mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jikuTech

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Soko lako mtandaoni

    Watu wengi hawaelewi namna ya kuendesha Business Online Kipengele muhimu usifanye kujaribisha Zingatia sana Jifunze mbinu za dominate sphere ulio ichagua Bila kujifunza huwezi kufanya Kwa usahihi labda Messi na wengine kama yeye Jifunze jinsi itakayo kusaidia kupangilia mawazo ya kufanya online...
  2. milele amina

    JamiiForums Tanzania Ukweli: Pave Ayo Blog ni chanzo kinachopaswa kuondolewa mtandaoni kutokana na kueneza habari za kupotosha

    Pave Ayo Blog ni chanzo kinachopaswa kuondolewa mtandaoni kutokana na kueneza habari za kupotosha. Tovuti hii imejikita katika kutoa taarifa zisizo sahihi na za kupotosha, ambazo zinaweza kuathiri mtazamo wa jamii na kuleta machafuko. Habari zinazotolewa kwenye blogu hii mara nyingi haziwezi...
  3. Barakha John

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumia Incognito Kwa Usalama wako Mtandaoni

    Je, umewahi kusearch vitu Mtandaoni ambavyo hupendi mwingine akishika simu yako aone ? Mfano Ukaingia google kwenye website fulani au taarifa fulani alafu taarifa zako zikabaki hapo (search history) na mwingine akashika simu yako akaona ulichokuwa unakitafuta mtandaoni. Kuna mambo mengine huwa...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Wanawake walioko katika Jicho la Umma wanapitia zaidi Ukatili wa Mtandaoni

    Ripoti ya UNESCO "The Chilling: Global Trends in Online Violence Against Women Journalists" inaeleza kuwa wanawake wanaojulikana hadharani kama waandishi wa habari, watetezi wa haki za binadamu, wanaharakati, na wabunge wanakumbwa na viwango vya juu vya ukatili wa mtandaoni. Takwimu zinaonyesha...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Saudi Arabia kushirikiana kudhibiti Uhalifu Mtandaoni

    TANZANIA NA SAUDIA ZAINGIA MAKUBALIANO KUDHIBITI UHALIFU Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini hati ya makubaliano na Serikali ya Saudi Arabia makubaliano ambayo yanaenda kugusa sekta mbili muhimu za usalama ikiwemo udhibiti wa makosa mbalimbali ya uhalifu kwa kutumia utaalamu na...
  6. D

    JamiiForums Tanzania TCRA Polisi wako wapi watu wanaibiwa kupitia hii mikopo mtandaoni? Jerry Silaa msaidie Rais

    Kuna wimbi kubwa sana la matapeli likitumia majina ya watu maarufu km Mohamed Dewji(MO), Tulia Ackson, Jokate Mwegelo n.k. Hawa watu ni matapeli na wana mtandao mkubwa, unakuta kwenye comments wanashukuru kuwa wamepata mikopo kumbe ulaghai ili uiingie mkenge. Namna ya kukuingiza mkenge...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wazazi, mnawalindaje Mabinti wenu dhidi ya Ukatili Mtandaoni?

    Fikiria mtandao kama mji mkubwa wa kidijitali, ambapo kila kona kuna watu, mitaa na maduka ya kila aina. Kama vile wazazi wanavyowaongoza mabinti zao wanapotembea mtaani kwa mara ya kwanza, ndivyo wanavyopaswa kuwaongoza kwenye mji huu wa kidijitali. 1. Kutambua Vitisho: Kama vile...
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza kwa Usalama Mtandaoni Afrika Mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara

    Tanzania imeshika nafasi ya kwanza Afrika Mashariki, Kusini na Kati kwa usalama wa mtandaoni, kwa mujibu wa Ripoti ya Kielezo cha Usalama wa Mtandao ya mwaka 2024 (GCI). Tanzania imepata alama ya asilimia 100 katika nguzo zote tano za usalama wa mtandaoni, ambazo ni: kisheria, kiteknolojia...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kuwa mkweli, ukikuta mwanamke ananyanyaswa mtandaoni utaingilia kumsaidia?

    Katika ulimwengu wa sasa, wanawake wanazidi kutumia mtandao kuonyesha vipaji vyao, kushiriki mawazo yao, na kuunganisha na jamii. Lakini pamoja na hayo, unyanyasaji mtandaoni umekuwa tatizo kubwa linalowazuia wanawake wengi kujieleza kwa uhuru. Je, unafikiria nini unapoona mwanamke...
  10. Soul21

    JamiiForums Tanzania Utapeli mtandaoni unawaumiza wengi

    Naomba nieleze kwa ufupi. Kukua kwa teknolojia kunasaidia mambo mengi kukua ikiwemo biashara. Ila hivi karibu kumekuwa na utapeli dhahri mfano kwa hapa Tanzania. Kumekuwa na wafanya biashara kutoka upande wa Zanzibar hasa Pemba wakiuza vitu bei ya chini mbali na uhalisia mfano laptop. Ambapo...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wanashiriki kuwanyanyasa wenzao mtandaoni?

    Wakuu, Huu msemo wa adui wa Mwanamke ni Mwanamke tunaushuhudia sana mtandaoni Yaani Mdada akipost kavaa kakimini kake sjui, mwenzie ndo atakuja kumwambia "Unavaa hivyo na vimiguu kama unacheza Judo"🤣🤣🤣🤣 Hawana huruma hata kidogo. Jamani huu ni unyanyasaji, unaitwa Body Shaming Lakini wengine...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Unatumia Mbinu gani kuimarisha Usalama wako Mtandaoni?

    Imarisha Usalama wako Mtandaoni kwa kufanya yafuatayo; a. Sasisha (Update) Kivinjari chako kila linapotoka toleo jipya. Unaweza kuruhusu Kivinjari kiweze kujisasisha 'automatically' b. Tembelea tovuti zenye alama ya ‘kufuli’ au zenye 'HTTPS' c. Pakua majalada (files) au Programu Tumizi (Apps)...
  13. justhussayn

    JamiiForums Tanzania Napendekeza cheti cha NECTA kipatikane mtandandaoni ili kuepusha usumbufu

    Moja ya mambo yanayosumbua ni mtu kufatilia upatikanaji wa cheti chake, either cha form four au cha form six. Sasa kuna watu wamesoma mkoa wa tofauti na makazi yao. Mfano, mtu amesoma Dar lakini ni mkazi wa Njombe. Badala ya kumpa usumbufu mtu huyo kutoka nNjombe kwenda Dar akafate cheti, heri...
  14. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali yashindwa kuchukua hatua dhidi ya wakopeshaji wa Mtandaoni? Utafiti: mmoja Kati ya Watu 200 wanaodhalilishwa hujiua

    Kwa ufupi ni mambo ya hovyo sana, watu wanaweza kuchukua taarifa zako na kuzisambaza mtandaoni!. Watu wanasema dawa ya deni kulipa ila si kwa kudhalilishana pale mtu anaposhindwa kulipa. Ndugu yangu amefadhaika sana baada ya kampuni moja ya mtandaoni kumsambazia jumbe za kumdhalilisha. Kweli...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Fahamu madhara unayoweza kupata kwa kuweka mtandaoni picha ya tiketi yako ya ndege?

    Kumbuka kila unapo post Ticket yako ya Ndege unahatarisha usalama wako kama ifuatavyo a. Kwa kutumia Msimbo Pau (Barcode) ya tiketi, Wadukuzi wanaweza kupata taarifa zako na kuzitumia kukufanyia Ulaghai (Phishing). b. Ni rahisi mtu kubadilisha au kuahirisha safari yako kwani anahitaji jina na...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ukatili wa Mtandaoni dhidi ya Wanawake ni Tishio kwa Usalama na Haki zao

    Wanawake wanakabiliwa na aina mbalimbali za ukatili mtandaoni, ikiwemo: Kudhihakiwa na Kudhalilishwa; Maneno ya kejeli na matusi yanayolenga kudunisha utu wa mwanamke. Kutishwa na Kutishwa kwa Maisha:** Vitisho vya moja kwa moja dhidi ya maisha na usalama wa mwanamke. Kuvujishwa kwa Taarifa...
  17. Joshphics

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mtandaoni

    Bihashara ya mtandaoni imekuwa kubwa sana lakini sio watanzania wengi wanajali kuhusu hilo shida ni nini hasa?
  18. TODAYS

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Benki Kuu, Kuna Uhalifu Kwa Wakopeshaji Mtandaoni

    Uryevyedi mdau Mtanganyika!. Basi ndugu yangu ikiwa nchi imefunguka na pesa zimejaa kwenye mifuko na account za watu huko walipo hali ipo hivi. Watu/Taasisi binafsi kwa sasa zinatafuta watu wa kuwakopesha kwa nguvu na hali kubwa sana, wanaunda App na kuilipia kama Ads kwenye mitandao ya...
  19. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kura za mtandaoni zinatoa picha halisi za matokeo ya Uchaguzi Mkuu?

    Habari zenyu wakuu, Nimeona watu wanashadadia kura za X(Twitter) zinazowahusu Kamala na Trump, kuwa Trump kashinda na Kamala ndio imekula kwake. Lakini hapa hata mimi ambaye sitashiriki uchaguzi wa Marekani nimeweza kupiga kura, hii imekaaje, au anayechaguliwa ndio anakuwa anakubalika dunia...
  20. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana kuijua ID ya mtu kwa kutumia screenshoot aliyoituma au link alizo share mtandaoni?

    Habari wakuu, Kwa mfano tupo kati kati ya mjadala fulani wa michezo nikaamua kuingia google nikaenda kwenye website ya mwanasport ni mfano tu lakini nikascreenshoot picha kama hii hapo chini Kisha nikaipost humu ili kunogesha mjadala Inaonyesha muda nilio screenshoot ni saa 12 na dakika...
Back
Top Bottom