mtaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya kumsaidia Bwana Mdogo mtaji wa Biashara

    Mwaka 2014 kuna bwana mdogo, alikataa shule akiwa form two, akidai kuwa hapandishi, ni kweli hakuwa akifanya vizuri darasani. Akawa ni mtu wa kwenda minadani tu. Mwaka 2018, aliomba msaada wa sh 210,000 ambapo alidai anaenda nunua mbuzi kwa ajili ya kuanza kuuza. Sikua na mawasiliano naye ya...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ndugu unaempa mtaji ajitegemee anaanza upya kukuomba pesa hana mshipa wa aibu?

    Ni ndugu yangu mwenye miaka 26, kamaliza chuo mwaka juzi. Hapo zamani mara kwa mara alikuwa akiniomba pesa za kutatua shida zake, hizi elfu 20 nimemtumia sana. Nikaona isiwe taabu, kitu anachoomba ni kama samaki naowavua basi nayeye nimpe ndoano awe anajivulia, Tulikaa chini pamoja nikamuuliza...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ni mtaji na location vingine mbwembwe tu

    Ukiwa n'a uwezo WA kufata bidhaa zinapotengenzwa 90%umewin kwenye biashara Tayar Mfano kama Una uwezo WA kuchukua mzigo WA nguo kutoka china ,uturuki , Thailand n.k biashara yako itasimama Sababu. mzigo ukishafika Tanzania unakua n'a wateja WA uhakika ,hakuna kubagein, unauza mzigo mkubwa...
  4. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania CCM mmetuaibisha Katesh kwa kutumia vifo na madhara yetu kama mtaji wa siasa

    Mimi na wenzangu raia wa Mkoa wa Manyara hakika mmetuaibisha sana sisi wakazi wa Kateshi kwa kutumia shida na machungu yetu kama mtaji wenu CCM katika harakati zenu za siasa kuelekea uchaguzi wa mitaa 2024 na ule mkuu 2025. Nini hasa kimepelekea nyie mjivishe jukumu la nani aje atupe pole na...
  5. Jamaa Fulani Mjuaji

    JamiiForums Tanzania Shule zinazosemekana kukarabatiwa ni zipi haswa, au ni mtaji wa kisiasa?

    Hii nimekuwa nikijiuliza sana, ukimsikiliza kiongozi yeyote hasa Mawaziri wa TAMISEMI wanajinasibu kuwa shule zote zimepokea pesa ya ukarabati na wanajinasibu kwa kudai kuwa hakuna shule ambayo haijapata pesa za kujenga madarasa mapya au kukarabati yaliyopo lakini kuna shule kongwe hazijawahi...
  6. MEGATRONE

    JamiiForums Tanzania Naomba wazo la namna ya kuingiza faida ya 30,000 na kuendelea kwa mtaji wa million 3

    Habarini members wenzangu, Nilikuwa naomba wazo la biashara ambayo inaweza kuingiza faida 20,000 na kuendelea kwa mtaji wa Million 3! Nakaribisha mawazo yenu!
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda, UWT inakufanya mtaji kuwa omba omba ziara ya mkoa wa Kilimanjaro

    Ujio wako mkoa wa Kilimanjaro fedha zinaombwa kila mahali, na huna Habari fedha zinakusanywa tena Kwa fedhea kubwa. Ulipanga safari bila kuwa na Bajeti ya safari zako mkoani Kilimanjaro? Kama utakuwa unaokota fedha Za kuomba omba Kwa watu , bora ujikalie huko uliko! Ukitaka kuja jitegemee au...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kama wewe unajua kuuza. Biashara ya U MC wa Harusi ndie biashara nyepesi kukupa faida ya milioni 20 kwa mwezi. Kwa mtaji wa mdomo wako tu na suti

    Habari wadau. Kwenye jukwaa la biashara leo tuongelee kuhusu biashara ya ku sherehesha sherehe. Ni biashara ambayo watu wengi hawaiwazi. Ila inaingiza hela nyingi sana kama faida. Unapaswa kuwa mjanja kuelewa biashara yao wanavyoifanya na cost wanazotumia. Hiyo biashara imejigawa pande...
  9. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa biashara yangu umeanza kukua, sasa naomba mnisaidie jambo hili

    Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
  10. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa biashara zangu umeanza kukua, sasa naombeni mnisaidie jambo hili

    Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
  11. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Je Una Mtaji Wewe?

    Habari za Wakati huu; Mwaka 2014 Nilikuwa katika harakati za kutaka kuanzisha shule ya biashara(Business School).NIlilenga iwe shule ya Biashara ambayo inapokea mwanafunzi yeyote,kwa kozi yoyote na ambayo ingatumia mfumo wa kujifunza ambo unazingatia zaidi matakwa na malengo ya mwanafunzi badala...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nitajieni biashara nyingine inayotoa faida kama mikopo ya kausha damu!

    Kausha damu: Unawekeza mtaji wa shilingi 1,000,000, unavuna faida ya shilingi 300,000 mpaka 400,000 kwa mwezi. Nitajieni biashara nyingine kama hii. Tunaposema hii mikopo ni kausha damu na initia watu umasikini, basi hicho ndicho kinachofanyika. Hivi leo hii ukipewa mtaji wa shilingi 1000,000...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Tsh. Milioni 1.5 unaweza kufanya biashara gani ambayo kwa siku unaweza kuingiza faida ya Tsh. 20,000/-?

    Wakuu, Biashara gani ambayo inaweza kukuingizia faida ya Tsh. 20,000/- per day kwa hapa Dar es Salaam kwa mtaji wa 1.5mil? Binafsi nilifikiria nisajili laini za uwakala nifanye miamala ya simu but sijafahamu changamoto na faida zake.
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi, kiongozi kijana wa mfano aliyefanikiwa kupata mtaji akajiongeza

    A man is my role model, kama kiongozi aliyeshikilia nyadhifa mbalimbali za kiuteuzi na kufanikiwa kupata mtaji wa uhakika, ambao amefanikiwa kuutumia vyema katika kuendeleza mashamba makubwa ya ki setlers, tofauti na viongozi wengine ambao baada ya kuenguliwa katika posts huanza kulia lia, na...
  15. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mtaji wa milioni 200 nataka kufanya biashara ya kuuza magari

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mtaji mdogo kati ya Dar au Mikoani

    Eti Wakuu wapi ni bora kati ya Dar au Mikoani kuanza na biashara yenye mtaji mdogo mfano 2M
  17. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Mtu akikuona leo hii unavyokula bata, maisha mazuri, usafiri mkali na biashara kubwa mjini, anaweza kudhani umefika hapo ulipo kirahisi rahisi tuu. Mimi mwenyewe nilikuwa nadhani hivyo! Cha ajabu ni kwamba kila ninapojaribu kutia mguu kwenye biashara nachezea za uso mbaya kabisa najikuta natoka...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

    Mimi ni mwajiriwa niko maeneo ya Kijijini Nina kahela nmesave sh milioni 7 nataka nizungushe kanipatie faida Biashara gani itanifaa maana huku nilipo mzunguko wa hela ni mdogo. Napata wakati mgumu
  19. T

    JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa laki nane katika mji wa Kahama?

    Wakuu habari, Natumai kuna wajuzi na wenye uzoefu na mji wa kahama kwenye eneo la ujasiriamali hapa, nina ichi kiasi cha laki nane ambacho natamani kisikae kizalishe chochote kitu ili nitanue wigo wa mapato yangu ata kwa kidogo. Naomba mawazo yenu wakuu. Asante
  20. C

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa kufungua mini restaurant

    Ni usiku wa saa nane ila Bado Sina usingizi. Nimekaa nikaandika business plan ya mean restaurant jijini Dar es salaam, hasa pale uwanja wa Taifa. Nime-analyse kila kitu. Gharama ya kuanzia inahitaji kiasi Cha 20,800,000/=. Estimated profit ni 3,000,000/= Kwa wafanyakazi wanne. Mmoja mtendaji na...
Back
Top Bottom