mtandao

  1. Tundazuri

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa X zamani Twitter mbona una ugumu kufunguka?

    Jaman wapendwa wangu, naomba msaada wenu. Nimejaribu kuingia tweeter a.k.a X lakini nashindwa jamani. Nataka nifuatilie habari za nchi yetu na mambo mengine.
  2. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa kina kuhusiana na kufungiwa kwa mtandao wa X na mingineyo kwa madai ya account za Serikali kudukuliwa

    Kwanza nitoe pole kwa mamlaka za Serikali kwa changamoto hii kubwa ya kudukuliwa kwa account za Serikali Tatizo hili limesababishwa na baadhi ya viongozi wa Serikali wasio na uadilifu walioamua kuwapa wahalifu nywila za kuingia kwenye kurasa za Serikali Taarifa inayosambaa mitandaoni kuhusiana...
  3. X

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bila VPN hauwezi kuingia X (Twitter) Tanzania. Vipi huko mnaotumia Facebook na Instagram?

    Ndio nashtuka now kila nikijaribu kuingia X inagoma nikasema ngoja nijaribu na vpn imooo! Wajuvi wa mambo tujizeni nini kinaendelea?
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X

    Hali si Hali nchini Tanzania. Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X. Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka hadharani ushahidi wa kutisha namna Rais wa Tanzania na watu wake wa karibu wanavyolifisadi Taifa...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtandao X ni mali ya USA kama mali nyingine

    Kupangiwa mada kama kuwa wapingia wengine ni pesa tu ilivyo nchi za wa kuungwa mkono. Mbona mada kama hizi mfungi au kuna posho CCM. Kuna redio Kenya kuhusu hata udukuzi kuwa nywira una majina ya kisanii mfano Diamond na Zuchu au Samia mada mnafuta au kuwa utawala wa CCM. Kuna siku niliwahi...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesi ya Lissu imesababisha mtandao kuminywa leo? Dawa yenu ipo jikoni, hamuwezi kushindana na teknolojia

    Wakuu, Hali ya mtandao ikoje mliko? Yaani toka asubuhi mtandao imekuwa hovyooo kila kitu kinaenda taratibu kwa spidi ya kobe! Ni hii tu kesi ya Lissu ndio mnafanya mambo yote yasiende na kutuingizia hasara? Yaani Lissu anawatetemesha mpaka mnatumia resource zote kuhakikisha mambo hayaendi sawa...
  7. sanalii

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Tigo/Yas wanakiburi sana cha biashara au wanadharau wateja, TCRA wako wapi?

    Nimetuma pesa kwenye mtandao tofauti, pesa haijafika kwangu wamekata, na wananiambia masaa 72, wanasema tatizo lilitokea jana, chaajabu nimeangalia Instagram, nimeona malalamiko ni mengi sana, na yapo hadi siku za nyuma. Hii inapnesha ni tatizo la muda mrefu. Sasa kwanini hawaweki wazi tatizo...
  8. sayoo

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa telegram

    Habari wadau , hivi ndo tuseme telegram bongo imepigwa ban , maana Nina zaidi ya miezi kadhaa nashindwa kuitumia , nime uninstall na kuinstall upya lakini wap, shida Nini waugwana
  9. Mributz

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mtandao naomba msaada hio clip

    Nimetumiwa link ambayo ni video clip sasa nataka ni download iingie kwenye simu kama video zingine nafanyaje wadau https://youtube.com/clip/Ugkx_ViWoPek1CWrvf5neyJnxVdvI-ySK50H?si=6m-ykzOiXRW6R2MO
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kukosa au kucheleweshwa huduma kila mara katika taasisi za serikali kwa sababu mtandao hakuna au uko chini ni jambo la hovyo sana

    Hakuna jambo linakera kama unafika katika taasisi fulani hasa za serikali na benki unaambiwa huwezi kupata huduma au huduma itachelewa kwa sababu sijui mtandao hakuna au uko chini, duniani huko kwa watu wenye akili sasa hivi wanafikiria kwenda kwenye network ya 6G sisi bado tunambwelambwa na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ni mchakato: Learn → Get Experience → Build networks → ndipo uwaze mtaji, Watanzania wengi wanafanya kinyume ndio maana wanafeli

    Biashara ni mchakato: Jifunze kwanza, kisha pata ujuzi, jenga connections zako, ndipo utakapojua cha kufanya na mtaji. Lakini kwa watanzania wengi ni kinyume, wanaumiza sana vichwa kupata mtaji ili kuanza biashara lakini jambo hili kwenye process nzima inabidi iwe hatua ya mwisho kabisa. ndio...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Mwabukusi kwenye mtandao wa X unaweza kutumika kuhakikisha aende Mbeya kwa kumfungulia kesi na kumuweka ndani

    Ule ujumbe wa vitisho wenye matusi ndani yake alioundika kwenye mtandao wa X, unaweza kutimika kama sababu ya kumkamata na kisha kumshitaki lengo ni kuhakikisha harudi mbeya. Kwa jinsi hawa watu walivyowaoga, wataona ni bora wamalizane nae mapema kabla hajafika Mbeya na njia mojawapo inaweza...
  13. Nehemia Elias

    JamiiForums Tanzania Dereva tax mtandao

    Naitwa Nehemia Elias Bhoke, Natafuta gari ndogo ya mkataba, nina uzoefu wa udereva wa tax mtandao(UBER,BOLT,FARASI N.K), kwa yeyote mwenye gari tuwasiliane 0698789184.
  14. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

    Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforums linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani. Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost...
  15. mirindimo

    JamiiForums Tanzania JINSI PESA INAVYOIBWA KWENYE SIMU ILIYOPOTEA KUTOKA KWENYE MTANDAO AU BANK

    Unapo poteza simu na kuacha ku block ile line kinachofanyika yule aliechukua simu iliyopotea anatoa line kisha anaenda kwa mtu anae sajili line ambao tumewaona wengi sana mtaani na mashine zao, anampa ile line ya simu ili waweze kupata taarifa za usajili wa NIDA wa line husika. Kisha baada ya...
  16. magabelab

    JamiiForums Tanzania TZ Mobile Number Lookup, App inayokuwezesha kutambua namba ni ya mtandao gani kwa urahisi zaid

    TZ Mobile Number Lookup ni aplikesheni inayokuruhusu kutambua papo hapo opereta wa mtandao wa simu anayehusishwa na nambari yoyote ya simu ya Kitanzania. Ingiza tu nambari, na programu itaonyesha opereta. Programu hii ni nyepesi na ya haraka.Ni chombo muhimu kwa mtu yeyote anayehitaji...
  17. Moha 255

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi ya tax, mtandao

    Habari, Naitwa Mohamed ni driver wa tax mtandao….nipo darslam natafuta gari ya kufanyia kazi hii, hivyo kwa yeyote mwenye chombo basi ni fursa hii tuitumie kujenga hii nchi… “Kuhusu uaminifu ni % Hakuna uswahili wala ubabaishaji Hii ni kazi na Naheshimu kazi yangu hivyo tajiri ondoa shaka...
  18. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania China Yazindua Mtandao wa Kwanza wa 10G Duniani

    China ilizindua mtandao wake wa kwanza wa 10G katika Kaunti ya Sunan, Mkoa wa Hebei, Jumapili (Aprili 20), na hivyo kuashiria maendeleo makubwa katika miundombinu ya intaneti. Uzinduzi huu ni kazi shirikishi ya Huawei na China Unicom, na unalenga kuwasilisha kasi ya upakuaji hadi 9,834 Mbps...
  19. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Kwanini unatumia mtandao wa simu ulio nao?

    Wakuu, Kwanini unatumia mtandao wa simu Ulio nao sasa? Ni criteria zipi zilikufanya Uchague namba ya simu ya mtandao fulani kama namba yako kuu? Je incase ume attain Popularity una handle vipi Mawasiliano yako yani unakuwa na Multiples simcard au unafanyaje? Mimi natumia line moja tu ya simu na...
  20. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Airtel leo Kuna Changamoto?

    Wakuu tangu leo asubuhi naona mtandao wa Airtel unasumbua nini Changamoto?
Back
Top Bottom