mtaani

  1. JamiiForums Tanzania Kama unataka Kudate na wanafunzi wa vyuo vikuu, wahi kontena jipya, makontena yaliyotoka bandarini kuingia kariakoo heri utafute binti mtaani?

    Na hata sisi tuliosoma chuo, hii ndio ulikuwa utaratibu wetu kupata mali yenye maileji ndogo na ukibahatika waweza kupata bikra, watu walikuwa wanawahi kwenda chuo wanazuga eti wanapenda shule kumbe wapo mawindoni kuvizia makontena mapya. Makontena mapya ni hawa wanaoingia chuoni kwa mara ya...
  2. JamiiForums Tanzania NEMC wekeni utaratibu wa ibada; huku mtaani leo hakukaliki kwa sababu ya kelele!

    Hata kama serikali haina dini lakini hapa tulipofika sasa kuna haja ya serikali kuingilia kati. Hapa mtaani kwangu leo hakukaliki kwa sababu ya kelele za maspika ya ibada. NEMC walisema wataweka utaratibu wa kufanya ibada lakini sijui wanakwama wapi mpaka sasa hawajachukua hatua zozote. Hadi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa wanakera sana , wanachimba ovyo mitaro mtaani kutandaza mabomba yao pasipo ustaarabu

    Marndeleo yasiyo kuwa na mipango ni matumizi mabaya ya pesa! Kuna jamaa hawamalizi kuchimba mitaro mtaani, kila mwaka wana chimba chimbua hata vya maana havionekani! Wanatandaza mabomba yasiyotoa maji kila mwaka! Wananchi maeneo mengi dar hawana huduma bora za maji lakini sahivi kila sehemu...
  4. JamiiForums Tanzania Je mtaani kwenu kuna dampo? Kama hamna mnafanyaje kudumisha usafi wa mazingira?

    Hebu tuelezane ukweli ili tuweze kuyafanya mazingira yetu safi na salama.
  5. JamiiForums Tanzania Makopo ya ARV yamezagaa mtaani kwangu

    Hii ni ishara mbaya sana. siku ya tano leo nakutana na makopo ya kubebea ARV kwenye haka kamtaa ninakoishi. Yanatupwa tu yani hadi watoto wanayachezea kabisa. leo ndio nimejua kuna kopo za vidonge 30, 90 hadi 100 Hii nchi kwa maeneo ya mjini kuna rate kubwa ya mambukizi ya UKIMWI.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya nchi duniani washaufuta ugonjwa wa maralia, sisi tumeshindwa hata kufuta kelele tu mtaani

    Kusema ukweli! Mambo mengine siyo utajiri! Bali ni uthubutu tu! Baadhi ya nchi duniani walishasahau kama kuna ugonjwa wa malaria! Yaani wadudu warnezao malaria hivi kweli kama taifa tumeshindwa kuwaondoa? Zamani kulikuwepo ugonjwa wa kichocho sijui ulipotelea wapi! Lakini sahivi kuna hii kitu...
  7. JamiiForums Tanzania Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira kurejea mtaani kufanya ukaguzi Mei 28, 2023

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linatarajiwa kufanya ukaguzi wa uzingatiaji na utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Maingira (2004) na Kanuni zake. Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Dkt. Eng. Samuel Gwamaka Mafwenga amesema zoezi hilo linatarajiwa kuanza Mei 28, 2023 na...
  8. JamiiForums Tanzania Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

    Naandika uzi huu huku nikiwakumbuka wengi waliokufa na gonjwa la hatari la UKIMWI kule kwetu Iringa Mafinga kwenye misitu mbao mji wa biashara mji wenye viwanda vidogo vidogo vingi vya mbao mji wa majani ya Chaibora. Mimi nilizaliwa mwaka 1990 DSM, baadae mwaka 1995 tukahamia mafinga mjini...
  9. JamiiForums Tanzania Siku chache baada ya Ripoti ya CAG wananchi nchini India wampiga Risasi Mbunge na kaka yake mtaani

    Ndauli. Basi baada ya ile ripoti ya kuonyeshwa mapesa yamechotwa ovyo. Basi yule montress akasema mada hiyo itajadiliwa mwezi wa saba huko. Wananchi huko india wamempiga risasi mbele ya TV mbunge mmoja kwa madai ya kupora mali na tabia za ubabe ubabe. Tukio hilo lilirushwa mubashara kwenye...
  10. K

    JamiiForums Tanzania NEMC ingieni mtaani mfanye jambo, kuna watu binafsi wanapiga kelele kuliko hata huko kwenye kumbi za starehe

    Uchafuzi wa mazingira wa kelele ni moja ya kero kubwa ambazo zipo mitaani kiasi kwamba imeonekana kama ni sehemu ya maisha hasa ya wale wananchi wa kawaida mitaani. Nitoe histori kidogo, mtu anaposema kelele nina uzoefu wa kuwahi kupitia ker kama hiyo sitaisahau. Nilikuwa naishi mitaa ya Sinza...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna Homa za Kubana Kifua, Kichwa na Mafua mtaani zinapiga Watu kimya kimya

    Wakuu, sijui kama mmegundua, kuna kaupepo ka Homa za ajabu ajabu kanaendelea mitaani na watu wanaumwa sio kidogo wengine wanadai hadi kupoteza ndugu wanaowajua kutokana na homa hizi lakini cha ajabu hakuna taarifa rasmi ya Serikali hata kutahadharisha tu. Aisee tuchukue tahadhari wenyewe kabla...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la misambwanda mtaani kunavyonifanya nizidi kuuogopa na kuuchukia uzee!

    Kila unakopita, watoto lainii na wazuriiii wanaongezeka kila siku na wanazidiana tu katika kuiachia misambwanda yao ikitetema.....ajabu kila mwanamke analo sambandwa la haja siku hizi. Nina uhakika the case is the same kwa Kapeace wetu humu. Hali ipo hivyo kila mkoa, ila Dar ndo...
  13. JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Oil nyingi za engine za magari mtaani ni majanga

    Hiki kisa kinahusu gari moja aina ya Volkswagen Polo GTI mk5 toleo la mwaka 2012. Gari ina engine ya EA211 1.4TSI twin charge. Hii kazi niliunganishiwa na mtu wa humuhumu ndani japo huyo mtu alidai hanifahamu personally na hatujawahi kufanya kazi ila ameshakutana na post zangu nyingi humu JF...
  14. JamiiForums Tanzania Ongezeko la V8 mtaani na bado watu wanaamini masikini ni wengi Tanzania?

    Wakuu za sasa hivi hapo, Ni siku nyingine tena kutoka kwa bwana nikasema ngoja niwasabahi na kutoa baadhi ya mawazo niliyonayo. Kuhusu msemo wa Tanzania masikini ni wengi, personally napingana na huu msemo kabisa. Maana huwezi sema masikini ni wengi wakati haya ma V8 yamejaa barabarani kama...
  15. JamiiForums Tanzania Nini siri ya nguo na viatu kuwa bei rahisi na ubora wa juu ukiwavizia wale wanaouza kwa kuzitembeza mtaani ?

    Niliwahi pata kiatu kigumu sana, ni kizuri yani tangu 2020 mpaka sasa kinadunda poa tu, Ajabu ni kwamba hata sikuomba kupunguziwa bei maana kilikuwa elf 15 tu, laiti ningeenda dukani nisingeshangaa ni laki 2 na mtumbani kiwe laki. Mwaka jana nilinunua raba hizi za vic nabaki nashangaa ni vipi...
  16. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Mahakama zetu kushughulikia kesi za ushoga na kuwaacha mafisadi ya matrilioni mtaani hiyo ni failure ya nchi kwa 100%

    Kila mwaka tunasomewa report na CAG , tunajionea jinsi watu walnavyogawanya mabilioni ya umma kinyume na sheria. Hatuoni mafisadi wakiwa kwenye pingu. Sijawahi kusikia kuwa kuna fisadi kafungwa miaka 30 jela tangu nipate akili. Ushoga ni tatizo ila si kubwa zaidi ya tatizo la ufisadi na wizi wa...
  17. JamiiForums Tanzania JF kama mtaani kuna mitu ina roho za korosho

    Yaani ndio tungelikuwa na tunamtaa wetu wenye roho Mbaya utawaona tu. Nimewauliza pasaka lini hadi Leo hawajanijibu, eti nqkutanq nayo hii hii lfaji r. Wengine ttumekesha wote jf usiku wa manane. Wakina Kalamu Yangu Window7 Galamtogela Extrovert Mashimba Son Massimba Jr
  18. JamiiForums Tanzania Hali halisi ya maisha huku mtaani

    Habari ya jion wana JF, Ni miezi kadhaa tangu niandike uzi wangu mara ya mwisho ndani ya jf, ni katika harakati za kuendelea kupambana na maisha ya mtaani hasa kwa sisi graduates. Nikiwa nimekaa mahali napo patia ridhiki juzi nilipitiwa na dogo ambaye nilimuacha akiwa first year pale SUA akiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Isingekuwa uwezo wa Mungu leo ningekuwa marehemu na mtaani kungekuwa na misiba na majeruhi wengi siku ile

    Tulikuwa tunaishi karibu na barabara kubwa ya lami, upande wa pili wa Ile barabara kulikuwa na kibanda flani Cha abiria wanakaa hapo kusubiria magari(checkpoint) ni Cha muda mrefu kilikuwa hakitumiki, Vijana tuliokuwa tunaishi maeneo Yale tulifanya Kama kijiwe Cha story,tunacheza drafti nk.(sio...
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mpanda hali ni mbaya, Watoto wengi hawaendi shule, wanaingia mtaani kufanyabiashara, Serikali iko wapi?

    Hali ya biashara ya vyuma chakavu na matunda mbalimbali inaendelea kushamiri katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi na imekuwa ikifanywa kwenye maeneo ya Manispaa hiyo na watoto wadogo ambao wanapaswa kuwa Shuleni kwenye shule za Msingi. Licha ya Serikali kufanya jitihada kubwa za kuboresha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…