunje urafiki na kumblock hadi kwenye memory...
  15. F

    Wakuu naomba mnisaidie app za mikopo mtandaoni

    App Gani ya mikopo ipo play store naweza kupata hela ya kula Leo nikanunulia familia yangu mama pamoja na wadogo zangu chakula Sina shughuri yoyote ya kuniingizia kipato, nategemea kibarua, Mara ya mwisho kupata kazi nilitwa sehemu kuchinja kuku walikuwa wanaumwa nikapata angalau na mboga...
  16. DogoWaNjombe

    GE2025 Gerson Msigwa: Mengi yanayozungumzwa Mtandaoni hayana ushahidi, wanatumia pages zangu kupata followers

    Mtandaoni kuna maoni hasi dhidi ya Serikali au Viongozi wa Serikali, hamuoni kuna kiwango fulani Wananchi hawapendezwi na kinachoendelea? Gerson Msigwa: Mengi yanayozungumzwa hayana ushahidi, tatizo hili siyo Tanzania tu, mitandao imekuwa ikitumika vibaya katika Nchi nyingi, sasa hivi kuna AI...
  17. Penguinelli Cactussini

    GE2025 Ni kweli kwamba Tar 29-10 watu watatoka kweli?

    Maandamano aliyoitishaga Mange Kimambi yalileta badiliko lolote wakati ule? Je, kipindi hiki NDIO tuseme chuki dhidi ya serikali iko kwenye peak kuliko miaka yote TANGU uhuru? Gen Z wa wakati huu ni bora na wanataka mabadiliko tofauti na miaka ya nyuma? Enyi watu wazima ambao mliona...
  18. GenuineMan

    GE2025 Wangapi Tarehe 29 October 2025, Tutaandamana Mtandaoni au Moyoni

    Wale ambao tunaona mambo hayaendi sawa. Tunatamani kuandamana ila bado hatuko tayari kutoka barabarani, tunaogopa kupingwa na polisi, tunaogopa familia zetu tutaziachaje. Tunaogopa kuumizw au kufa. Uwanja ni wetu, tujuane keyboards warriors, tusione haya kukiri kuwa sisi ni waandamanaji wa...
  19. V

    Ujuzi Wa Kuwa Nao Ili Utengeneze Pesa Nyingi Mtandaoni

    Kati Ya Ujuzi Muhimu Zaidi Unaotakiwa Kuwa Nao Ili Utengeneze Pesa Mtandaoni Ni Huu Ujuzi Wa Aina 3 Hapa Chini... "Digital Marketing Skills,Copy Writing Skills & Closing Skills" ...Huu Ujuzi Huwa Napenda Kuuita Triplet PACKAGE Skills...
  20. R

    Mbunge wa Narok atoa kauli Kuhusiana na Video iliyosambaa Mtandaoni ya ndugu watatu kumshambulia Dada yao Mjamzito kumkataa mwanaume waliyemchagulia

    Video inayosambaa mitandaoni imeibua hasira kubwa baada ya kuonyesha mwanamke mjamzito akishambuliwa vikali na wanaume watatu wenye fimbo katika Nkareta, Narok Kaskazini. Taarifa zinaonyesha kuwa mwanamke huyo, anayejulikana kama Lepeita, alishambuliwa na ndugu zake wa kiume baada ya kuchagua...
Back
Top Bottom