Mtandao wa Siri

Mtandao wa Siri

VEN Ken

Member
Joined
Nov 3, 2026
Posts
27
Reaction score
46
Ndugu watanzania n wangapi washajiuliza swali hili ambalo mm nimelitafakar mda huu,Kwa kiufup kabisa nimewaza kwamba hv inawezekana kabisa huu mtandao unaoteka na kuua watanzania kwenye hizi siasa zetu,hv haiwezekan n watu ambao hata hawapew maagizo bali n kikund Cha Siri ambacho kiliundwa Ili kiumize watz Ili chenyewe kipate faida kutokana na Serikal iliyoko madarakani what if hata CCM wenyewe hawajui mfumo huu wa kuteka watu km tunavyofikiria,nimewaza tu
 
Au sio......
Screenshot_2026-08-06_010136.jpg

Atanasa kidagaa mchele
 
Kama ingekuwa CCM haiutambui na haihusiki, wangeukemea wazi wazi, na wangeujadili kwenye bunge lao feki.

Ni wanufaika wakuu wa matendo yake maovu.

Na jawabu la hili ni kwamba: dawa ya moto ni moto.
 
Ndugu watanzania n wangapi washajiuliza swali hili ambalo mm nimelitafakar mda huu,Kwa kiufup kabisa nimewaza kwamba hv inawezekana kabisa huu mtandao unaoteka na kuua watanzania kwenye hizi siasa zetu,hv haiwezekan n watu ambao hata hawapew maagizo bali n kikund Cha Siri ambacho kiliundwa Ili kiumize watz Ili chenyewe kipate faida kutokana na Serikal iliyoko madarakani what if hata CCM wenyewe hawajui mfumo huu wa kuteka watu km tunavyofikiria,nimewaza tu
Wangekuwa wameshawadaka, serikali isingevumilia kutukanwa na kulaumiwa kila siku na wao hawahusiki
 
Ndugu watanzania n wangapi washajiuliza swali hili ambalo mm nimelitafakar mda huu,Kwa kiufup kabisa nimewaza kwamba hv inawezekana kabisa huu mtandao unaoteka na kuua watanzania kwenye hizi siasa zetu,hv haiwezekan n watu ambao hata hawapew maagizo bali n kikund Cha Siri ambacho kiliundwa Ili kiumize watz Ili chenyewe kipate faida kutokana na Serikal iliyoko madarakani what if hata CCM wenyewe hawajui mfumo huu wa kuteka watu km tunavyofikiria,nimewaza tu
Inawezekana kuna watu wanajipenyeza humo humo kupita kivyao, lakini CCM ndio waanzilishi na wanaomiliki mtandao wa kiserikali.

Yani ni kama una gari lako halafu ukaona msafara wa Samia, na wewe ukaliingiza gari lako kwenye msafara wa Samia usisumbuliwe njiani.
 
Kingekuwa kikundi cha Siri, watawala wasingejibu kwa fedhuli, kebehi na dharau.

Wamewatuma, wanawalipa, wanawalinda na wamewatungia na sheria ya kutokuguswa hata kama watauwa yeyote.

Na Nchimbi yuko wapi je Serikali haijui ???

Acha porojo na kujitoa ufahamu.
 
Hili kufanikisha hilo zoezi lazima kuna walinzi nyuma yao.

It’s not knew duniani, ni coached people.
 
Ndugu watanzania n wangapi washajiuliza swali hili ambalo mm nimelitafakar mda huu,Kwa kiufup kabisa nimewaza kwamba hv inawezekana kabisa huu mtandao unaoteka na kuua watanzania kwenye hizi siasa zetu,hv haiwezekan n watu ambao hata hawapew maagizo bali n kikund Cha Siri ambacho kiliundwa Ili kiumize watz Ili chenyewe kipate faida kutokana na Serikal iliyoko madarakani what if hata CCM wenyewe hawajui mfumo huu wa kuteka watu km tunavyofikiria,nimewaza tu
Acha upuuzi mkuu!
Watu wamchukue mtu na kumtoa ndani ya bus,baadae mwili wake unaokotwa ukiwa umeharibiwa vibaya,halafu anakuja mmoja wetu anasema KIFO NI KIFO TU!

Hicho kikundi ni cha SIRI kama unavyotaka kujitoa akili hapa? Vipi kama ni kweli ni cha SIRI,ilikuwaje yule jamaa sijui SATVA akamtambua mmoja wao?

Je,ikiwa ni kweli ni cha SIRI,ulishawahi kuona MAMLAKA za usalama zikijibidiisha kukitambua na kukidhibiti hicho kikundi?
 
Ndugu watanzania n wangapi washajiuliza swali hili ambalo mm nimelitafakar mda huu,Kwa kiufup kabisa nimewaza kwamba hv inawezekana kabisa huu mtandao unaoteka na kuua watanzania kwenye hizi siasa zetu,hv haiwezekan n watu ambao hata hawapew maagizo bali n kikund Cha Siri ambacho kiliundwa Ili kiumize watz Ili chenyewe kipate faida kutokana na Serikal iliyoko madarakani what if hata CCM wenyewe hawajui mfumo huu wa kuteka watu km tunavyofikiria,nimewaza tu

..wamedumu kwa muda mrefu.

..lazima ni genge lililoundwa na serikali.
 
Ndugu watanzania n wangapi washajiuliza swali hili ambalo mm nimelitafakar mda huu,Kwa kiufup kabisa nimewaza kwamba hv inawezekana kabisa huu mtandao unaoteka na kuua watanzania kwenye hizi siasa zetu,hv haiwezekan n watu ambao hata hawapew maagizo bali n kikund Cha Siri ambacho kiliundwa Ili kiumize watz Ili chenyewe kipate faida kutokana na Serikal iliyoko madarakani what if hata CCM wenyewe hawajui mfumo huu wa kuteka watu km tunavyofikiria,nimewaza tu
Point yako ni aidha unajua au unataka kujua, basi kama Taifa haliko salama. Kama watu watateka na kuua watu na dola haielewi ni akina nan bas Taifa haliko salama!!
 
Ndugu watanzania n wangapi washajiuliza swali hili ambalo mm nimelitafakar mda huu,Kwa kiufup kabisa nimewaza kwamba hv inawezekana kabisa huu mtandao unaoteka na kuua watanzania kwenye hizi siasa zetu,hv haiwezekan n watu ambao hata hawapew maagizo bali n kikund Cha Siri ambacho kiliundwa Ili kiumize watz Ili chenyewe kipate faida kutokana na Serikal iliyoko madarakani what if hata CCM wenyewe hawajui mfumo huu wa kuteka watu km tunavyofikiria,nimewaza tu
Yaani uwe baba mwenye mji, na kwenye mji wako ndg zako wanauawa mchana kweupe (mf. Kibao), na wewe hutamki neno, ila tunasikia watoto wako wakisema 'sio baba anayeua, hao ndg wanajiua wenyewe, n.k.
 
Wewe tu ndio hujui ila kikosi kazi kipo kwa mujibu wa sheria iliyoboreshwa KIPINDI CHA JIWE mswada ulipelekwa bungeni kuwapa nguvu hao wasiojulikana pia kuliwekwa kinga ya watu watatu wasishtakiwe
 
Inawezekana kuna watu wanajipenyeza humo humo kupita kivyao, lakini CCM ndio waanzilishi na wanaomiliki mtandao wa kiserikali.

Yani ni kama una gari lako halafu ukaona msafara wa Samia, na wewe ukaliingiza gari lako kwenye msafara wa Samia usisumbuliwe njiani.
Na hali ikiruhusiwa hivi Tanzania inaweza kuwa kama Haiti.

Hao wauao kwa sasa inaonekana wanaua kwa maekekezo, je akikosekana wa kutoa maekekezo si wataua yeyote ili kujipatia riziki.
 
Utekaji unaofanyika bongo una mkono wa serikali, wangekua wanafanya watu wengine hata dakika 10 hazitaisha mtu anapatikana.
 
Ndugu watanzania n wangapi washajiuliza swali hili ambalo mm nimelitafakar mda huu,Kwa kiufup kabisa nimewaza kwamba hv inawezekana kabisa huu mtandao unaoteka na kuua watanzania kwenye hizi siasa zetu,hv haiwezekan n watu ambao hata hawapew maagizo bali n kikund Cha Siri ambacho kiliundwa Ili kiumize watz Ili chenyewe kipate faida kutokana na Serikal iliyoko madarakani what if hata CCM wenyewe hawajui mfumo huu wa kuteka watu km tunavyofikiria,nimewaza tu
mbona kinachagua watu wanaopinga SIRIKALI tu kuwateka, mbona hakijamteka CHALAMILA
 
Ìwapo hilo linaweźakana huku wenyewe wakìjigamba vyombo vyote na sirikali ni yao basi na wapotezwe wao hadi wamaliźike baada ya hapo wafuatie wazalendo wa taifa hili.
 
Back
Top Bottom