Lifahamu wimbi kubwa la matapeli na wezi wa kwenye mtandao wa kike na wa kiume

Brightg

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
243
500
Miaka ya nyuma tulidhani kuwa ni wanaume tu ndio wanahusika kutapeli, kuiba na kuharibu lahasha kwa sasa hivi wote wanahusika, ila njia wanazozitumia ndio hutofautiana. Kuna aina zifuatazo za utapeli na wizi kupitia mitandao:

 • Wanao jifanya ni wadada wanatafuta waume wa kuwaoa
 • Wanao jifanya ni wadada wanao jifanya wanajiuza ila wanafanya marketing Instagram na twitter
 • Wanao jifanya ni wanaume wanahitaji wanawake wa kuwaoa
 • Wanao jifanya ni ma wakala wa wanao jiuza mikoa yote wanakuunganisha.
 • Wanao jifanya ni wanachuo au ni wanachuo ila wanahitaji waume wa kuwa nao kipindi wako chuoni
NB: Ni asilimia ndogo sana kama 0.5% ndio wako serious na mnaweza mkafanikisha kuoana au kuonana na kutimiza malengo yenu.

Kwa tathmini ya haraka haraka vinaja kwa watu wazima wamesha poteza pesa nyingi sana zikikadiriwa kufikia sh milioni 20 kwa miaka 7-8 mfululizo haya yote hutokana na kutoa mitaji kwa wahusika, kuibiwa majumbani mwao, kutumiana pesa za matumizi kwenye simu kabla ya kuonana…

WANAO JIFANYA WANATAFUTA WAUME WA KUWAOA

Hawa huwa ni wanaume au wasichana, sasa hutoa matangazo twiter, instagram… ila mtaendelea ku chati kwenye mtandao. utasikia sikupi namba yangu sasa hivi bado mapema tuendelee ku chat hapa maana sijakuamini bado, kila mkichati anakukubalia kila kitu utakacho kisema wanajua ni mtego kwa wanaume basi siku ya siku anakuomba matumizi, hela ya kusuka au hela ya kula au vocha, hela ya kula anakuunganisha na wakala, vocha anakuambia uandike namba kwenye mtandao, akiona hujatoa na hutoi pesa ya maana anajua huna kitu, ana uwezo wa kutafuta sababu na kukublock. Ila kama unatoa hela nzuri anaanza kukupa shida zake hata kabla hamjaonana na mtaji pia anakuomba ump, akipokea anaweza akaja muonane kama ni msichana kweli ila kama ni mwanaume anaye jifanya ni msichana ana ku block na hata kama ni msichana akishapokea tu ana ku block.

Watu wametoa mitaji, pesa za kusuka na pesa za matumizi mwisho wa siku wanaambulia block.

WANAO JIFANYA WANAJIUZA NA WANAFANYA MARKETING INSTAGRAM NA TWITTER

Kama ni msichana anakwambia ana umri kati ya 23-27

Hawa huwa wana picha za wasichana au wanaume wa Nigeria ambao wamependeza sana, utashangaa hata mazingira ila wanajitahidi sana namba za magari usizione kwenye hizo picha ila ukifuatilia sana mazingira utaona sio ya kitanzania, kumuweza muombe akupe live location lazima atakwepa,kama ni wakiume anaye jifanya ni msichana anakupa namba iliyo sajiliwa kwa majina ya kike ila ukipiga hapokei, hawa mara nyingi huomba nauli umtumishie ili mkutane anakwambia nauli mfano upo dar naye yupo dar anakuoma elfu 20 ili aje ulipo ukishatuma ana ku block ukimwambia achukue UBA utalipia hataki anakwambia hawezi toka hajaona pesa kwenye simu, wachache sana wanakuja na akifika anaomba pesa kabla, ukimpa tu basi anasingizia anaenda kuziweka nje kwa rafiki alikuja naye halafu anakuachia pochi, yatakayoendelea hapo ndani ni hujuma ukimlazimisha anakwambia umembaka hujampa pesa zake, utaliona joto la jiwe, ili kukwepa aibu unampa hela nyingine. Yani majanga tupu.

WANAO JIFANYA NI WANAUME WANAHITAJI WANAWAKE WA KUWAOA

Hawa wapo potepote, mnakubaliana mtaoana anaanza kumdadisi mdada kama ni mtumishi au ana kipato kizuri kwenye mishe zake, hawana aibu anakuomba umuazime hela kuna kiwanja kinauzwa mtaandika majina ya wote, hawana aibu anaweza akakuomba hela ya kwenda kwenye mishe zake, hawa kazi yao ni kuwaibia wasichana wenye kazi zao au biashara baada ya hapo wanawablock.

WANAO JIFANYA NI MA WAKALA WA WANAO JIUZA MIKOA YOTE WANAKUUNGANISHA.

Hawa kazi yao ni moja tu anakuomba urushe pesa kama elfu 10 au elfu 5 ukishatuma anakutumia picha za wasichana wa Nigeria, unachagua badae anakwambia tayari subiri muwasiliane atakucheki, badae anakwambia ana mtu chagua mwingine anakuzungusha kama kwa 3 hivi badae anakwambia huna bahati kazi yake imeisha unatakiwa uongeze hela aendelee kukutaftia.

WANAO JIFANYA NI WANACHUO AU NI WANACHUO ILA WANAHITAJI WAUME WA KUWA NAO KIPINDI WAKO CHUONI

Hawa kazi yao ni kupiga mizinga mikubwa sana hata kama hamjaonana, anataka pesa zote na mtaji way eye kufanya biashara chuoni au kuwa na kisehemu, yote haya ni kutafuta pa kujituliza, hawa wengi matapeli sana usipotuma hela vizuri ana ku block

Hitimisho

Wanaume tutulie mbinu nyingi sana sasa hivi za kupoteza hela wanazitumia hawa viumbe

Mwanamke ni Yule tu unaye kutana naye live mnamalizana hapo hapo
 
Kibereko

Senior Member
Sep 26, 2018
174

Ukiona manyoa ujue Ameshaliwa mtu hapa.
 
Joo Wane

JF-Expert Member
Mar 14, 2007
596
1,000
Hivi dunia ya leo pesa ilivyo ngumu kupatikana halafu kuna watu kweli wanawatumia wengine kutokana na mawasiliano kwenye mtandao bila hata kuonana? Mtu akiliwa pesa katika hali kama hiyo mimi nitamuona fala tu. Kama una shida na wanawake na wewe domo zege si bora uende ukajichagulie mwenyewe aina ya mwanamke unayemtaka (mnene, mwembamba, mrefu, mfupi, mweusi, mweupe, n.k.) sehemu wanapojiuza "live" ambazo kila wilaya nchi hii zipo ukiuliza wenyeji watakuonyesha. Au kwa nini usioe kabisa ili uepuke kutapeliwa na hizo pesa umpe mkeo afanye mtaji badala ya kuhonga mitandaoni watu usiowajua?
 
gigabyte

JF-Expert Member
May 27, 2015
1,609
2,000
Hayo yote yanatokana na watu kutojitambua.Dunia ya leo kutapeliwa ni ujinga mkubwa.
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
1,675
2,000
tuwekee list ya wanakouza kwa faida ya wengine
Kila baa,Saluni,guest zilijaa mabinti hukoso malaya.Nao wanamizinga yao.utasikia"bia moja nitoe aibu,sijala, huyu rafiki yangu anataka bia" Wadada kwa kweli hawako makini. Dawa yao inachemka.Wazungu wanaunda maroboti ya kutoa ashiki, soko lao litapungua 5-10 coming year.
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,117
2,000
Miaka ya nyuma tulidhani kuwa ni wanaume tu ndio wanahusika kutapeli, kuiba na kuharibu lahasha kwa sasa hivi wote wanahusika, ila njia wanazozitumia ndio hutofautiana. Kuna aina zifuatazo za utapeli na wizi kupitia mitandao:

 • Wanao jifanya ni wadada wanatafuta waume wa kuwaoa
 • Wanao jifanya ni wadada wanao jifanya wanajiuza ila wanafanya marketing Instagram na twitter
 • Wanao jifanya ni wanaume wanahitaji wanawake wa kuwaoa
 • Wanao jifanya ni ma wakala wa wanao jiuza mikoa yote wanakuunganisha.
 • Wanao jifanya ni wanachuo au ni wanachuo ila wanahitaji waume wa kuwa nao kipindi wako chuoni
NB: Ni asilimia ndogo sana kama 0.5% ndio wako serious na mnaweza mkafanikisha kuoana au kuonana na kutimiza malengo yenu.

Kwa tathmini ya haraka haraka vinaja kwa watu wazima wamesha poteza pesa nyingi sana zikikadiriwa kufikia sh milioni 20 kwa miaka 7-8 mfululizo haya yote hutokana na kutoa mitaji kwa wahusika, kuibiwa majumbani mwao, kutumiana pesa za matumizi kwenye simu kabla ya kuonana…

WANAO JIFANYA WANATAFUTA WAUME WA KUWAOA

Hawa huwa ni wanaume au wasichana, sasa hutoa matangazo twiter, instagram… ila mtaendelea ku chati kwenye mtandao. utasikia sikupi namba yangu sasa hivi bado mapema tuendelee ku chat hapa maana sijakuamini bado, kila mkichati anakukubalia kila kitu utakacho kisema wanajua ni mtego kwa wanaume basi siku ya siku anakuomba matumizi, hela ya kusuka au hela ya kula au vocha, hela ya kula anakuunganisha na wakala, vocha anakuambia uandike namba kwenye mtandao, akiona hujatoa na hutoi pesa ya maana anajua huna kitu, ana uwezo wa kutafuta sababu na kukublock. Ila kama unatoa hela nzuri anaanza kukupa shida zake hata kabla hamjaonana na mtaji pia anakuomba ump, akipokea anaweza akaja muonane kama ni msichana kweli ila kama ni mwanaume anaye jifanya ni msichana ana ku block na hata kama ni msichana akishapokea tu ana ku block.

Watu wametoa mitaji, pesa za kusuka na pesa za matumizi mwisho wa siku wanaambulia block.

WANAO JIFANYA WANAJIUZA NA WANAFANYA MARKETING INSTAGRAM NA TWITTER

Kama ni msichana anakwambia ana umri kati ya 23-27

Hawa huwa wana picha za wasichana au wanaume wa Nigeria ambao wamependeza sana, utashangaa hata mazingira ila wanajitahidi sana namba za magari usizione kwenye hizo picha ila ukifuatilia sana mazingira utaona sio ya kitanzania, kumuweza muombe akupe live location lazima atakwepa,kama ni wakiume anaye jifanya ni msichana anakupa namba iliyo sajiliwa kwa majina ya kike ila ukipiga hapokei, hawa mara nyingi huomba nauli umtumishie ili mkutane anakwambia nauli mfano upo dar naye yupo dar anakuoma elfu 20 ili aje ulipo ukishatuma ana ku block ukimwambia achukue UBA utalipia hataki anakwambia hawezi toka hajaona pesa kwenye simu, wachache sana wanakuja na akifika anaomba pesa kabla, ukimpa tu basi anasingizia anaenda kuziweka nje kwa rafiki alikuja naye halafu anakuachia pochi, yatakayoendelea hapo ndani ni hujuma ukimlazimisha anakwambia umembaka hujampa pesa zake, utaliona joto la jiwe, ili kukwepa aibu unampa hela nyingine. Yani majanga tupu.

WANAO JIFANYA NI WANAUME WANAHITAJI WANAWAKE WA KUWAOA

Hawa wapo potepote, mnakubaliana mtaoana anaanza kumdadisi mdada kama ni mtumishi au ana kipato kizuri kwenye mishe zake, hawana aibu anakuomba umuazime hela kuna kiwanja kinauzwa mtaandika majina ya wote, hawana aibu anaweza akakuomba hela ya kwenda kwenye mishe zake, hawa kazi yao ni kuwaibia wasichana wenye kazi zao au biashara baada ya hapo wanawablock.

WANAO JIFANYA NI MA WAKALA WA WANAO JIUZA MIKOA YOTE WANAKUUNGANISHA.

Hawa kazi yao ni moja tu anakuomba urushe pesa kama elfu 10 au elfu 5 ukishatuma anakutumia picha za wasichana wa Nigeria, unachagua badae anakwambia tayari subiri muwasiliane atakucheki, badae anakwambia ana mtu chagua mwingine anakuzungusha kama kwa 3 hivi badae anakwambia huna bahati kazi yake imeisha unatakiwa uongeze hela aendelee kukutaftia.

WANAO JIFANYA NI WANACHUO AU NI WANACHUO ILA WANAHITAJI WAUME WA KUWA NAO KIPINDI WAKO CHUONI

Hawa kazi yao ni kupiga mizinga mikubwa sana hata kama hamjaonana, anataka pesa zote na mtaji way eye kufanya biashara chuoni au kuwa na kisehemu, yote haya ni kutafuta pa kujituliza, hawa wengi matapeli sana usipotuma hela vizuri ana ku block

Hitimisho

Wanaume tutulie mbinu nyingi sana sasa hivi za kupoteza hela wanazitumia hawa viumbe

Mwanamke ni Yule tu unaye kutana naye live mnamalizana hapo hapo
Kila baa,Saluni,guest zilijaa mabinti hukoso malaya.Nao wanamizinga yao.utasikia"bia moja nitoe aibu,sijala, huyu rafiki yangu anataka bia" Wadada kwa kweli hawako makini. Dawa yao inachemka.Wazungu wanaunda maroboti ya kutoa ashiki, soko lao litapungua 5-10 coming year.
Kama hilo lirobot sofia nadhani linagongwa kabisa, sababu linajibu maswali, halipangiwi na mtu, hivyo lina utashi na maamuzi!
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,117
2,000
Kabisa kama unataka mwanamke ni lazima umuone kwanza ndio urushe ndoano ,mambo ya filter online ni hatari demu hata kama cheusi mangara insta anaonekana shombe shombe.
Cheusi mangala, halafu anajionesha shombe shombe, dah!

Wanaume kumbe tumetofautiana pakubwa!

Kuna wakati huwa nahitaji demu wa kuletewa kama zawadi bila ya kuonana naye wala kuunganishana kabla, huwa nimejiandaa kihisia na upendo wa dhati kwake.

Tena saazingine namtaka na kumtamani adui (mbaya wangu), ninavutiwa naye mno na penzi hilo lawza kuwa ni la 'kukata na shoka'.

Mtu mwingine ni anayeringa sana, hela zangu za mapato ya siri lazima huyo azile, azitafune kabisa anifirisi, ni nini anachoringia? Jibu lazima nilipate baada ya kuwa wapenzi wa dhati.

Madhaifu yangu yote yalipogotea sasa ni kwa yule ninayemtongoza kistaarabu na kwa upendo mkubwa, ikatokea akanikataa kidhalilishaji, kwa kunitamkia matusi kuwa mimi ni mbaya kama kinyago cha mpapure, hanitaki na nimkome kama nilivokoma kunyonya ziwa la mamangu mzazi!

Matusi na kebehi zilizoboreshwa kiasi hiko, mtu huyo sifichi, lazima atafanya niache mambo yangu mengine yoote kumhangaikia yeye tu, yaani kwa gharama yoyote na kwa vyovyote iwavyo hadi awe mpenzi wangu, nina mbinu halali na haramu zaidi ya 1000!

Kwangu sura ya mwanamke huwa haina nafasi sana, ninachojali ni haiba yake tu, ila wanaoringa kupitiliza, wenye nyodo, wenye midomodomo, wenye kunikashifu na wanaonipiga vita, wana nafasi kubwa ya kushitukia wapo sambamba kitandani wakiwa wamelala na mimi.
 
Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
6,750

Mwanamke akiwa na msambwanda na hips hata akiwa na sura ya kiume anaonekana mzuri.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom