mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Zungu atoa ufafanuzi kuhusu kodi ya mtandao

    Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, alipendekeza kuwepo kwa kodi ya Uzalendo itakayokatwa kila siku kupitia Mitandao ya Simu kwa kila Mtanzania ili kuwa chanzo kipya cha mapato kwa Serikali. Zungu amejibu kwa ku-comment kwenye ukurasa wa Instagram wa JamiiForums akieleza kuwa Tsh. Bilioni 540...
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya

    Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya Na Kelvin Isenye Ogome Kutokana na ongezeko la matumizi ya simu tamba na za kisasa pamoja na kuimarishwa kwa mtandao, imekuwa rahisi kwa idadi kubwa ya Waafrika kutumia mtandao katika maisha yao ya kila siku, kama vile...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Dereva wa Bajaj wa mtandaoni

    Habari wakuu, Natafuta dereva wa bajaji (sio wa gari)mwaminifu, mchapa kazi na Hana visingizio mwenye leseni hai ambaye ana akaunti hai ya bolt na Uber, mwenye uzoefu angalau mwaka mmoja na mkazi wa Dar na anayepaki maeneo ya Sinza, Mwenge, Makumbusho, Moroco, Mikocheni, Oysterbay au Masaki...
  4. JamiiForums Tanzania Jifunze fursa 6 za biashara mtandaoni

    Hivi sasa teknolojia imekua ndio kila kitu hakuna mahali unapitia pasipo kutumia teknolojia, hiyo inadhirisha kuwa uwezekano wa kufanya biashara mtandaoni ni mkubwa sana cha msingi ni kujua ni vitu gani vya kufanya ili kuweza kuongeza kipato chako. Kwa kuanza basi ni vyema nikwambie kabisa kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni Kiongozi au tapeli? Kwanini Mamlaka zinamlea kiasi hiki?

    Kama ilifikia mahali kiongozi anatoka eneo la himaya yake yake ya kazi anakwenda kuvamia maduka ya watu, kwanini kiongozi kama huyu asiitwe jambazi? Huu unyang'anyi au uporaji wa mali za watu usiku unatumwa na nani? Halafu mpuuzi moja akitoka hapo anamtaja hadi Mungu. Kwa mujibu wa gazeti...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuwakubali tulio nao; wanawake wanatuibia sana mtandaoni

    Mim kila siku natoka asubuh kuna eneo flan napitab..sasa leo ni mara ya tatu namwona mdada flan hiv famous sana instagram kwa picha zake nzur nzur m classy....picha zake ni viwanja vikal na kwenye instagrm she is veeeeery light skin. Ila sasa huyu dada had naandika uzi huu asubuh leo mara ya 3...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba muongozo kuhusu suala hili la kufundisha mtandaoni

    Habari wanajukwaa, Naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye uzoefu wa kuwa tutor (kwa somo lolote) mtandaoni; hususan kufundisha Kiswahili kwa watu wa nje. Ni mambo gani ya msingi ya kuzingatia? Asante.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapoagiza bidhaa Mtandaoni

    Chunguza Maelezo ya Bidhaa. Chukua muda kusoma na kuelewa yaliyomo kwenye bidhaa unayotaka kununua. Usidanganyike na picha zilizohaririwa vizuri zinazoweza kupotosha muonekano halisi wa kitu hicho. Linganisha bei za Bidhaa zinazofanana, lengo lako ni kununua bidhaa bora kwa bei nzuri. Soma...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapotangaza biashara mtandaoni

    MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOTANGAZA BIASHARA MTANDAONI Jifunze na uitambue hadhira yako unayoilenga Ikiwa huijui hadhira yako ni ipi, huwezi kuipa kile inachotaka, na kisha nayo haitakupa kile unachotaka. Wafahamu kwa umri wao, wanaishi wapi, wanazungumza lugha gani na wapo katika hatua gani...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge kujadili Muswada wa marekebisho ya sheria ya makosa Mtandaoni

    Tough times await artistes, video music producers, advertisers, and individual computer users following proposed tough laws to help tame pornography in the country. Garissa Township MP Aden Duale, in the proposals seen by the Star, wants it made illegal to possess or publish pornography, in any...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini unapokutana na Mtu uliyefahamiana naye mtandaoni

    Unapopanga kukutana ana kwa ana na mtu ambaye mmefahamiana kupitia mtandao ni vyema ukachukua tahadhari kwa kuwa sio kila mtu ni mkweli kwa namna anavyojitamulisha kwako, umri, jinsia, na nia yake kwako. Ikiwa ni lazima kukutana naye, fanya utafiti kuhusu mtu huyo ili ufahamu ukweli wake...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaishiwa bando haraka? Fahamu namna ya kudhibiti matumizi yako ya data mtandaoni

    Umeshawahi kuwa mhanga wa kifurushi chako kuisha kabla haujakusudia kiishe? Pengine umekuwa ukilalamika kuwa baadhi ya mitandao inakumalizia data zako, na hii inaweza kusababishwa na kutofahamu kiwango cha data kinachotumika kwa matumizi ya kawaida mtandaoni. Si rahisi kuweka makadirio ya moja...
  13. JamiiForums Tanzania Maudhui mtandaoni ni nini?

    Kuna sehemu nilisoma kwamba yuko mtu alitozwa faini ya Tsh milioni 5 kwa kuweka maudhui mtandaoni bila leseni kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA). Tunaandika, tunaweka picha, sauti nk. katika Facebook, tweeter, YouTube nk. Naomba kuelimishwa: Kipi ni maudhui na kuweka maudhui...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa Mtandaoni kwa kisingizio cha mapenzi

    Matapeli huko mtandaoni hutengeneza wasifu bandia kwenye tovuti halali za kutafuta wachumba. Wanatumia profaili hizi kujaribu kuingia kwenye uhusiano na mtu ili waweze kupata pesa zake na maelezo binafsi. Tapeli atakuwa na uhusiano mzuri na mtu huyo wakishazoeana ataanza kuombe pesa ili...
  15. JamiiForums Tanzania Hatma ya biashara za mtandaoni kwa Mtanzania

    Habarini za asubuhi wanajamvi, Kama tunavyojua, maisha baada ya Korona imekuwa remote. Sites kama vile upwork, fiverr na PeoplePerHour zimeshika kasi katika kuajiri "digital nomads", na waajiri wengi wamechukua njia hiyo kuhakikisha kazi zao zinaenda. Sasa naangalia maisha yangu kama Mbongo...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Vidokezo vitano vya kufuata ikiwa unaamua kutafuta mpenzi mtandaoni

    Unapoanza kuwa na hisia na mtu, kumbuka kwamba ikiwa hamjawahi kuonana ana kwa ana, hisia hizo sio halali. Kwa kuwa akili yako haina habari na taswira halisi kuhusu mtu huyo, kama ambavyo ungekuwa kama mngeonana ana kwa ana. Usijihusishe tu katika mahusiano ya kimtandao. Ni sawa kuanza kumjua...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaofanya biashara mtandaoni waanza kutozwa ushuru

    Kuanzia mwezi huu biashara za mtandaoni zitatozwa ushuru wa aslimia 1.5 kutokana na shughuli hizo za kidijitali. Kwenye taarifa mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini-KRA imesema kuwa sheria ya mwaka 2020 ilianzisha aina mpya ya ushuru wa kidijitali-DST ambao ulianza kutozwa tarehe Mosi mwaka...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ipi njia isiyo na fedheha ya kutongoza mwanamke mtandaoni ambaye hamjawahi onana?

    Mahusiano Ni kitu kizuri Mapenzi Ni kitu kizuri na Urafiki ni kitu kizuri. Sio mbaya kwa kijana kujipatia mahusiano,mpenzi au rafiki hapa JF au mitandao mingine kama JF isiyo ya kujiuza. Kwa mfano mtu anaweza kupata mchumba na baadae mke hapahapa JF. Kwani Kuna ubaya jamani? Nahisi Me na Ke...
  19. JamiiForums Tanzania Faida na hasara nilizozipata kutokana na CASINO za mtandaoni

    Mimi ni mlevi wa online CASINO hasa kutoka play Master na Meridian Bet. Nimeanza kuzicheza 2018 hivi. Nilizikuta tu mtandaoni bila kuelekezwa na mtu, nikajiunga na kuanza kucheza kwa dau dogo dogo la mia mia ila sasa hivi nacheza dau kubwakubwa. Faida nilizozipata ni hizi: 1. Muda wa kufanya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Muda niliopoteza kwa mtu asiyesahihi unanicost, je naweza pata mke tokea mtandaoni akawa mwema?

    Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, nataman kua na mwenza lakin kila nikiwaza jinsi ya Kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu, Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…