Jinsi ya kupata control number mtandaoni TRA

buyoya419

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
555
416
Nina Shida na kupata control number tra ili nilipie

Nilienda juzi wakanipigia makadilio ila kwenye kupata control number mtandao wao ukasumbua so jambo halikukamilika

na mwezi ushaisha nikikaa mpk tarehe 1 penati

naombeni mnisaidie namna ya kuipata conyrol number kwenye tovuti yake
 
Nilienda juzi wakanipigia makadilio ila kwenye kupata control number mtandao wao ukasumbua so jambo halikukamilika
Rudi tena kwao, wao pekee ndio wanaweza kukupatia control number toka kwenye mfumo wao.
 
Rudi tena kwao, wao pekee ndio wanaweza kukupatia control number toka kwenye mfumo wao.
Kama hadi afike ofisini kwao basi penalty hawezi kuikimbia aisee. Hadi kufika Jumatatu mwezi utakuwa umepinduka.
 
Back
Top Bottom