mtandao

  1. JamiiForums Tanzania Dereva wa taxi mtandao (bolt,uber n.k)

    Mimi ni dereva mzoefu mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 2. Kwa sasa natafuta gari la mkataba au la hesabu kwa ajili ya kufanya kazi za Uber na Bolt.nina account ya bolt nk Pia niko tayari kufanya kazi kama dereva binafsi kwa mtu au kampuni. Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali wasiliana nami kupitia...
  2. JamiiForums Tanzania MTUWASA: Maeneo ambayo hawajapata maji Mbae Mashariki, Mkandarasi yupo site kuongeza Mtandao wa maji

    TAARIFA KWA UMMA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa iliyochapishwa kupitia ukurasa wa JamiiForums tarehe 01/06/2026 kuhusu maunganisho ya huduma ya maji Mbae Mashariki. Hoja ya Mdau ~ Wakazi wa Mbae (Mtwara Majini) tumeomba...
  3. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa taifa lina mpasuko mkubwa sababu WanaCCM mtandao wamegeuza keki ya taifa kuea mali yao na kesi ya Lissu imeongeza chuki dhidi ya watawala

    Hakuna mtanzania anaefurahia huu utawala kwa amani. Wengi wanafurahia kwa shingo upande na unafiki. Angalia hata hao wanaCCM makabwela ambao hudanganywa kwa baiskeli na tisheti safari hii hawautaki huu utawala wa CCM. Kesi ya Lissu inazidi kuligawa taifa sababu kila mtanganyika mwenye akili...
  4. JamiiForums Tanzania Mtandao Gani una Coverage nzuri Countrywide

    Wakuu natarajia kuwa na Safari almost TZ yote mikoani na wilayani! sasa based on experience je ni mtandao upo ipi miwili ambayo itani offer best coverage during my trip to Tanzania and probably pia naweza kufika na Nchi jirani za Africa mashariki wakuu
  5. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ina mradi wa reli uliokwama zaidi ya miaka 10 + Daraja lililoanguka | China inajenga mtandao mpya wa miundombinu kila kukicha

    Tangu 2008 serikali ya Marekani kupitia jimbo la California, iliidhinisha ujenzi wa California High Speed Rail (San Francisco–Los Angeles) mpaka leo miaka 18 mradi haujakamilika. Zimejengwa km 192 tu kwa zaidi ya USD 100 billion. USD 100 billion China wanaweza kujenga km 1600-4000 ikitegema...
  6. JamiiForums Tanzania Msàada mtandao wa X (twiter )unagoma nikidownglod kwenye simu

    Tangu nimeflash simu huu mtando ndio pekee umegoma niki downglod pamoja na kutumia vpn lakini wapi Yani kuna mda kama unataka kukubali naingiza user name na pasward nalog in inazunguka kiasi alafu inakata yenyewe cm inarudi kawaida kama nime exit vile. Nifanyenye?
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi Aliko Dangote Alivyofanikiwa Kujenga Dangote Refinery na Nguvu ya Mtandao wa Mabilionea wa Nigeria

    Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban dola bilioni 18–20 uligeuka kuwa refinery kubwa zaidi Afrika, lakini nyuma yake kuna simulizi la...
  8. JamiiForums Tanzania SIRI-JINSI Aliko Dangote Alivyofanikiwa Kujenga Dangote Refinery na Nguvu ya Mtandao wa Mabilionea wa Nigeria

    Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban dola bilioni 18–20 uligeuka kuwa refinery kubwa zaidi Afrika, lakini nyuma yake kuna simulizi la...
  9. JamiiForums Tanzania Mtandao wa JamiiForums kuleta feature mpya kuzuia Utapeli

    ecg Mtandao wa jamii forums ambao uliachiwa Toka mwaka 2006, imekua ni mtandao wa kipekee unaokutanisha vijana kujadili mambo mbalimbali kuhusu Teknolojia, Siasa, maisha, upendo nk. Sasa katika kuendana na Mitandao ya kijamii kisasa imekua ikileta feature mbalimbali za kisasa na kwa sasa iko...
  10. JamiiForums Tanzania Jamiiforum ni mtandao mgumu sana kukua au kukukuza

    Mwaka jana nilitangaza nia ya kutangaza urais Tanzania na nilifocus sana jamiiforum ila baadae niligundua nilifanya makosa makubwa na kuamua kukaa kimya hii ni baada ya baadhi ya watu kuniambia kwanini uko kimya na majibu yangu ni kama ya ifuatayo:- Majority ya member hawako serious ni utani...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaozuia mtandao mpaka sasa wamepata faida gani?

    Tangu mwaka jana jukwaa hili lilizuiwa kwa muda wa siku 90 na TCRA. Tulipitia wakati mgumu sana kwa sababu hili jukwaa lina manufaa mengi sana hasa kwa ustawi wa taifa letu. Ni kupitia jukwaa hili ambapo wananchi huwasilisha kero na changamoto mbalimbali zinazowakabili. Ni kupitia jukwaa hili...
  12. JamiiForums Tanzania Kwenu CCM mtandao

    Ni dhahiri sasa, kuwa unaweza kumunywesha sumu mtu lakini hauwezi kabisa kunywesha sumu ukweli aliokuwa anaufundisha. Unaweza kumteka mtu anayewafundisha watu ukweli lakini hawezi kuuteka ukweli uliowaingia mamilioni ya watu. Kwa Magufuli mlishangilia na kula nyama mkidhani mmeshinda, kiko...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Suala la Mfumo au Mtandao wa Uhamiaji kuwa chini muda mwingi ni kero

    Idara ya uhamiaji jamani pameshakuwa kero Tena zaidi ya kero.. Unaenda kufanya mchakato wa Passport ukifika huko wanakujibu kuwa hakuna mtandao Wiki nzima au muda mwingine wanakuambia eti taarifa zako zimeliwa na Virus like seriously 😳?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania miongoni mwa nchi zenye uhuru mdogo zaidi wa mtandao

    Kwa mujibu wa tafiti iliyofanywa na Cloudwards 2026 ikihusisha nchi 171 ikitathmini viwango vyao vya udhibiti wa mtandao kwa kutumia vigezo vya; matumizi ya majukwaa ya mitandao ya kijamii, upatikanaji wa maudhui mbalimbali ya kisiasa na kidini, kanuni zinazohusu matumizi ya VPN pampja na...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa Halotel mboni Mtandao mzito hivi?

    Hivi ni mimi tu huku nilipo au na wengine huko mlipo mnakipata hiki kisanga ninachokipitia mimi? Yaan mtandao mzito sio poa. Halotel shida nini Wazee?
  16. C

    JamiiForums Tanzania Mafanikio niliyoyapataa mtandaoni na kweye mitandao mbalimbali ya kijamii

    Humu mitandaoni nimepata mafanikio mengi na leo nitaanza na machache na pia nitaanza na ya humu Jamiiforums, Nimejiunga JF mwezi huu march 2026, lakini katika uzi wangu tu wa kwanza wa kusema hodi, ali reply active kunipa ukaribisho, kwa namna rahisi tuseme active alihudhuria kwenye hafla ya...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mambo ya mtandao wa Internet waendelea kupunguza pengo la kidigitali barani Afrika

    Mwezi Agosti mwaka 2021, kwenye mkutano wa kwanza wa Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na nchi za Afrika, China ilitangaza kuzindua mpango wa ushirikiano na nchi za Afrika kwenye eneo hilo, ukihusu ujenzi wa miundo mbinu ya mtandao wa Internet pamoja na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China na nchi za Afrika kushirikiana kwenye kujenga Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kwenye mambo ya mtandao wa Internet

    Mwezi Agosti mwaka 2021, China ilizindua Mpango wa China na Afrika wa Kujenga Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kwenye mambo ya mtandao wa internet, na kuwa jukwaa la kwanza la Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na Afrika. Ushirikiano huo ni mwendelezo wa...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi hakuna namna rahisi ya kujua Code ya mtandao wa simu kwa haraka?

    Wakuu, Nimekuwa nikipata changamoto ya kutambua code ya namba ya simu iliyokupigia au uliyopewa na mtu kwa kuangalia maana zinafanana na kila siku zinakuja mpya. Sasa hii inakua Changamoto kama mjuaavyo nchi hii imeshakua ya mabando, sasa unajikuta una dakika za mtandao mmoja tu ambazo huwezi...
  20. JamiiForums Tanzania Netanyahu "Bibi" Jioni hii Kapost kwenye Mtandao wa X

    Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu maarufu kama Bibi ambaye pia ni komando wa zamani wa Jeshi la Israel IDF ametumia ukurusa wake wa X kupost na kuzima tetesi ambazo zilikua zinasambaa kwa kasi kuwa kauwawa Myahudi amepost kuzima tetesi zote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…