Anahitajika dereva wa taxi mtandao (bolt, uber) DODOMA

Anahitajika dereva wa taxi mtandao (bolt, uber) DODOMA

Magari damu

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2020
Posts
445
Reaction score
780
Habari wakuu, nina gari yangu Toyota IST nahitaji dereva kwa ajili ya kufanyia biashara ya taxi mtandao. Dereva aliepo Dodoma.
Sifa za dereva
1. Uwe na daraja sahihi la leseni ya kuendesha gari ndogo za biashara
2. Mwenye uzoefu kwenye biashara hii
2. Tabia njema na uaminifu
3. Mstaarabu barabarani na anaejali chombo chake pamoja na watumiaji wengine wa barabara.

Nicheki PM kwa maelezo zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom