Wananchi wa Kata ya Unyahati wilayani Ikungi mkoani Singida wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa minara ya simu ili kurahisisha mawasiliano katika vijiji vyao kutokana na huduma hiyo kusuasua hivyo kulazimika kupanda juu ya miti na mawe ili kupata mawasiliano.
Siku hizi, mtu akisema hana social media tunamshangaa kama kiumbe cha ajabu. Kila kitu kipo mtandaoni—kuanzia meme, trending stories, biashara, hadi mahusiano. Ila swali linabaki: Vijana tunatumia nguvu hii kujenga maisha yetu au tunajiharibia? 🤔
Nguvu ya Mtandao: Fursa au Burudani Tu?
Kuna...
Kuna changamoto kubwa sana na inajirudia mara kwa mara kwenye ATM za NMB Buhongwa hali inayoleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wanaotokea maeneo mbalimbali na kuna taarifa kwamba wanafanya makusudi ili watu waende kwa mawakala ambako makato ni makubwa zaidi kwani changamoto huonekana zaidi...
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Maryprisca Mahundi, ametoa siku 14 kwa Shirika la Mawasiliano Tanzania, (TTCL) kuhakikisha linaongeza nguvu ya mtandao wa mawasiliano ya simu na internet, katika kituo cha pamoja cha Forodha cha Kasumulu, kilichopo kwenye mpaka wa Tanzania na...
Mahakama ya Tanzania imekabidhi makasha 10 ya kisasa ya Mahakama Mtandao kwa Jeshi la Magereza, yatakayowezesha usikilizaji wa mashauri kwa njia ya mtandao ili kusaidia utoaji haki kwa wakati, kupunguza msongamano wa wahalifu magerezani pamoja na kupunguza gharama za usafirishaji wa wafungwa na...
Kampuni ya Chang Guang Satellite imeweka kiwango kipya cha 100 Gbps kwa kutumia kiunganishi cha laser kutoka angani hadi Duniani, ikiiacha Starlink nyuma na kutanguliwa na satelaiti za Jilin-1, hii sio tu kuhusu intaneti ya kasi zaidi—ni hatua kubwa kuelekea uvumbuzi wa hali ya juu wa kuelekea...
Mambo vipi wakuu?
Wakuu naomba msaada kwa yeyote mwenye uzoefu, kuna ajira zilitangazwa na Sekretarieti ya Ajira na usaili wake yaani written interview ni tar.19 mwezi huu.
Sasa huu usahili ni kwa njia ya mtandao, huu usahili kwa njia ya mtandao ndio inakuaje? mnapewa tablets then mnaingia...
Je, uhai lazima uwe na macho? Lazima utambe au uruke? Au unaweza kuwa kitu tulivu, kinachostawi gizani, kikienea polepole kwa mamia ya karne bila mtu yeyote kugundua? Katika simulizi ya ajabu ya maisha, kiumbe kikubwa zaidi duniani si nyangumi wa buluu anayetamba baharini, wala si mti wa miwata...
Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMENT) pamoja na Kituo cha Sheria na haki za binadamu LHRC wameendelea kuisisitiza Serikali kuhusiana na kufutwa kwa adhabu ya viboko shuleni badala yake kubuniwe kwa adhabu ngingine zenye kuongeza stadi za maisha kwa mwanafunzi.
Soma: Simiyu: Mwanafunzi adaiwa...
Mtandao namba 1 kwa kuibua mijadala mbalimbali ulimwenguni maarufu kama X zamani ukijulikana kama Twitter ni kama umezimwa nchini Tanzania. Ukijaribu kuingia kwa njia ya kawaida unagoma mpaka utafute VPN.
Je ni tatizo la kimtandao au ndio umezimwa kimyakimya?
Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies, Farhiya Warsame, inayojenga Bomba la Gesi kutoka Kisemvule hadi Mbagala (kilomita 19) jijini Dar es Salaam.
Kampuni hiyo pia itajenga vituo vitano vya CNG...
Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-net) mkoani Kilimanjaro leo Machi 6, 2025 wametoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha wazee wasiojiweza Njoro, kilichopo kata ya Mji mpya mkoani hapa.
Vitu vilivyotolewa ni mchele kilo 100, unga wa ugali kilo 50, unga wa ngano kilo 50, mafuta ya kula...
Habari za Asubuhi wakuu,wale wakubwa zangu Shikamoo Mshana Jr ,Shikamoo ndugu yangu wa muda mrefu GENTAMYCINE ,mambo vipi mdogo wangu rikiboy Mzee wa kula Tunda kimasihara,
Kiufupi ndugu yenu ZERO IQ nilijipa breki kidogo hapa Jamii forum na kwenda huko kwenye huo mtandao wa watu wa X zamani...
Nimekuwa naona mara kwa mara ikishafika saa6 kamili usiku (00:00) au ndani ya dakika kumi za mwanzo network ya Voda inazima kabisa!
Inarudi baada ya nusu saa au pengine inarudi saa7!
Kwanini inakuwa hivi?
Habari wanajukwaa,
Nimekua mtumiaji wa mtandao wa YAS (Tigo) kwa miaka sasa. Ila mtandao huu umejaa janja janja sana.
Wakati wanahama kutoka jina la Tigo kwenda YAS mtandao huu ulijitabainisha upo nchi tano.
Tanzania
Togo
Comoro
Senegal
Madagascar
Ila cha kushangaza huu mtandao unapotoka nje...
Sasa mkombozi wetu ametufikia tena.
Ni jambo la kumshukuru Mungu.
Jamaa yetu Elon kakinukisha huko.
Mnalionaje hili wakuu,
Sasa simu zetu zimewezeshwa kushika mtandao wa Starlink.
Kwa heri Vodacom, Kwa heri Airtel, Kwa Heri Yas, Kwa Heri Halotel.
Tubaki na biashara za Miamala.
Source...
Wakuu namtanguliza salamu nadhani mko salama kabsa,
katika shughuli zangu na kutokana na mazingira ninayo ishi huduma zangu za kimawasiliano na kimtandao hua matumia mtandao wa Tigo (yas) sasa nimekumbana kadhia ya kukatwa salio kila nikifanya miamala na kila nikinunua vifurushi kupitia mtandao...
Huyu Tundu Lissu ni mtu wa hatari sana.
Nilikuwa naangqlia live anavyochambua hoja kwa hoja kuwaelezea Watanzania kwa nini wanasema No Reform No Election.
Nonso alizokuwa anatema Lissu hata uwe kilaza wa mwisho lazima utamwelewa. Alikuwa anatoa na takwimu sahihi bila kusoma popote.
Naona Simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.