Wakuu naomba mnisaidie app za mikopo mtandaoni

Tang ubav

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
2,788
Reaction score
4,063
App Gani ya mikopo ipo play store naweza kupata hela ya kula Leo nikanunulia familia yangu mama pamoja na wadogo zangu chakula Sina shughuri yoyote ya kuniingizia kipato, nategemea kibarua,

Mara ya mwisho kupata kazi nilitwa sehemu kuchinja kuku walikuwa wanaumwa nikapata angalau na mboga nikaondoka na alfu Tano na mboga naomba mnisaidie ndugu 😔🙏
 
Pole mkuu tafuta mtu unapoishi omba akupe kazi ya ufanye anaweza kukupa angalau na hisani kuliko kukopa kwenye mitandao ambayo haikupi pesa nyingi umezidi sana elfu 10 tu kisha baada ya wiki waanze kukuandama mpaka utupe na line kabisa.
 
App Gani ya mikopo ipo play store naweza kupata hela ya kula Leo nikanunulia familia yangu mama pamoja na wadogo zangu chakula Sina shughuri yoyote ya kuniingizia kipato, nategemea kibarua,

Mara ya mwisho kupata kazi nilitwa sehemu kuchinja kuku walikuwa wanaumwa nikapata angalau na mboga nikaondoka na alfu Tano na mboga naomba mnisaidie ndugu 😔🙏
Pole sana mkuu wangu tafuta hata kazi za kujitolea tu, mkuu uwe unapiga au nenda kwenye kampuni za ulinzi ukaombe kazi huwezi kukosa.

Ingia tu kwenye Google search tafuta kampuni za ulinzi zilizopo karibu na wewe kisha nenda ukajaribu hahati yako hii itakusaidia
 
App Gani ya mikopo ipo play store naweza kupata hela ya kula Leo nikanunulia familia yangu mama pamoja na wadogo zangu chakula Sina shughuri yoyote ya kuniingizia kipato, nategemea kibarua,

Mara ya mwisho kupata kazi nilitwa sehemu kuchinja kuku walikuwa wanaumwa nikapata angalau na mboga nikaondoka na alfu Tano na mboga naomba mnisaidie ndugu 😔🙏
Mara ya mwisho kupata kazi nilitwa sehemu kuchinja kuku walikuwa wanaumwa nikapata angalau na mboga nikaondoka na alfu Tano na mboga naomba mnisaidie ndugu 🥺🥺🥺🤔
 
Back
Top Bottom