Salaam,
Kama una uwezo wa kutengenenza 3D models unahitajika kuna task inatakiwa kufanyika, na malipo utapata baada ya kazi. Na kama utafanya vizuri, utakuwa unapewa task za mara kwa mara.
Hii siyo ya kukosa.
Kama una skills hizo, karibu PM.
Habari zenu wana jamvi.
Nahitaji programmer/ mtaalamu mbobefu wa Java EE kwa ajiri ya kunisaidia kwenye moja ya projects ambazo ninazo. Ni short term contract na tutalipana according to makubaliano.
Kwa kifupi nature ya kazi ni ku-customize mfumo ambao upo na unatumika tayari na taasisi...
Huyo ndio mtaalamu ni mtu ambae anaijua physics from scratch (hizo ni elementary concepts kajitolea kufundisha kuhusu how the universe works).
Sio tu kwamba ameisoma
Anafundisha at top university
Ame andika vitabu best sellers
Anashiriki kwenye debate za wasomi wenzake to name a few of his...
Kama ni msomaji wa jukwa la siasa unaweza shangazwa na wachangiaji wanaojiita wasomi wakipinga PhD’s za watu wasio wakubali.
Issue za ovyo kwangu kwenye huu upingaji ni kuhusu hizi PhD za social science.
Hivi unajiuliza what is so special kwenye kuandika five chapters za hizo thesiskwa mtu...
Naomba mnisaidie kipengele cha kutakata katika bao la kete. Shida yangu ni kujua kipengele cha kutakata katika hatua ya kwanza ya mchezo wa bao. Je ikiwa unatakata ukatua kwenye jumba ni lazima kulala au unaruhusiwa kuzoa jumba na kuendelea kutakata ukipenda?
Mi si mchezaji wa bao lakini kuna...
Peleni na majukumu.
Natatafuta mtu mwenye ujuzi na programu ya MATLAB, sana sana kwenye Signal processing.
Lengo ikiwa ni kutengeneza project.
Kama unaujuzi huo na unaweza kuniongoza kujenga project kwenye programu husika naomba uni PM, malipo yapo.
Mchezaji nyota wa zamani wa Australia Chris Davidson amefariki baada ya kupigwa ngumi nje ya baa moja Kaskazini mwa Sydney.
Mwanamaji huyo mwenye umri wa miaka 45 alipigwa usoni na kuanguka, akigonga kichwa chake kwenye barabara, polisi walisema. Alitibiwa katika eneo la tukio lakini alifariki...
Habari wataalamu wa kilimo na mifugo.
Niende kwenye mada chap kwa haraka bila kupoteza muda, kama title linavyojieleza hapo juu; ni kweli natafuta hao wataalamu nifanye nao kazi ya kusaidia watanzania kwenye kilimo na ufugaji kama biashara kwa kutoa huduma ya ushauri na tiba kutokana na...
Kuna huyu bwana mdogo J. Nkumbi nimepata kumfuatilia siku 2 tatu hizi nimefurahishwa sana na maneno yake.
Kwa kweli kiswahili ni lugha nguvu kuliko hata kimombo ila huyu bwana mdogo anakipiga vizuri sana.
Msikilize hapa.
Kwa yeyote anaaeuliza ni wapi atapata AC na vifaa vyake vyote na mafundi wazuri wa kufunga AC awasiliane na sisi. 0685843224
tunatoa warranty ya mwezi mmoja kwa mashine used.
Wakuu natafuta mjuzi wa hii modem nimejaribu mimi binafsi nimekwama nimeona nije hapa wajuzi mnaweza nipa muongozo au kama yupo mtu anazi unlock uniunge nae nitshukuru...
Found Applications port COM7
Found modem : E3372
Model : Huawei AuthVer 4 modem (New)
IMEI...
Mtaalamu Mmoja wa kutoka University of Dar es Salaam anaongea hapa kwenye kongamano la wiki ya Udhibiti na tathmini. Moja kati ya jambo kubwa analizungumza ni maadili. Ambapo kwenye maadili ni kuripoti hali jinsi ilivyo na sio kuandika ripoti kwa kumpaka mafuta aliyekupa hela ya kufanya study...
Habari wanajamvi
Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba.
Hiyo...
Wana JF habari za muda huu?
Nahitaji mtaalamu wa kukata miti pembeni ya nyumba ni miashoki imekuwa mirefu sasa nataka kuikata bila kuathiri nyumba pembezoni aliye na utaalamu huo tuwasiliane inbox ni maeneo ya Tabata.
Kijana wetu wetu alimaliza shahada yake ya uzamili ya ufundi. Alipata ajira za muda mfupi hapa na pale, aliitwa Rwanda, Botswana na kuna wakati alikaa miezi kama mitatu akisaka ajira.
Kuna siku alipata emaile kutoka Afrika ya Kusini. Walimtaka afanye video interview, alifanikiwa hatua ya...
Inaelezwa kuwa wapo baadhi ya watu ambao wana historia ya kupata matokeo mabaya (Severe Allergic Reaction) kutokana na chanjo wanazochanjwa kipindi cha nyuma.
Shirika la Afya duniani linawashauri watu ambao wana historia ya kuwa na mzio wa chanjo nyingine kuwaona Wataalamu wa Afya na kuwaeleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.