mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania 60% ya Raia Barani Afrika hawapo Mtandaoni

    Afrika ni eneo liliounganishwa na Intaneti kwa kiwango kidogo zaidi, ikielezwa takriban 60% ya Raia hawapo Mtandaoni. Hii inatokana na sababu mbalimbali ikiwemo gharama, Ujuzi kuhusu matumizi yake pamoja na uhaba wa Miundombinu unaokwamisha ufikiaji wa Huduma hiyo. Barani Afrika na Duniani...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti: 37% ya Nchi duniani hazina Uhuru Mtandaoni. Hali mbaya zaidi yaripotiwa China

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Freedom House Mwaka 2022, Mazingira ya Haki Za Binadamu Mtandaoni yamezorota katika Nchi 28. Katika Nchi 70 zilizofanyiwa Tathmini (sawa na 89% ya Watumiaji wa Intaneti Duniani) imebainika 37% Hazipo Huru, 34% zina Uhuru Kiasi na 18% zipo Huru. Kwa Mwaka wa Nane...
  3. M

    JamiiForums Tanzania TCU inatambua degree na diploma za mtandaoni?

    Naomba kujua kama hizi degree na diploma zinazotolewa mtandaoni na vyuo vya nje kama TCU inazitambua.
  4. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF yapokea barua ya Malalamiko ya Yanga dhidi ya Feisal

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (Kamati) limepokea malalamiko dhidi yako (FEISAL SALUM ABDALLAH) kutoka kwa Young Africans Sports Club (Klabu) kuhusu hali ya mkataba wako na Klabu. Kwa barua hii, unaitwa kufika binafsi na mshauri wako wa kisheria mbele ya Kamati siku ya Jumatano, tarehe...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uingereza: Ofisi za Gazeti la Guardian zapata shambulizi la mtandaoni

    Imeelezwa kuwa shambulizi hilo limeathiri miundombinu ya digitali na mifumo yake kiasi cha kusababisha wafanyakazi kutakiwa kufanyia kazi nyumba. Tovuti na mitandao yao ya kijamii haijaathiriwa, inaendelea kutoa taarifa kama kawaida. ========= Guardian hit by serious IT incident believed to...
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usafiri mtandaoni

    Jamaniiiii eh Nina plan ya kuanzisha usafiri mtandaoni ambapo kutakuwa na App ambayo mteja ataingia na kuchagua au kupata dereva. Mfano kama wanavyo fanya ping Utaratibu huwa upoje
  7. JamiiForums Tanzania Kampuni inayotangaza Kombe la Dunia 2022 yapata mashambulizi ya mtandaoni

    Kampuni hiyo ya New World TV ya Togo yenye haki ya kutangaza na kusambaza haki za michuano hiyo Kusini mwa Jangwa la Sahara imeeleza kuwa imepata mashambulizi kadhaa tangu kuanza kwa michuano hiyo. Inaelezwa kuwa moja ya seva inayosambaza visimbuzi ilipata mashambulizi ya virusi mara saba...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya mambo ya kupata mke mtandaoni yana ukweli?

    Tunaweza tukawa tupo kwenye mahusiano na wapenzi wetu tunaotarajia kuwaoa ila tunazinguana/kugombana kila siku, wakati kuna mitandao ambayo ipo kiganjani kwetu inaweza kututimizia haja ya mioyo yetu. Kiufupi, watu wengi hatuna muda wa kutongoza, hatuna muda wa kupita mitaani na kuangalia...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa Wazazi na Walezi wenye Watoto/Wanafunzi wakati wa likizo wasajili wafanye mitihani mtandaoni

    Je wewe ni mzazi au mlezi na unamtoto ambaye yupo likizo katika msimu huu wa sikukuu za christimas na mwaka mpya? Au je wewe ni mwanafunzi na ungetamani kujipima na wanafunzi zaidi ya elfu2 nchi nzima kupitia mitihani inayoendeshwa kwa njia ya mtandao? Taifa International Online School kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Data za watumiaji zaidi ya Milioni 487 wa WhatsApp zinauzwa mtandaoni

    Kuanzia November 16; taarifa za watumiaji hao zimevuja na zinauzwa mtandaoni. Taarifa hizi zikiwemo namba za simu, majina (kwa wanaoweka majina yao kwenye akaunti zao) na profile picture zimekusanywa na kuuzwa kwenye Dark Markets. Hakuna chats zilizovuja; data zinazouzwa ni namba za simu za...
  11. JamiiForums Tanzania Mnataka wenzenu Wale wapi?

    MNATAKA WENZENU WALE WAPI? Anaandika, Robert Heriel Unajua kuna watu ukiwatafakari utabaki unawashangaa Sana. Sijui wanafikiri kaa kutumia kiungo gani. Maana Kama wangetumia ubongo wasingefikiri Kwa namna hiyo. Unapojadili Jambo lolote lazima ushirikishe akili yako vyema ili usijidhalilishe...
  12. JamiiForums Tanzania House Girl / House maids wanavyouzwa mtandaoni nchi za mashariki ya kati

    Kuna App inaitwa 4SALE. Humo unauza/nunua kitu chochote ikiwemo mtu. Kwa miaka kadhaa imetumika sana kuwauza kina dada mtandaoni. Kinachotokea ni kwamba; mabinti/dada walioenda nchi za mashariki ya kati kufanya kazi za ndani wanauzwa mtandaoni kama watumwa. Ukimtaka mfanyakazi unaingia kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Usiamini kila unachokiona mtandaoni, Zamaradi hajanunuliwa gari na Mume wake

    Range ya Zamaradi Ilivyopatikana. Issue iko hivi Zamaradi alinunuaga nyumba kipindi yupo na Ruge, Ruge alimsaidia kununua hiyo nyumba. Then akanunua kiwanja mwenyewe kipindi yupo na Ruge, baada ya kuwa na Shabani wakaanza kujenga nyumba kwenye hiko kiwanja, ndiyo hiyo nyumba wanayoishi. Sasa...
  14. JamiiForums Tanzania Mkulima mbaroni kwa kumvunjia heshima Rais Samia na Dkt. Kikwete mtandaoni

    MKAZI wa Kidete mkoani Morogoro anayejishughulisha na kilimo,Piniston Nzali (20) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu mashtaka matatu ya kuchapisha mtandaoni taarifa yenye kuharibu hadhi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu...
  15. JamiiForums Tanzania Kenya: Msanii wa Injili aomba radhi baada ya picha zake za utupu kuvuja mitandaoni

    Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili eneo la Kati Mary Lincoln amejikuta akiingia Kanisani kutubu na kutafuta maombi baada ya picha na video zake za utupu kusambazwa mitandaoni. Aliandamana na wasanii kadhaa akiwemo Karangu wa Muraya ambaye pia amekuwa akivuma mtandaoni kwa madai ya kuchukua...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fikiria mara mbili kabla ya kuweka picha ya mtoto wako mtandaoni

    Wazazi au walezi wanapenda sana kuweka taarifa au picha na video nyingi sana kuhusu watoto wao mtandaoni. Wengine huko Instagram, wanachapisha video na picha za watoto wao wakiwa nusu uchi wakipigania chakula, midoli au kucheza mziki. Huko Twitter, wanashare picha za watoto wao wakiogelea...
  17. JamiiForums Tanzania Watumishi KCMC wahojiwa na Polisi kwa kudai Posho zao mtandaoni

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro, kitengo cha makosa ya kimtandao, linawahoji wafanyakazi kadhaa wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC ya mjini Moshi kwa tuhuma za makosa mbalimbali ya kimtandao. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Simon Maigwa ambaye yuko safarini kikazi nje ya...
  18. JamiiForums Tanzania Nimepata uzoefu kuzuia wizi wa mtandaoni

    Kwanza nitafurahi nikipokea pole baada ya kuibiwa mara 2 kwa njia ya mtandao.Vile vile wanaoibiwa na serikali itafaidika ikinisikiliza namna wizi huo unavyoweza kama si kuzuilika basi kupunguzwa kwa kiasi kikubwa.. Wezi daima watakuwepo isipokuwa kama kuna nia safi ya kuwashughulikia basi huwa...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana msidanganywe na maisha ya mtandaoni ya mashoga, hawana utajiri wanaouonyesha

    Dunia iko kwenye kipindi cha ajabu sana kuwahi kutokea, kuna campaign kubwa sana ya kuhamasisha ushoga na kuwashawishi vijana waingie kwenye mapenzi ya jinsia moja wakidanganywa kwamba maisha yao yata rahisishwa na yatakuwa ya kifahari yaliyogubikwa na utajiri uliopitiliza. Kuna mashoga kadhaa...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali: Hatumzuii Mtu kuanzisha Televisheni ya Mtandaoni

    Na Grace Semfuko, MAELEZO Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Gerson Msigwa amesema Tanzania ni moja kati ya Nchi Duniani zenye vyombo vingi vya Habari na kwamba bado inaendelea kusajili vyombo hivyo ili viweze kuuhabarisha umma. Amesema lengo la Serikali ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…