mtandao

  1. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania KERO Mtandao wa Halotel Tanzania umedorora kwa kiwango cha kushangaza, ukionyesha udhaifu mkubwa katika utoaji wa huduma za mawasiliano

    Katika siku za hivi karibuni, wateja wamekuwa wakijiunga na kifurushi cha GB 10 cha mwezi mzima, lakini ndani ya siku tatu tu, bando limekwisha, huku matumizi halisi ya data yakionyesha kiwango cha 1GB kwa kila siku tatu. Huu ni ushahidi wa wazi wa kasoro katika mfumo wa usimamizi wa data au...
  2. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Leo naacha Rasmi kutumia mtandao wa HALOTEL

    1.Back in days 2022 kuna kipindi watu walikua wakinipigia sipatikani hali ya kuwa simu ipo on, ikawa mpaka mtu arudie mara kwa mara kupiga ndio kuba muda labda itakubali. 2. Kuna kipindi mlishikilia pesa yangu hewani kwa wiki nzima niliyokuwa naituma pahala pa muhimu sana mkanikosesha uaminifu...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,235.1 mwaka 2020 hadi 15,366.36 mwaka 2024. Huo ni utekelezaji wa ujezi wa barabara zenye urefu wa kilomita 2,131.26. Pakua Samia App kupitia...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa "YAS" Msipokuwa serious mtaanguka sokoni

    Kwanza niwapongeze kwa kufanikiwa kweny manunuzi ya mtandao wa tigo na mkaubadilisha jina kuwa" YAS" Mahali mnapofeli kwa sasa 1. Mmebweteka saana, kweny promotion mkiendelea kutegemea promo za zamani za tigo na mnachofanya ni kubadili jina tuu la promotion. 2. Kukosekana kwa ubunifu na...
  5. Nguvuyabwana

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa kwenye biashara yangu ya huduma za kifedha (Uwakala)

    Habari za wakati huu wakuu!. Aisee hatimae na mimi nimefikiwa. Walikuja jamaa watatu kwenye biashara yangu ya huduma za kifedha(uwakala) kwaajili ya kupata huduma. Wawili walikua wanaweka fedha nusu nusu, yani anaweka 20,000 tena anasema niongezee 1,000 mara niwekee tena 5,000. Hii yote...
  6. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Je, Xiaohongshu[RedNote] utakuwa mtandao mbadala wa TikTok endapo utafungiwa January 19 ?

    Huu mtandao wa kichina Xiaohongshu kwa jina la kiingereza RedNote utaweza kuwa mbadala wa TikTok marekani kama utaweza kukufungiwa Januari 19 au ni nguvu ya soda tu kwa sasa. Xiaohongshu, also known as RedNote, has hit #1 on the US App Store following news of a possible TikTok ban on January...
  7. Bueno

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini ila Airtel ndio Mtandao wenye kasi zaidi ya Internet kwa sasa kupita mitandao yote

    Na huu ni ukaguzi wangu binafsi kutokana na eneo nililopo. Hapa nitatoa kitu kinajulikana km customer feedback. Awali ya yote mimi ninatumia mitandao yote ya simu yaan Airtel, Yas zamani Tigo/Zantel, Vodacom na Halotel. Sasa kwa eneo nililopo nimejaribu kufanya tafiti zangu binafsi ili...
  8. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Nichague Mtandao upi wa simu kwaajili ya mawasiliano ya biashara?

    Wakuu niko kwenye final process za Kufungua Kampuni, Nahitaji Wadau mnishauri je Niwe na Namba Moja tu ya simu kwa ajili ya Mawasiliano ya Kampuni au niwe na namba zaidi ya Moja? Na Je nichague mtandao upi wa simu kama namba Kuu ya Kuwasiliana na Kampuni? Location ni Dar es Salam
  9. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Mtandao upi wa simu una huduma bora na za uhakika?

    Hii mitandao ya simu Tanzania imekuwa kero sasa, unajikuta una laini ya kila mtandao na kila laini unasajili kwa kazi yake kwasababu hakuna mtandao unaotoa huduma zake kwa 100%. Nina laini za mitandao mitano lakini kila mmoja una matatizo yake. Halotel, laini yao imeacha kufanya kazi ghafla...
  10. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Twitter uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wa dini umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi duniani wameupuuza

    Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa Serikali na dini duniani waliutumia kama chombo cha mawasiliano cha watu wenye hadhi kubwa duniani...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Unalipi la kusema juu ya mtandao wa YAS

    Ndugu zangu siku za karibuni mliifahamu kama kampuni ya TIGO sasa imekuwa YAS una lipi la kusema juu ya mabadiliko haya Hii imekaaje tangu ilipobadilishwa na kuitwa YAS huku huduma ya fedha ikiitwa MIXX by YAS badala ya TIGO PESA?? Je tutegemee mafanikio makubwa ama kifo cha mende??
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Yas na meseji za kero

    Kila muda meseji za ovyo ovyo, Mara Yas majift,mara upuuzi wa marathon,mara sijui ujinga gani, ujinga ujinga tu muda wote!
  13. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini gharama za kutuma pesa kutoka Akaunti ya benki kwenda mtandao ya simu ni kubwa sana?

    Hili suala limekaaje kitaalamu, mfano benki kama NMB ukitaka kutuma pesa kwa mtu kutoka kwenye Akaunti ya benki kwenda kwa namba yake ya simu Cha mtema Kuni utakiona. Je hii ni sawa wakuu? Kwanza gharama za makato hazionekani kabla ya kutuma pesa, ila utakutana nazo tu ukishatuma tayari. Hii si...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Zitto na wenzake walianzisha 'Mtandao wa Ushindi' ndani ya CHADEMA, Lissu anafuata utaratibu

    Tuliokuwepo miaka ya 2010 tunakumbuka Zitto, Mwigamba, na Kitila walianzisha na kuratibu mtandao wa siri ulioitwa ' 'Mtandao wa Ushindi' nje ya utaratibu wa Chadema ili kumwezesha Zitto Zuberi Kabwe kutwaa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa; Remember MM, MM1 MM2 na MM3. Similarities ya...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TikTok yapewa muda hadi Januari 19, 2025 iwe imeuza hisa zake kwa mwekezaji wa Marekani au ifungiwe

    Mahakama ya Rufaa ya D.C. imetangaza uamuzi wa kuunga mkono sheria inayotaka ByteDance, kampuni mama ya TikTok kutoka China, kuuza hisa zake za programu hiyo ifikapo Januari 19, 2025, la sivyo itakabiliwa na marufuku kote Marekani. Sheria hiyo, inayojulikana kama Protecting Americans from...
  16. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbona Rais Samia hajakipongeza chama chake kwa ushindi wa kishindo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wadau, vipi mbona Bi. Mkubwa hajajitokeza kupitia mtandao wa X kukipongeza chama chake na wana-CCM kwa ujumla baada ya kupata ushindi wa kishindo kwennye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika tarehe 27/11/2024? Mpaka jana tarehe 29/11/2024, mtandaoni anasomeka, ila tunasoma habari...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Tigopesa/Yas/Mixxpesa jana umetutia hasara kubwa

    Siku ya jana nilitoa fedha kwa wakala. Hapa nilipo huwa kuna mwendo kiasi hadi kufikia alipo wakala. Sasa nina wakala ambaye huwa natoa fedha alafu namwagiza boda ananiletea mpunga wangu home nampa buku. Sasa jana nikafanya hivyo, kwanza mtandao ukawa haupo. Nikamcheki jamaa baada ya muda...
  18. 3 Angels message

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Mawasiliano mtandao wa Yas

    Salama wakuu Kuanzia mida ya jioni leo huu mtandao wa Yas naona unanipa shida kufanya mawasiliano kwenye kifaa changu Simu hazitoki, sms haziingii internet imekata ukiwatafuta huduma kwa wateja namba hazitoki Sijajua shida ipo kwenye simu yangu au na wale wanaoutumia mtandao huu wamepata...
  19. enzo1988

    JamiiForums Tanzania YAS NA MIXX BY YAS, tunaomba ufafanuzi mtandao unasumbua!

    Kuanzia saa nane mchana mpaka muda huu huduma zote hazipatikani, tunaomba ufafanuzi!
  20. L

    JamiiForums Tanzania Pesa Mtandao

    Kwa wale tuliozoea neno 'Tigopesa' na uhusiano wake na huduma inayopatikana ya 'Pesa' kwa njia ya mtaandao wa TIGO, mnaonaje matumizi ya neno jipya la 'Mixx by Yas' lisivyo na uhalisia/ufanani na huduma inayotolewa ya 'Pesa'! Inawezekana wahusika na kubadilika kwa jina hilo wana maana nzuri tu...
Back
Top Bottom