mtaalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu bingwa wa nyonga na magoti wa Uingereza atua Dar

    Mtaakam bingwa wa upasuaji wa nyonga na magoti kutoka hospitali ya Qeen Elizabeth ya Uingereza Profesa Mamoun AbdelGadir, amewasili jijini Dar es Salaam kwaajili ya kambi ya matibabu ya siku tano kwa watanzania. Daktari huyo kwa kushirikiana na wataalamu wa ndani atafanya upasuaji huo kwenye...
  2. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalamu wa magonjwa sugu ya staphylococcus (MRS)

    Wakuu, Natafuta specilist wa magonjwa ya kuambukiza (staphylococcus aureus infection -MRS) Nawapataje maana sijui kama kuna hiyo speciality
  3. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana mtaalamu wa kukaanga chips

    Heshima mbele wakuu. Kijana mtaalam wa kutengeneza na kuandaa kuku choma na kukaanga kuku, broiler, sekela, na Aina zingine za kuku. Pia mwenye utaalamu mkubwa wa kuandaa na kutengeneza chips Kali, nzuri. Muda wa kazi kuanzia mchana hadi usiku (kama bado unajitafuta kuna geto la kizushi...
  4. clifford20

    JamiiForums Tanzania Hospitali inayohitaji mtaalamu wa ultrasound na x ray (Radiographer)

    Asant
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Akili Mnemba (AI) atoa onyo la 'ukoloni wa kidijitali' barani Afrika

    Bwana Ndiaye akizungumza na UN News kuhusu mazingira yajayo, akijenga juu ya uzoefu wake wa kusaidia kukuza mageuzi ya kidijitali nchini Senegal katika elimu ya juu, kutoa huduma kama mtaalam kwa Umoja wa Afrika katika kutunga Mkakati wa Pan-Afriican kuhusu akili mnemba, na kuchangia kwenye...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama Mtaalamu wa Saikolojia ya Mahusiano, Namshauri Haji Manara Apunguze Kasi ya Kuanika Mapenzi yake Hadharani, hasa Faragha yake

    KAMA MTAALAMU WA SAIKOLOJIA YA MAHUSIANO, NAMSHAURI HAKI MANARA APUNGUZE KASI YA KUANIKA MAPENZI YAKE HADHARANI, HASA FARAGHA YAKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nampongeza Haji Manara kwa mafanikio aliyoyafikia, amekuwa mfano mzuri kwa Watu wa aina yake, nazungumzia Watu wenye ualbino. Na...
  7. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Mzoefu wa biashara ya nguo za mtumba anahitajika

    Wakuu heshima itawala.. Nisiwachoshe maana January hii ngumu sana. Natafuta mtaalamu anaejua machimbo/magodaoni yenye nguo kali za mtumba ( Mabalo kutoka Uturuki au Dubai) na mwenye utaalamu wa kuchagua tufanye biashara. Kazi yake itakuwa ni kunipa mwongozo, mm nitakuwa nachukua naend kuuza...
  8. red apple

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtaalamu wa saikolojia

    Habari Wana jamii. Nahitaji mwenye address yeyote ya mtaalamu Wa saikolojia, ambaye anaweza kutuliza a real broken heart. Akiwa Dar es salaam itakuwa vyema zaidi. Ahsante.
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mafuta na gesi Tanzania afanikiwa kuzalisha gesi kutoka kwenye kitalu chake mwenyewe na kuandika andiko linaloelezea kile alichokifanya

    Mtaalamu wa mafuta na gesi Tanzania, bwana Elia Wilinasi ameitendea haki field yake ya mafuta na gesi baada ya kuzalisha gesi kutoka kwenye kitalu chake mwenyewe na kufanikiwa kuandika andiko zima ya kile alichokifanya...
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Teknolojia ya Habari wa Kenya atengeneza Wakili wa kisasa mwenye ujuzi wa Sheria zote za Kenya

    Wakati Naftal Obwoni alipokuwa shuleni, baba yake aliachishwa kazi bila taarifa, jambo lililosababisha kesi iliyochukua muda mrefu dhidi ya mwajiri wake. Obwoni alishuhudia kwa macho yake mapambano ya baba yake kupata haki, na hii ilikuwa kwa sababu baba yake hakuwa na uelewa wa mfumo wa...
  11. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mipango na mikakati aonekana Doha kwenye ziara ya Rais Samia

    Watanzania mchangamkie fulsa za mbogamboga na matunda. https://twitter.com/DIONIZKIPANYA25/status/1709048646375805055?t=HyUFD88LmFNZDr0eAmNBSQ&s=19
  12. Jackal

    JamiiForums Tanzania Shambulio la Mossad Tehran lawakimbiza Wataalamu wa Drone wa Urusi kujificha kwenye hotel

    Taarifa iliyovuja na Washington Post kuipata ni kwamba Urusi imekuwa ikisaidia Iran kutengeneza drones chapa Shahed -136 ============== Russian officials visiting Iran as part of cooperation on attack drone development earlier this year were forced to hunker down in their hotel after an...
  13. comte

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa sababu wanawake kukimbilia mikopo ‘kausha damu’

    Serikali imetaja sababu za wanawake kukimbilia mikopo yenye masharti magumu, ikiwamo wengi kuwa na elimu ndogo ya fedha. Tatizo hilo lilielezwa ni chanzo cha wanawake kujiingiza katika mikopo hiyo maarufu kwa majina kama vile ‘ kausha damu’ na ‘mikopo umiza’. Katibu Mtendaji wa Baraza la...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtaalamu wakuweza kuandika e-newsletter kwa kutumia MailChim

    Wandugu habarini za majukumu. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, nataka mtaalamu tajwa. Connent nitaziandika mwenyewe, yeye kazi yake ni kui-design kwenye MailChimp na kushare na mimi. NB: Tayari nsha-create account ya MailChimp. Kama unaweza kuifanya/ unamjua mtu anayeweza hii...
  15. OLS

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu ashauri baadhi ya ibara ndogo katika ibara ya kwanza zifutwe kwenye mkataba na DP-World

    Ibara ya 1 ya makubaliano na serikali ya UAE kinatoa kwanza tafsiri ya maneno yaliyotumika kwenye mkataba. Neno “Project Company” limeandikwa kuwa litamaanisha DP-World au kampuni iliyosajiliwa nchini Tanzania (ikiwa ni Kampuni Tegemezi ya DP-World) ambayo imeingia Mkataba wa Mradi kwa ajili ya...
  16. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Daktari mtaalamu wa watoto

    Wanabodi, heshima mbele.. Nina binti yangu mdogo wa miezi mitatu sasa. Tatizo lake kubwa ni kucheua /kutema maziwa kupitiliza. Yani akinyonya tuu, ndani ya dakika chini ya tano anakuwa ameshayatema yote. Sio asubuhi, sio mchana, sio usiku. Hali hii imesabisha uzito wake kuongezeka kwa kiasi...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Muuguzi aliyebishana na Mtaalam wa Maabara awekwa chini ya uangalizi

    Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limemtia hatiani Rose Shirima aliyeonekana kwenye video katika mitandao ya kijamii akibishana na mtaalamu wa maabara kuhusu vipimo, kuwa atakuwa chini ya uangalizi wa muuguzi mkuu wa Wilaya ya Uyui, Tabora kwa kipindi cha mwaka mmoja. Rose ambaye ni...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Namtafuta fundi Mtaalamu wa kufungua combination lock bila kuvunja

    Habari za muda huu wakuu. Nina sanduku linatumia combination lock system, bahati mbaya nime sahau hizo code namber. Najua humu kuna watu walisoma topic ya Permutation katika advanced maths enzi hizo, sijui sasa kama bado ipo. Tafadhali naomba usaidizi wenu au 'tricks' za kufungua sanduku...
  19. mngony

    JamiiForums Tanzania Bonnah Kamoli, mtaalamu wa masuala ya IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Mbunge huyo alianza kujulikana kwa jina la Bonnah Kalua, kabla ya baadae kubadili jina na kuitwa Bonna Kamoli aliwahi wakati mmoja kusema kupitia mahojiano na chombo cha habari kuwa atakuja kugombea Urais baada ya Magufuli Mzaliwa wa Geita na mtaalamu wa masuala ya IT na mahusiano ya kimataifa...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu aje anitengenezee (design) blog ya kanisa

    Nahitaji tovuti kwa ajili ya kanisa. Mtaalamu mmoja aje pm au awake namba nimcall. Updates Nimepata mtu pm naona ataweza kunifanyia hiyo kazi. Asante.
Back
Top Bottom