Habari wadau , hivi ndo tuseme telegram bongo imepigwa ban , maana Nina zaidi ya miezi kadhaa nashindwa kuitumia , nime uninstall na kuinstall upya lakini wap, shida Nini waugwana
Nimetumiwa link ambayo ni video clip sasa nataka ni download iingie kwenye simu kama video zingine nafanyaje wadau
https://youtube.com/clip/Ugkx_ViWoPek1CWrvf5neyJnxVdvI-ySK50H?si=6m-ykzOiXRW6R2MO
Hakuna jambo linakera kama unafika katika taasisi fulani hasa za serikali na benki unaambiwa huwezi kupata huduma au huduma itachelewa kwa sababu sijui mtandao hakuna au uko chini, duniani huko kwa watu wenye akili sasa hivi wanafikiria kwenda kwenye network ya 6G sisi bado tunambwelambwa na...
Biashara ni mchakato: Jifunze kwanza, kisha pata ujuzi, jenga connections zako, ndipo utakapojua cha kufanya na mtaji.
Lakini kwa watanzania wengi ni kinyume, wanaumiza sana vichwa kupata mtaji ili kuanza biashara lakini jambo hili kwenye process nzima inabidi iwe hatua ya mwisho kabisa. ndio...
Ule ujumbe wa vitisho wenye matusi ndani yake alioundika kwenye mtandao wa X, unaweza kutimika kama sababu ya kumkamata na kisha kumshitaki lengo ni kuhakikisha harudi mbeya.
Kwa jinsi hawa watu walivyowaoga, wataona ni bora wamalizane nae mapema kabla hajafika Mbeya na njia mojawapo inaweza...
Naitwa Nehemia Elias Bhoke, Natafuta gari ndogo ya mkataba, nina uzoefu wa udereva wa tax mtandao(UBER,BOLT,FARASI N.K), kwa yeyote mwenye gari tuwasiliane 0698789184.
Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforums linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost...
Unapo poteza simu na kuacha ku block ile line kinachofanyika yule aliechukua simu iliyopotea anatoa line kisha anaenda kwa mtu anae sajili line ambao tumewaona wengi sana mtaani na mashine zao, anampa ile line ya simu ili waweze kupata taarifa za usajili wa NIDA wa line husika.
Kisha baada ya...
TZ Mobile Number Lookup ni aplikesheni inayokuruhusu kutambua papo hapo opereta wa mtandao wa simu anayehusishwa na nambari yoyote ya simu ya Kitanzania. Ingiza tu nambari, na programu itaonyesha opereta.
Programu hii ni nyepesi na ya haraka.Ni chombo muhimu kwa mtu yeyote anayehitaji...
Habari,
Naitwa Mohamed ni driver wa tax mtandao….nipo darslam natafuta gari ya kufanyia kazi hii, hivyo kwa yeyote mwenye chombo basi ni fursa hii tuitumie kujenga hii nchi…
“Kuhusu uaminifu ni % Hakuna uswahili wala ubabaishaji Hii ni kazi na Naheshimu kazi yangu hivyo tajiri ondoa shaka...
China ilizindua mtandao wake wa kwanza wa 10G katika Kaunti ya Sunan, Mkoa wa Hebei, Jumapili (Aprili 20), na hivyo kuashiria maendeleo makubwa katika miundombinu ya intaneti.
Uzinduzi huu ni kazi shirikishi ya Huawei na China Unicom, na unalenga kuwasilisha kasi ya upakuaji hadi 9,834 Mbps...
Wakuu, Kwanini unatumia mtandao wa simu Ulio nao sasa? Ni criteria zipi zilikufanya Uchague namba ya simu ya mtandao fulani kama namba yako kuu?
Je incase ume attain Popularity una handle vipi Mawasiliano yako yani unakuwa na Multiples simcard au unafanyaje?
Mimi natumia line moja tu ya simu na...
Mwishoni mwa utawala wa Jk awamu ya pili, ndio nipo o level nilijua JF ni ya chadema. Kipindi hicho hoja nasikia zilikuwa za moto ile mbaya. Mpaka maafisa wa serikali nasikia walikuwa hawataki kuusikia kutokana na uozo wao kuanikwa humu. Sasa automatically nikajua this forum na belongs to...
Moja ya mtandao ulikuwa wa kutegemewa ni Voda Ila Sasa naona ni jipu kwenye Internet
Nimejaribu kufuatilia nikidhani ni suala la muda lakini wapi
Au inategemea na maeneo wakuu
Na Veronica France 🇹🇿 🇹🇿
Well, Dunia imebadilika sana, Dunia ya Leo Ktk Siasa lazima uwe na nguvu ya kudhibiti na kuendesha mitandao ya kijamii...huu Ni Wakati ambao tunaishihudia CCM ikiwa hoi bin taaban mitandaoni na Chadema ikishika Mitandao Yote, Nini Kimetokea? turejee Nyuma kidogo
Katika...
Hii shida ya mitandao ya simu imekuwa sikio la kufa kila siku linazuka jipya.
Hasa mitandao ya Yas na Airtel ilikuwa shida tupu!
Soma Pia: Changamoto ya Mawasiliano mtandao wa Yas
Kuna nini kinachoendelea? Maana shida ya mtandao imekuwa kero kila siku. Tumechoka sasa !
Je unahitaj kujua ni wi-fi gani Ina Bei rahisi kuliko wi-fi ya mtandao wowote hapa Tz, tujuze kwenye comment hapo chini,
Ila mim naona ni AIRTEL POCKET WI-FI.
Ni wi-fi ya Bei rahisi imara na yenye ofa za vifurushi vya Bei ya chin kabisa
Kumekuwa na akaunti yenye jina la Luaga Mpina inachapisha taarifa mbali mbali kuhusu mambo yanayoendea nchini na kujibu hoja za Mbunge Luaga Joelson Mpina wa jimbo la Kisesa ndani ya mtandao wa X zamani twitter.
Naomba JAMIICHEK inisaidia kujua ukweli kama akaunti hii ni mali halali au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.