Biashara ya dhahabu kwa mtaji wa 25M

Habari,
Naomba msaada wa kujua namna nzuri ya kufanya hii biashara ya dhahabu (Based in chunya) kwa mtaji mdogo wa 25M
Kabla ya kujingiza kwenye hiyo biashar.kwanza Uijue.zunguka kwenye machimbo ya dhahab uifaham na ujenge uzoefu pia.yan hiyo m 25.kuichoma ni ,madakika.so mkuu fanya utafit wa kinadharia kwanza pasipo kitumia kias kikubwa cha hela..angalizo faida ni kidgo sana sio kama inavyoaminishwa.na ili upate faida kubwa itakulazm uwe mafia
 
Machimboni kuna watu wananunua dhahabu polini na kuleta sokoni

Kuna ambao wanamiliki makarasha na kusaga mawe ili wapate rudio (lundo) kisha kupeleka plant

Kuna ambao wananunua Marudio na kupeleka plant bila kua na makarasha

Naomba kujua njia ipi nzuri zaidi hapo kwa mtaji wa 25M hilo ndio Swali langu mkuu
 
Awe tayari kumpigq mtu risasi

Awe tayari kumnyofoa mtu mbupu.
Awe tayari kwenda kwa kalumanzila

Yaani awe tayari kwa mambo yoye meusi ndio faida kubwa aione azawaiz apate faida chache au apigwe za uso
 
Kabla ya kujingiza kwenye hiyo biashar.kwanza Uijue.zunguka kwenye machimbo ya dhahab uifaham na ujenge uzoefu pia.yan hiyo m 25.kuichoma ni ,madakika.so mkuu fanya utafit wa kinadharia kwanza pasipo kitumia kias kikubwa cha hela..angalizo faida ni kidgo sana sio kama inavyoaminishwa.na ili upate faida kubwa itakulazm uwe mafia
Ameshindwa kabla hata hajaanza. Kweli hili ni jabu jingine. Mtaji wa kwanza na muhimu mno wa kufanya biashara ya dhahabu ni knowledge yako kwenye huu ujasiriamali. Hata ukiwa na bilioni kumi kama huna utaalam zitaisha. Hivyo basi jambo la kwanza kama ulivyomshauri ni yeye kwenda kwenye field na ku-experience kila kitu kinachofanyika. Aende na wala asimwambie mtu yoyote kuwa ana mpango au mtaji wa kufanya biashara. Hata ikibidi afanye ukibarua au aanzishe biashara kwenye maeneo ya mgodi ili apate ujuzi.
 
Sio kwamba sina ujuzi 100%, najua ila sio level ya kujisifu najua kuhusu hii biashara,.

Na Swali langu ni njia ipi nzuri kuweka 25M

Ni kwenye karasha kusaga mawe ya watu na kutunza Rudio

Kuingia polini kununua dhahabu kwa wachimbaji wadogo

Au kununua rudio na kupeleka plant

Naomba kujua njia ipi nzuri hapo na kwanini?
 
Habari,
Naomba msaada wa kujua namna nzuri ya kufanya hii biashara ya dhahabu (Based in chunya) kwa mtaji mdogo wa 25M
Kwa uzoefu wangu nakushauri uanze na kununua porini kwa wachimbaji wa dogo , kupiti hivyo utaweza kujifunza vingi na itakusaidia kuangalia wapi unaweza kuinvest zaidi pia kwenye kununua kwa risk ni ndogo ukilinganisha na hizo other areas, Kwa 25M ukiwa serious unaweza make hela nzuri tu..
 
Sio kwamba sina ujuzi 100%, najua ila sio level ya kujisifu najua kuhusu hii biashara,.

Na Swali langu ni njia ipi nzuri kuweka 25M

Ni kwenye karasha kusaga mawe ya watu na kutunza Rudio

Kuingia polini kununua dhahabu kwa wachimbaji wadogo

Au kununua rudio na kupeleka plant

Naomba kujua njia ipi nzuri hapo na kwanini?
Njia nzuri ni kuwa broker tafuta vibali kapangishe chumba kwenye masoko ya dhahabu uwe unawachomea watu dhahabu zao alafu kama ni kiasi unachoweza kununua inunue na kuuza bei elekezi za kila siku zipo zinapanda na kushuka unaweza kula faida hiyo.
 
Nikishanunua naenda kuuza wapi?
 
Machimboni kuna watu wananunua dhahabu polini na kuleta sokoni

Kuna ambao wanamiliki makarasha na kusaga mawe ili wapate rudio (lundo) kisha kupeleka plant

Kuna ambao wananunua Marudio na kupeleka plant bila kua na makarasha

Naomba kujua njia ipi nzuri zaidi hapo kwa mtaji wa 25M hilo ndio Swali langu mkuu
Ongozea kuna wale wanamiliki shimo, nyie ingieni ye anawasubiri kugawana viroba,, ila kuna wale wanafanya zote ulizosema hapo juu,,

Hii biashara ni ngumu kwelkweli kuanguka ni kugusa kuliko kutoboa,,

Hao wanaotoboa wana siri na hata ukiwauliza hutaambulia kitu,,,
 
Wewe ulishawahi kuifanya?
 
Back
Top Bottom