mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Brother amepata likizo anakuja kagua mashamba na mtaji nilishakula sijui nifanyeje

    Asee Christmas kwangu imekuwa ya hovyo balaa, naona kama imekuja niumbua. Kwanza kabisa mimi ni kijana wa miaka 33 ni degree holder lakini mpaka sasa sina kazi ya kueleweka, jambo ambalo limefanya nishindwe kuwa na familia. Maisha Dar yalinitandika haswa ikabidi nirudi kwa mama ndio mpaka sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza soko la kununulia mzigo na namna ya uuzaji mtaji wangu ni laki saba

    Naombeni mawazo yenu wadau kuhusu biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza sehemu ya kununulia mzigo na namna nzuri ya kuuza kwa wepesi mtaji wangu ni laki Saba (700000) siishi nyumbani nimepanga.
  3. JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa 1,600,000 nataka kufungua biashara ya gesi naomba ushauri

    Ushauri naomba ndugu; mtaji ni 1.6m nimefikiria kuanza uwakala wa gas naomba ushauri labda nini tofauti na uwakala wa gas naeza fanya kwa maeneo ya Kigamboni.
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri - mtaji wa laki moja

    Wakuu habari za wakati huu, i hope mko wazima wa afya na mlio dhaifu basi Mungu awatie nguvu. Niende direct kwenye hoja yangu. Nimekua very broke kwa kipindi cha miezi michache tangu kibarua changu kipeperushwe na issue ya Corona, sasa nimepata kamtaji ka laki moja ninako hapa. Nahitajo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina mtaji mkubwa kisiasa kuliko CCM na ACT wazalendo, ruzuku na madaraka visiwaondoe kwenye reli

    Siasa Ni mkakati, siasa ni kujua mapungufu ya mpinzani wako, siasa safi nikuweka wananchi mbele nakuzika matamanio binafsi kwa mgongo wa itikadi. Tangu chadema watoe tamko lakuwafukuza viongozi na wanachama 19 mashambulizi toka ACT na CCM yamekuwa mengi sana. Hakuna linalofanywa bila kuitaja...
  6. JamiiForums Tanzania Eneo la kufungua biashara ya huduma za ufundi simu, laptop, smart Tv nk kwa Dar kwa mwenye mtaji mdogo

    Niaje wadau, ni wapi Dar panafaa kwa biashara ya ufundi tajwa hapo juu kwa mtu anaenza na hana mtaji wa kukodi frem sehemu zilizochangamka kama Kariakoo na zinginezo? Yaani namaanisha sehemu yenye idadi kubwa ya watu na bei ya frem iwe chini sana angalau isizidi elfu 50 kwa mwezi, msaada mimi...
  7. JamiiForums Tanzania CORONA isiwe mtaji wa kisiasa, hawakujali hata kama tungeisha wote

    Tusipotoshwe kua Korona haikua na athari, huende sisi tuliadhirika zaidi kuliko mataifa menginge ni kwa vile hatukua na takwimu za walipoteza maisha walizificha. Ni kweli tulimpoteza ndugu zetu wengi sana kwa gonjwa hili na kwa sababu haikuwekwa wazi basi wanaendelea kutotuambia ukweli. Sasa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ule mtaji wa 'vijana hawapigi kura' safari hii haupo

    CCM wamekuwa wakitumia kasoro ndogondogo miongoni mwa wapiga kura kama mtaji wa kisiasa. Kwa miaka na chaguzi kadha, imekuwa ikiaminika kuwa vyama vya upinzani vinapendwa na kujaza vijana katika mikutano yao lakini vijana hawa hawapigi kura pale muda wa kufanya hivyo unapowadia. Dhana hii...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli harusi ni mtaji?

    Niliwah kushiriki kwenye kamati ya harusi ya mtu Wang wa karibu, ilikua ni Mara ya kwanza kwangu kushiriki ktk kamati ya maandalizi ya harusi nilijifunza Mambo mengi lakin kitu kilichoniacha mdomo wazi ni gharama ya harusi kwa Zama hizi, budget ya harusi ilikua km hivi: *Mapambo mil 1 *Picha...
  10. JamiiForums Tanzania Hoja ipi kati ya zifuatazo ina ukweli ndani yake

    Habari za uzima ndugu zangu. Naomba mkipata muda mtaniambia ni hoja ipi kati ya zifuatazo inaukweli ndani yake : 1.Inasemekana wanawake wengi wamepewa uwezo mkubwa na Mungu wa kutunza fedha kuliko wanaume , 2.Hali ngumu za kimaisha zimewafanya watu wengi wasiabudu 3.Inasemekana kwamba...
  11. JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wajameni eeh, Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania. Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake). =======
  12. B

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Rusahunga Rusumo mtaji kwa wagombea

    Kwenu maharusi watarajiwa watia nia na hasa wale wa urais. Kuna maeneo nyeti ya nchi hii kwa hakika yatawabeba sana watia nia. Katika picha hii ni hali ya leo katika barabara hii kuu pande za wilaya ya Biharamulo na Ngara. Kwa hakika pana mtaji wa kura za kutosha huko. Si kwa wenyeji tu bali...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 1, nataka kufanya biashara ya nguo

    Nina mtaji wa milioni 1, nataka kufanya biashara ya nguo kwa hapa Dar es Salaam. Je, nifanye nini kwanza cha msingi? Mchango wa mdau
  14. JamiiForums Tanzania Biashara za kufanya kwa mtaji mdogo wa elfu 10 mpaka 50

    MAWAZO YA BIASHARA NDOGO NDOGO, KUANZIA MTAJI WA ELFU 10-50 1,DAGAA WA BUKOBA Dagaa hawa wanapatikana masoko mengi, hawa wanakua hawana mchanga kabisa, wanauzwa kg moja elfu nane huwa inashuka had elfu tano, hawa unanunua vifuko unapack unauza mtaani kifuko buku Kwenye kilo moja unaweza toa...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweni makini na mapokezi ya Lissu wakati huu wa msiba, mnafanya kosa la kiufundi, mtawapa watu mtaji wa kiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Salaam wakuu, Maneno yangu ni machache sana kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kuwa waachane haraka na mpango wao wa maandamano ya amani/ sherehe ya mapokezi ya mh Tundu A. Lissu siku ya jumatatu ya 27 jul 2020. Ndugu zangu huu ni mtego ambao umejitokeza kwa bahati mbaya kwenye njia ya...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

    KUMKATA MAKONDA SI MAAMUZI YENYE AKILI Na, Robert Heriel Ikiwa CCM itaamua kumkata Mhe. Paul Makonda itakuwa imefanya maamuzi yasiyo na busara. Yatakuwa ni maamuzi yasiyo na akili. Makonda ni moja vijana wachache muhimu kwa zama hizi katika taifa hili. Taifa la Tanzania linahitaji vijana mia...
  17. JamiiForums Tanzania Mtaji watu na Uchumi wa Kati Tanzania

    Leo nitajaribu kuandika katika namna ambayo nitakayoyandika yatakuwa yanatawaliwa kwa kiasi kikubwa na nadharia ya uwekezaji kwenye raslimali watu kwa sababu ya umuhimu wake hasa wakati huu ambapo ndiyo kwanza tumeanza kuelekea kwenye shauku ya Taifa letu yaani kukua kiuchumi na kufikia hatua ya...
  18. JamiiForums Tanzania Ni mradi upi ungerudisha mtaji wa uwekezaji kwa TPDC?

    Mada: Ni mradi upi ungerudisha mtaji wa uwekezaji kwa TPDC kwa haraka zaidi Habari za leo wa kuu, Mimi ni kijana wenu, leo nimekuja na mada hii yenye tija kwa taifa. Taifa letu linayo gesi asilia ambayo, ina matumizi mengi 1. Gesi asilia inatumika kupikia majumbani 2. Gesi asilia inatumika...
  19. JamiiForums Tanzania Nani ana mtaji tuanzishe biashara ya PLASTIC WELDING?

    Plastic welding Ni Kazi nzuri Sana ukiiendesha kisasa, yaani uwe na eneo la kuhifadhia vitu/vyombo vya wateja/kalakana, uwe na umeme. Vitu vinavyohitajika Ni; Electronic gun kwa kutobolea matundu na kuyeyushia plastics, Wire mesh laini, makret yaliyopasuka kwa kuungia plastics za wateja, hivi Ni...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa biashara ya juice ya miwa, mtaji ni milioni 1-2

    Habari za leo. Naomba ushauri, nataka kufanya biashara ya juice ya miwa. Ni hivi sitaifanya mimi nitamuweka kijana afanye. Kwahiyo naomba ushauri juu ya hii biashara ikiwa itaweza kunilipa maana nachukua hela ya mkopo. Nikiwa na maana kwamba biashara nitakayofanya naitegemea inipe rejesho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…