mtandao

  1. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli kama utafanikiwa kurejea tena Madarakani 2020 - 2025, ufanye Mtandao huu wa JamiiForums kama ndiyo Mshauri wako Mkuu

    Mpaka hivi leo huku Kampeni zikiwa hata bado tu hazijafikia Nusu yake (achilia mbali Robo yake) na kwa hali ambayo nimeanza Kuiona ni rasmi sasa kwamba kama Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli angekuwa anapenda Kusoma ama Mada au Michango ya wana JamiiForums hapa (tena inayomkosoa) zaidi nina uhakika...
  2. S

    JamiiForums Tanzania WhatsApp unaweza kuwa ni mtandao namba moja katika kusaidia, kufanikisha na hatimae kuleta mageuzi ya kisiasa hapa nchini

    Mtandao wa WhatsApp, kupitia ma-group ya WhatsApp, umewaza kuwa ni mtandao unaowaleta na kuwaunganisha watu wengi zaidi kwa pamoja pengine kuliko mtandao mwingine wowote katika nchii hii, na hivyo kufanya taarifa zinazokuwa shared kupitia mtandao huu, kuwafikia watu wengi zaidi kuliko...
  3. JamiiForums Tanzania Leseni za maudhui ya mtandao zitafanya wasio na hela wakose pa kuongea

    Ni katika muendelezo wa mjadala, ndugu Justine Kakoko, alisema wasio na hela watakuwa atika hali mbaya ya kuweza kuongea. Hapa alizingatia kuwa maudhui ni picha, mawazo, maoni, elimu na chochote ambacho mtu ataweka mtandaoni, Kifupi ni kuwa ili uongee kwa uhuru ni lazima uwe na leseni kwa hiyo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Lifahamu wimbi kubwa la matapeli na wezi wa kwenye mtandao wa kike na wa kiume

    Miaka ya nyuma tulidhani kuwa ni wanaume tu ndio wanahusika kutapeli, kuiba na kuharibu lahasha kwa sasa hivi wote wanahusika, ila njia wanazozitumia ndio hutofautiana. Kuna aina zifuatazo za utapeli na wizi kupitia mitandao: Wanao jifanya ni wadada wanatafuta waume wa kuwaoa Wanao jifanya ni...
  5. JamiiForums Tanzania YOPE REMIX yatinga zaidi ya views 100 Million katika mtandao wa YouTube

    Most popular of the videos is the song 'Yope remix' where he featured Innos' B from Congo, which has so far gained some 106million views today. Diamond platnumz mimi kama shabiki yako mkubwa ninakupa pongezi...
  6. JamiiForums Tanzania Askofu wa Kanisa Katoliki Nchini Togo ni miongoni mwa watu waliokumbwa na udukuzi uliofanywa katika Mtandao wa WhatsApp

    Askofu wa Kanisa Katoliki nchini Togo ni miongoni mwa watu waliolengwa na udukuzi uliofanywa kwa zaidi ya watu 1400 katika mtandao wa WhatsApp uliofanywa na Taasisi ya NSO Group ya Nchini Israel Askofu Benoît Alowonou pamoja na watu wengine watano ambao ni wakosoaji wakubwa wa matendo na...
  7. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Twitter wakiri kudukuliwa

    Uongozi wa Mtandao huo umekiri kuwa Wadukuzi walifanikiwa kuingilia akaunti za watu maarufu wakiwemo Barack Obama, Elon Musk, Kanye West pamoja na Bill Gates Akaunti hizo zenye idadi kubwa ya wafuasi zilishuhudiwa zikiweka taarifa ya matangazo kuhusu sarafu ya mtandaoni ya Bitcoin Twitter...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mtandao: Akaunti za Twitter za Bill Gates na Elon Musk zadukuliwa, mamilioni ya dola yaibiwa

    Ni ndani tu ya saa moja lililopita, wadukuzi wamefanikiwa kuingilia faragha za akaunti za Twitter za Bill gates na Elon Musk na kutuma ujumbe ukiwataka watu watume kiasi cha pesa kwa njia ya bitcoin kisha, Watatumiwa mara mbili ya hiko kiasi. Mashambulizi yamekuwa makubwa maana kila Twitter...
  9. JamiiForums Tanzania Facebook wafuta uzushi wa askofu Josephat Gwajima kuhusu COVID 19 aliokuwa ameuandika kwenye ukurasa wake ndani ya mtandao huo

    Baada ya Askofu Josephat Gwajima kutuhumu kuwa huenda Tanzania ikatumiwa Corona virus kwa njia ya 5G kutoka kwa nchi mabeberu na kuuandika Facebook hatimaye uongozi wa mtandao huo wameufutilia mbali. Askofu mzima unakuwa mzushi mzushi hadi unaonekana kituko
  10. JamiiForums Tanzania Sim banking ya Equity kwa mtandao wa halotel hakuna

    Bank ya Equity haina option ya kutuma hela kwenda /kutoka bank kupitia mtandao wa Halotel...usumbufu Sana!. Wahusika angalieni Hili suala!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kupata followers laki 1 kwenye mtandao wa Twitter

    Habari wadau, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtumiaji wa mtandao wa twitter toka mwaka 2015 lakini mpaka sasa nimefanikiwa kuwa na followers 500+. Kwa mujibu wa wadau, followers wa twitter ni hela kuna namna mbalimbali ya kuingiza pesa kwa kutumia mtandao wa twitter lakini...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Marekani inatarajia kufungia mtandao wa Tik Tok na mitandao mingine ya kichina

    Katika kile kinachoitwa kuishughulikia China kiuchumi, na kiteknolojia serikali ya Marekani inataka kufuata njia ya India kufungia mitandao yote ya kijamii kutoka China kama Tik Tok, likee na mingine. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani bwana Pompeo amesema wanafikiria kufanya hivyo hivi...
  13. JamiiForums Tanzania Tabia ya wanaCCM mtandao waliokuwa wanakitishia Chama nyakati za uchaguzi imekoma!

    Wapo baadhi ya wanaccm waliokuwa wanajiona ni wanamtandao na wakiamua kuleta taharuki ndani ya chama katika ngazi mbalimbali hasa nyakati za uchaguzi. Zama hizo zimeshapita kwani CCM ilishaonesha Umma kuwa inaweza kumshughulikia mwanaCCM yoyote iwapo hatozingatia maadili ya Chama. Wapo baadhi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Je, unayajua mamlaka ya Jeshi la Polisi kama yalivyoainishwa katika Sheria ya Makosa ya Mtandao (2015)

    1: Kifungu cha 31: Polisi au watekelezaji wa sheria wanaweza kutoa amri inayoruhusu kuingia, kupekua, au kutwaa vifaa na mifumo ya kompyuta, na kutwaa data au taarifa zilizohifadhiwa kwenye kompyuta Wanaweza kufanya hivyo iwapo watajiridhisha kwamba kuna sababu za msingi kuamini kwamba mfumo...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva, nina akaunti active Uber, Bolt nk

    ....
  16. JamiiForums Tanzania Ukimiliki laini zaidi ya moja ya mtandao mmoja utalipa faini Tsh 5M au kufungwa gerezani kwa miezi 12 au vyote kwa pamoja kuanzia 1 Julai, 2020

    Wakuu heshima kwenu, kuna wakati nlisikia kuna sheria TCRA inatulazimu kuwa na ulazima wa kumiliki line moja kwa kila mtandao na mwisho ni tareh 30 Juni, 2020, hii imekaaje? Tutafungiwa laini leo?
  17. JamiiForums Tanzania Reddit yachukua hatua kuzuia chuki za wanaotumia mtandao wake

    Mtandao wa Reddit, umefuta accounts zinazo msapoti Trump na sera za chuki, ubaguzi wa rangi, chuki dhidi ya wanawake na wanaofanya mapenzi ya jinsia moja na wanaoeneza conspiracies mbalimbali Reddit wamesema kundi linaloitwa The_Donald limekuwa likivunja sheria siku zote == Reddit, one of the...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaotumia Mtandao wa Halotel Basi Wana tabu siyo Internet wala Huduma kwa Wateja

    Nipo hapa nimeshajaribu kupiga huduma kwa Wateja lakini ninachokutana nacho, mtandao unasumbua Ata anayeongea humsikii, unaskiliza mikoromo tu mpaka masikio yanauma. Internet ndo kabisa Kwenye kudownload utakesha Inaenda slowly sana, Mida yake mpaka uivizie saa nne usiku Mpaka saa mbili humo...
  19. JamiiForums Tanzania Manunuzi ya mtandao yamekuwa msukumo mpya wa ukuaji wa Uchumi wa China

    Baada ya kudhibitiwa kwa kuenea kwa virusi vya Corona, uchumi wa China umeaanza kufufuka kwa kasi. Na manunuzi mtandaoni yamekuwa msukumo mpya wa ukuaji wa uchumi. Mjini Shanghai, takwimu zinaonyesha kuwa katika mwezi Mei, thamani ya manunuzi kupitia mtandao wa internet imefikia takriban Yuan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…