mtaani

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akili nyingi, alichokisema kuhusu pesa kupotea mtaani

    Huyu bwana akili zake nyingi sana pamoja na kua na ufahamu mkubwa wa masuala ya katiba na sheria lakini hayupo nyuma pia kwenye kuyafahamu masuala kazima ya kiuchumi. UNAJUA ALISMAJE? Lissu alisema kua pesa zimeadimika mtaani siyo eti kwa porojo za CCM kwamba dili hakuna, alisema kua pesa...
  2. JamiiForums Tanzania JF Scheduled Maintenance - October 2020

    ====== UPDATE: Marekebisho yamefanywa Oktoba 6, 2020 around 23:00hrs na yamechukua dakika 15 ====== Wakuu, Kuna maboresho yanafanyika chini kwa chini, search functionality inaweza isifanye kazi vema kwa siku moja au mbili (tangu jana). Tunatarajia hadi kesho muda kama huu mambo yatakuwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hapa Mtaani CCM hawapo tena siwaoni

    Sio kama siku za mwanzo za mwezi huu wa hekaheka za uchaguzi njano na kijani utafikiri msimu wa maua, ila hivi sasa wanaovaa njano na kijani hapa mtaani wamekuwa adimu sana. Wengi niliokuwa nawafahamu wamebadilika kimawazo na fikra zao sasa zinaona mbali,wamegundua shida na dhiki za maisha...
  4. JamiiForums Tanzania Ajira Mpya za Walimu zinaweza kuwaumiza zaidi wasio na kazi kabisa mtaani

    Sio muda mrefu Serikali imetangaza ajira 13000 kwa walimu wa sekondari na shule za Msingi. Jambo hili ni tumaini jipya kwa walimu hasa wale ambao walikuwa hawana 'michongo' tangu wamehitimu elimu zao Nawaza wale ambao wamejichimbia kijijini jinsi watakavyopata 'Bundle cost' (The newest form of...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba yako unaiita "kakibanda kangu"? Mungu hapendi kujishusha sana. Having too much humility is self destructive

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania jifunzeni kujishusha lakini isiwe too much. Mungu hapendi mjishushe sana. Having too much humility is self destructive; Unakuta mtu alikuwa anaishi katika nyumba ya kupanga vyumba viwili chumba na sebule, lakini kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Siku hizi ualimu ni kazi iliyopoteza heshima mtaani

  7. JamiiForums Tanzania Mamlaka nchini Malawi zinachunguza gharama za Ujenzi wa daraja la kiwango cha kawaida kugharimu USD 600,000

    Kitengo cha Kuzuia Rushwa nchini Malawi kinafanya Uchunguzi kubaini imekuwaje ujenzj wa daraja uliofanyika wakati wa Rais Peter Muthalika katika Mji wa Blantyre mnamo Aprili 2020 kugharimu USD 600,000 The Malawi Anti-Corruption Bureau (ACB) is investigating how a substandard bridge...
  8. JamiiForums Tanzania Shilingi mia tano imekuwa kero mtaani, maduka ya jumla wengi hawataki kuzipokea

    Tangia mabadiliko yafanyike ya pesa ya shilingi mia tano mwanzo ilikuwa ni noti lakini sasa ni sarafu, changamoto tunayoipata wananchi ni kwamba hii pesa imekuwa ni kero hasa zikiwa nyingi wenye maduka ya jumla wengi hawataki kupokea. Hivyo kusababisha kutokuingiza kwenye mzunguko; Mfano mimi...
  9. JamiiForums Tanzania sasa mtaani ni kata funua tu!

  10. JamiiForums Tanzania Kuna maisha halisi ya mtaani na ya mtandaoni, tunakuja mitandaoni kujipooza tu, Mtandaoni hakuna masikini, usiyumbishwe

    Inabidi sasa tukubaliane na uhalisia, kwa sababu ndio ukweli uliopo sasa hivi ya kwamba tunaishi katika kizazi ambacho watu wana maisha ya aina 2. Kuna maisha halisi ya mtaani na maisha ya mtandaoni. - Unaweza kuwa mtu wa kawaida sana mtaani ila huku mitandaoni unaheshimika - Unaweza kuwa huna...
  11. JamiiForums Tanzania Tabia yangu ya kutojipendekeza, kusujudia maboss na kutokuwa mfitini inanisotesha mtaani

    Kama kawaida baada ya kumaliza chuo nikaingia mtaani kusota na maisha bahati nzuri nikapata intern kwenye moja ya taasisi za serikali zinazolipa vizuri. Changamoto ikawa kumbe kwenye taasisi hizi za serikali inatakiwa ufanye kazi kwa bidii bila kusahau kujipendekeza kwa boss. Kwa jinsi nilivyo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwenye mitandao ya kijamii na mtaani, Membe hakubaliki

    Napenda kuwajulisha wapinzani wa kweli kuwa nimefanya utafiti wangu usio rasmi. Nimejaribu kupita Facebook, tweeter, Instagram na humu JF na kwenye vyombo vya usafiri nakugundua kwamba wananchi wengi walio upande wa upinzani hawakubaliani na ujio wa Membe. Hoja yao ya msingi ni kwamba Membe...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kuruka kwa ungo ni kweli au hadithi za mtaani?

    Wakuu natumaini hamjambo. Naomba mwenye kujua hili suala la watu wanaoruka kwa ungo ni la kweli au ni hadithi za kufikirika tu? Kuna mtu alishawahi kushudia hili na kuchukua ushahidi wa video hapa kwetu Tanzania. Ni jambo linanitatiza ninaposikia hizi hadithi. How do they defy gravity with...
  14. JamiiForums Tanzania Askari wa Jeshi la Polisi sasa wanajificha huwezi waona na sare zao mtaani

    Habari za siku nyingi JF Hakika kuna kitu hakipo sawa ndani ya Jeshi la polisi la Tanzania Askari wetu wengi tunaishi nao huku mitaani katika nyumba za kupanga, wachache wanaishi katika nyumba za serikali na wengine wachache saana wamejenga nyumba zao vizuri tu Kwa sasa hali imebadilika sana...
  15. JamiiForums Tanzania Jicho ndani ya habari: Waandishi wa habari hawajawatendea haki wananchi kwa kutochambua bajeti kuanzia bungeni hadi mtaani, wamjadili Mbowe

    Bajeti za Afrika Mashariki zilisomwa kwa pamoja siku ya Alhamisi lakini magazeti na vyombo vya habari vya Tanzania havijajadili bajeti ya mtanzania bali kuanzia bungeni hadi mtaani mjadala ukuwa wa mbowe na masihala na mjadala wa bajeti unaohusi maisha ya watanzania ukawekwa kapuni. Kwa nchi za...
  16. JamiiForums Tanzania Ukiona mtaani Gari zimeandikwa katika Plate Number kama ifuatavyo usiumize kichwa

    1. Namba za Magari Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Namba za magari yanayitumika kumbeba Rais au Makamu wa Rais na Waziri Mkuu haziandikwi namba wale herufi katika kibao chake, bali huwa na nembo ya taifa ya Bwana na Bibi. Kwa Kiingereza magari haya hufahamika kama State Cars. 2. Spika wa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ndoto yangu usiku wa leo: Wale ndege aina ya "njiwa' walitolewa kama zawadi ili kuwaziba midomo waliopewa huko katika Bara fulani la mbali

    Usiku wa kuamkia leo nimeota kuwa kuna mfalme mmoja katika nchi ambayo jina limenitoka, katoa zawadi ya njiwa wazuri kwa watu mashuhuru katika sherehe aliyoiandaa kwa yeye kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa (Birthday). Nilijiuliza sana maana ya ile ndoto na baada ya kutafakari kwa kina...
  18. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea mtaani kwetu

    Huu mtaa naupenda sana maana huwa haukosi amsha amsha. Jirani yangu hapa ni mstaafu basi ukiamka tu kwenda kupambana huko utakuta kakaa nje ya uzio wa nyumba yake, basi lazima akusimamishe muongee ataishia kukubomu tip kwa ajili ya kwenda kwa mangi ili "aamke". Ukishamalizana tu na mstaafu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Fikirisho suala Tito Magoti: Je, kwanini tulimtoa mzungu Afrika?

    Tito Magoti anatakiwa aje mtaani ajenge Taifa lake...Inaumiza sana.. Moyo unauma sana nikiwafikiria wafrika wenzetu ambao walipoteza maisha ili mzungu aondoke . Africa tulimuondoa mkoloni lengo siyo kumuondoa mzungu kwakua alikuwa na sura mbaya No. Nadhani babu zetu waliaamini tukimtoa Mzungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…