Kwa heshima na taadhima, naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu watumiaji wenzangu wa mtandao huu mkubwa na huru wa JamiiForums. Tukiwa sehemu ya jukwaa hili lenye mchango mkubwa katika kukuza mijadala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kidemokrasia, hatuna budi kuwa na nidhamu ya...
Wakuu kuna jambo ambalo nimelitafakari bila kupata majibu toka serikali ilipofungia mtandao wa X almaarufu Twitter.
Nimeshindwa kuelewa hii serikali inaendeshwa na wendawazimu ama vichaa kwakuwa kwa yanayoendelea ni udhihirisho tosha kuwa ni watu wasio na weledi, reasoning na hata common sense...
Wakuu nawataarifu msinunue mabandle kwenye halotz...wanaiba hela kwa nguvu
1. Nilikuwa na dkk zaidi ya 600 za mwezi zilitakiwa ziishe 20 July lakini zimeipotea yaan ukiangalia salio ni zero na sijazitumia
2. Nilinunua GB 1 jana usiku nikaingia fb dkk moja nikalala asubuh nikakuta no data...
Tangu mtandao wa X kufungiwa, imekuwa ni shida sana kupata habari za muhimu kutoka Duniani.
Msaada kwa anayejua namna ya kupata access ya mtandao huo kwa sasa.
Ahsante.
Na kama kuna BOMU KUBWA na la HATARI ambalo Rais Samia ANALIMILIKI bila ya Yeye kujua ni la kukubali KUTAWALIWA na MACHAWA wa ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na wale alionao SERIKALINI Kwake hasa Mawaziri wake Waandamizi Watatu (nawahifadhi) ambao kutwa WANAMHARIBIA huku Yeye...
Wadau hamjamboni nyote, Iran yapiga marufuku maafisa kutumia vifaa vilivyounganishwa kwenye mtandao Leo, saa 2:00 usiku Mamlaka ya usalama wa mtandao ya Iran imepiga marufuku maafisa kutumia vifaa vinavyounganishwa kwenye mtandao, ikionekana kuhofia kufuatiliwa au kudukuliwa na Israel. Kwa...
Viongozi wenye mamlaka serikalini eleweni si wote tunafata maudhui ya ngono huko X,bali huko tunapata kuhabarika,kujifunza mambo mbalimbahi muhimu kama makala za afya,elimu,tarifa nk.Kwa upande wangu mi sijawahi kuona hayo mnayosema maudhui ya ngono msemayo.Sasa kuufunga ni kututendea kwa chuki...
Wakuu,
Je kuna sababu gani za Msingi za MTN kutokuwepo Tanzania
MTN ni mtandao mkubwa zaidi wa Mawasiliano kwa Africa na Origin yake ni South Africa
yeye ndio leading kwa Africa akifatiwa na Vodafone group halafu Airtel
Kwa East africa MTN yupo Rwanda na Uganda ila Kenya hayupo ila mtandao wa...
FAHAMU KWA UNDANI IP ADDRESS NI NINI NA INA UMUHIMU GANI KATIKA MTANDAO?
🔎 1. IP Address ni Nini?
IP (Internet Protocol) Address ni anwani ya kipekee ya nambari inayotambulisha kifaa chako kwenye mtandao—iwe ni simu, kompyuta, TV ya kisasa, au printer.
Ni sawa na anuani ya nyumba: bila hiyo...
Hello, wanaJF;
Sote tunajua Serikali imefungia mtandao wa X (Twitter) lakini wao Serikali wanaendelea kuutumia kwa kutoa matangazo yao kwenda kwa Wananchi na watumiaji wa mtandao huo.
Sababu zao wanasema ule mtandao unaruhusu Ngono, maana yake kila anayeingia mule anaenda kuangalia ngono...
Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming.
Kupitia mfumo huu mpya, mtumiaji wa simu ataweza kuunganishwa na mtandao wowote uliopo karibu; bila kujali kampuni ya simu ambayo amesajili laini yake.
📶...
30 May 2025
Dar es Salaam
https://m.youtube.com/watch?v=nUGKwZ44tlQ
Tech & Media Covergency na PIN wazungumzia kuhusu changamoto za TEHAMA barani Africa huku mtandao wa X ukiwa umezimwa, na nchi mwenyeji wa mkutano huo wa wadau wa Barani Africa unafanyika Tanzania jijini Dar es Salaam.
Wadau...
Napata shida kidogo hapa. Kuendelea kutopatikana kwa mtandao wa X Nchini si sawa kabisa na kukubali hila mbaya za adui?
Ebu fikiri, mwizi kavunja mlango na kuiba mali zako. Badala ya kuimarisha ule mlango na ulinzi kwa ujumla na kuendelea kuishi katika nyumba yako, wewe unaamua kuivunja nyumba...
Kuanzia leo Mei 29 hadi 31, 2025, JamiiAfrica inashiriki katika Mkutano wa 14 wa Afrika wa Utawala wa Mtandao (AfIGF2025) unaofanyika Dar es Salaam katika Ukumbi wa JNICC.
Mkutano huu unawakutanisha wadau mbalimbali kutoka Serikalini, Sekta binafsi, Asasi za Kiraia na Vijana ili kujadili kwa...
Hapa ndio ukomo wa akili wa hawa chawa mama ccm.
Unajionesha wewe ni imara sijui uteteleshwi ila mda si mfupi unaenda kuwa lilia mikopo ya vyoo vya mashule.
Kufunga mtandao X na bado unatumia kutoa habari zenu za vyama vya ccm na serikali mnataka wasome nani.
Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana
Haya mambo tunafanyiwa waafrika haswa sisi wabongo wenye amani na utulivu.
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa sasa ni kiangazi kwetu kwa hiyo pilika pilika za mashambani ni nyingi sana. Kwa hiyo Muda wote tunakuwa Bize . Sasa nimepata nafasi nikawa nimepumzika nikasema nikatembelee Twitter huko maarufu kama X niangalie habari za hapa na pale .
Ila naona unagoma.
Kazi...
Wenzetu mnaofahamu mambo ya IT. Hivi kiswaswadu si vile visimu vya torch ambavyo havina android wala ios.
Sasa imekuwaje kuwa rahisi kudukuliwa kuliko smartphone.
Hii nchi bwana
Mjadala unaweza kuamilishwa na maelezo haya.
Kwa ujumla, simu za kisasa (smartphones) ni rahisi zaidi kudukuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.