mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Mmiliki wa App za mikopo mtandaoni ni bilionea kijana kutoka Tanzania

    Wakuu Habari niliyoipata kuhusu utitiri wa apps za mikopo mtandaoni kuwa nyingi na zenye riba kausha damu huku zikiwa na kero kubwa kwa mkopaji ndugu na jamaa ni kwamba zinamilikiwa na boss kijana tanzania na africa kwa ujumla fobes wanamjua Bilionea huyu amekuwa mnyonyaji kwa watanzania wa...
  2. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Hawa Jamaa ni kweli wanatoa mikopo ya magari mtandaoni au ndio cheche?

  3. Mi mi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali toka mtandaoni

    Foreign policy. Hali ya mambo ingekuwaje ?
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imane Khalif Aushitaki Mtandao wa X dhidi ya Unyanyasaji Mtandaoni

    Imane Khelif (25) mwanabondia kutoka Algeria amefungua kesi ya madai ya uonevu mtandaoni kufuatia sakata la jinsia katika Michezo ya Olimpiki Agosti 9, 2024 Miongoni mwa watu waliotajwa katika kesi hiyo ni Elon Musk na JK Rowling kulingana na Mwanasheria wa Imane Khelif, Nabil Boud Aidha...
  5. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada aliyelalamika mtandaoni kuwa wanaume ni mbwa kumbe alifanywa kitu mbaya

    Kwa yaliyomkuta yule binti anayelia kuwa wanaume wote ni mbwa utamuonea huruma... Nasikia mwamba alimpeleka lodge baada ya ile kazi binti usingizi ukampitia,kuamka jamaa kaishakimbia na simu na pesa za binti,binti akajikuta hana hata nauli na simu imekwenda. Yaani unamtelekeza mtu na hela na...
  6. jerrytz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Case File 2: Mahusiano yalianzia mtandaoni yakaishia kwa mwanamume kumwagiwa tindikali (True Story)

    Tarehe 22 Mei 2018 taarifa ilitoka kwenye vyombo vya habari kuwa mwanamke anayeitwa Berlina Wallace, mwenye miaka 49 amekutwa na hatia ya kumjeruhi mpenzi wake wa zamani Mark van Dongen umri miaka 29, kwa kumwagia tindikali (acid) kiasi cha kumsababishia upofu wa macho na kumuunguza sura...
  7. John Sule

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza zawadi ya bilioni 27 atakaefanikisha kumpata mdukuzi

    MAREKANI - Marekani imemfungulia mashtaka mdukuzi wa Korea Kaskazini, Rim Jong Hyok kufuatia mashambulizi ya mtandaoni ambayo yalisaidia kuiba siri za kijeshi na nyuklia ikisema zawadi ya dola milioni 10 (TZS bilioni 27) itatolewa kwa atakayetoa taarifa.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Usibonyeze Ujumbe huu wa Matangazo ya Zawadi uwapo Mtandaoni

    Epuka kubonyeza 'link' za matangazo ya Zawadi uwapokuwa unapokuwa kwenye tovuti mbalimbali kwani ni njia inayotumika na Wadukuaji kupata taarifa zako binafsi kwa ajili ya utapeli. Ikiwa umegusa epuka kujaza taarifa zao binafsi kama barua pepe, password, majina kamili, taarifa za Kibenki, mwaka...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema suala la usalama wa kimtandao ni muhimu ili kuhakikisha upatikanaji wa taarifa, huduma na bidhaa za mtandaoni

    USALAMA WA MTANDAO NI MUHIMU KWA TAIFA – NAIBU WAZIRI MAHUNDI Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Dar es Salaam NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema suala la usalama wa kimtandao ni muhimu ili kuhakikisha upatikanaji wa taarifa, huduma na...
  10. 0

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wa mtandaoni bongo, mna shida sana

    Hivi ni nini huwasumbua hawa wafanyabiashara wa bongo ambao pia wanajihusisha na kutuma mizigo kwa wateja wa mikoani? Kabla hujawatumia hela wanakuwa na customer care nzuri saana. Wanajibu message kwa wakati, wanazielezea bidhaa zao vizuri hadi mteja unaridhika na kujisemea moyoni, hivi ndivyo...
  11. Amydiz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama kuna aliyewahi kufanya manunuzi ali express naomba experience

    Jamani kama kuna aliyewahi kufanya manunuzi ali express naomba experience jinsi wanavyo fanya kaz
  12. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Watu wanaorekodi matukio ya watu wakiwa wamelewa na kuyaposti mtandaoni bila idhini yao washughulikiwe kisheria

    Ipo wazi inajulikana pombe sio chai na mtu akinywa pombe uwezo wake wa kufanya maamuzi kwa asilimia kubwa hupungua. Sasa utakuta kuna huu mchezo wa kuposti watu wakiwa wamelewa kwenye sherehe au sehemu nyingine yoyote ile na wakawa wamechangamka kwa namna moja au nyingine then utakuta mtu hana...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nape: Tumewaagiza TCRA wachunguze wale wanaodhalilisha watu waliowakopesha Mtandaoni

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye amesema Serikali imetoa maeleko kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuwafuatilia na kuchunguza Watu wanaotumia taarifa za waliowakopesha Mtandaoni kwa lengo la kudhalilisha wakopaji. Amesema maelekezo hayo pia...
  14. nyamadoke75

    JamiiForums Tanzania Serikali imekaa kimya kuhusu matapeli wa mtandaoni

    SERIKALI YA ZANZIBAR IMEKAA KIMYA KUHUSU HAWA MATAPELI WA MTANDAONI HII NI HATARI KWA WATU WANAOTAKA KUFANYA BIASHARA ZANZIBAR KUONA MATAPELI @soknibike WEZI WANAKUMBATIWA NA SERIKALI SASA WANANCHI WOTE KUWENI MAKINI NA HAWA SOKONI BUKE TUNAOMBA JESHI LA POLISI ZANZIBAR LIWASHULIKIE...
  15. Akilibandia

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kufungua Uwezo wa Kidigitali: Kukabiliana na Ukosefu wa Ajira kwa Wahitimu na wenye ujuzi Tanzania Kupitia Fursa za Mtandaoni

    Utangulizi Katika moyo wa Afrika Mashariki, Tanzania inasimama katika njia panda kati ya mila na uvumbuzi. Ikiwa na idadi kubwa ya vijana, taifa lina hazina ya uwezo ambao bado haujatumika—wahitimu wakiwa wamejaa ujuzi na ndoto kubwa. Hata hivyo, ahadi hii inafunikwa na ukweli mkali: ongezeko...
  16. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa airtel ndio unaongoza kwa kutumiwa na matapeli wa mtandaoni

    Pasipo kupepesa macho, airtel ni moja ya mtandao ambao matapeli kila itwayo leo huutumia kutuma sms za kila aina, mpaka muda huu sijajua tatizo ni nini?? Natumia mtandao wa tigo pia, kwakweli nisiwe mnafiki nakaa mpaka miezi 6 yaan huwezi kuona sms yeyote ya kitapeli, sijui tuma kule, mimi...
  17. OMOYOGWANE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanya review mtandaoni nimejiridhisha Simba SC ni mali ya MO Dewji anaimiliki kisheria

    Nimepitia mchakato mzima ni jinsi gani Mo allimilikishwa hisa zake 49%, Nimebaini Mo alilipia hisa zake zote, Katika asilimia 51% zinazomilikiwa na wanachama ni asilimia 10% tu ndizo zilizolipiwa zinazobaki 41% hazijalipiwa. Kampuni ya Mo Simba yenye 49% ndiyo inayoilea na kuirisha simba kwa...
  18. Mfugaji123

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Jinsi ya Kufanya Biashara kwenye internet ( Mtandaoni)

    Fursa muhimu sasa katika kufanya biashara ni kwa kwa kutumia mtandao wa internet.. Dunia inakadiriwa kuwa zaidi ya watu bilioni moja hununua kwenye internet. Hapa Tanzania kulinga na tovuti ya Statista hadi kufikia January 2024, karibu asilimia 18.9 ya watanzania walifanya manunuzi na kulipa...
  19. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kutwa kunipiga picha na kunipost mtandaoni nimejaribu kumkanya wap muda mwingine anachukua video mi bila kujua Nakuta tu mtandaoni??

    Wakuu habari Kichwa cha habar cha husika
  20. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Changamkia fursa za kazi mtandaoni. Lakini kuna haja ya hili kwanza...

    Habari wanajamvi, natumaini mmeamka salama. Mimi pia, nipo kwenye computer yangu nachapisha haya maneno. Katika pitapita zangu, nilikutana na hili swali leo asubuhi, kwenye X account ya rafiki yangu mafolebaraka Nkatamani kulijibu kwa post kadhaa, kuanzia hili la leo. Binafsi, sijaajiriwa...
Back
Top Bottom