Bila umeme wa uhakika, tunawezaje kunufaika na Teknolojia?

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
626
938
Umeme ni hitaji la Msingi katika kufikia na kutumia Teknolojia, ikiwemo Intaneti

Kama Mwananchi unayetumia au kutegemea Digitali kwa shughuli mbalimbali, unaathirika kwa kiwango gani unapokosa Umeme?

13% ya Watu Duniani hawapati Umeme.jpg
 
Back
Top Bottom