msukuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    Kama una lipa ada milioni moja na nusu hadi 3 Kwa mwaka, badala ya Dola elfu thelathini Basi jua unafanyiwa mchezo

    Vitu vya kupewa Bure wewe unavinunua Kwa hela , hela yenyewe ndogo. Wenzako wanauziwa Dola elfu 30 Kwa mwaka wewe unauziwa Dola elfu moja Kwa mwaka. Huoni kwamba unapigwa? Unazidiwa na wale wanaochukua bure Kwa sababu wamejipima wameona gharama halisi ni Dola elfu thelathini Kwa mwaka, hii Dola...
  2. MamaSamia2025

    Mbunge Musukuma aambiwe kuwa pesa sio mbadala wa elimu

    Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa kupitia elimu. Kasheku na baadhi ya watu hudhani kuwa na hela nyingi ndo tayari unakuwa umepata mbadala...
  3. A

    Mchumba "MKE" - Mchaga, Msukuma au Mhehe / Mbena

    Habarini ndugu zangu 🙏 Tafadhali rejea: MWANZO 24: 1 - 51. WAEFESO 5: 22-33. Naamini Mungu ni mwema wakati wote. Mwenye UHITAJI lakini pia mwenye sifa nilizotaja hapo juu na mwenye hekima na busara anakaribishwa.
  4. Brain Kingdom

    Wajinga wa akili hawajui kuwa Shigongo ameongea utani wa msukuma na mngoni msibani kwa Grace Mapunda

    Wajinga kaeni kwa kutulia kizazi hiki cha corona na uvuvuzela hamjui kitu. Msibani watani tunaongea tunachotaka na kwa Raha zetu. Kaeni kimya Pang Fung Mi
  5. BUMIJA

    Elimu iheshimiwe kwa manufaa yake

    Wasalaam.Kumekua na tabia siku hizi hasa kwa wale waliofanikiwa kimaisha kwa njia tofauti na kisomo kuwabeza waliosoma kwamba si chochote. Mfano kuna mtu anaitwa Dotto Magari na Mbunge Msukuma. Hawa wanaponda sana watu walio na Elimu kwamba haina faida. Najiuliza wakienda Hospitali hao...
  6. Bonsipele69

    Nilijua nimeona vyote mpaka pale nilipoona Msukuma amechora tattoo ya ugali

    Kweli tembea uone kila siku utaona mapya na hutoyamaliza mengine ya kuelimisha kuburudisha na kusisimua hakika dunian ni sehemu ambayo unapata full package kujifunza, kuburudika n.k Mchana mwema ndugu zanguni.
  7. D

    Nataka kuoa Msukuma, chakula Chao cha asili nini nijiandae?

    Wanajamvi, nataka kuoa Usukumani. Demu mwenyewe yuko hapa Dar lakini tukikutana anakula kuliko mimi. Huwa wanakula nini na nijiandaye kwa lipi kwenye hili la kula?
  8. tpaul

    Joseph Musukuma: Wazungu wanatuwekea ushoga kwenye chanjo; haiwezekani binti wa miaka 10 avae sidiria

    Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria. Amedai utafiti huo ameufanya huko mashuleni na kuwaomba wabunge wengine nao waende wakafanye ili kujiridhisha. Sitaki...
  9. B

    Mbunge Msukuma Kasheku alilia wizi wa fedha za Umma

    Kasheku amelilalamikia Bunge kwa nini haliwezi kutoa maamuzi ya kufanyiwa kazi. Anapendekeza bora hoja bungeni zisipelekwe kuliko kupoteza muda. Ktk clip inayosambazwa anatoa mifano kuwa kuna Mwizi ktk halimashari alipeleka jina lake kwa Waziri Bashingwa na hakuona mwitikio na hatua...
  10. M

    Hivi watu wanapataje Uprofesa? Ndiyo maana Musukuma anawadharau sana

    Hivi Profesa mzima unasema eti kati ya watu 100 ni wat 5 tu wanaoajiriwa na serikali. Haya yalipaswa kuongewa kweli na profesa mwenye kujua kufanya utafiti japo tafiti zetu ni ungo? Sasa kama unaweza kudeclare hivyo kwanini mnawakamata machanguduo wakati mnadeclare kuwa serikali imeelemewa...
  11. J

    Msukuma: Nyie wasomi huko shuleni mnafundishwa kuliibia taifa? Kila mahali nchi hii wamejaa wezi wanaovaa suti na tai!

    Mbunge wa Geita vijijini Dr Musukuma amesema nchi hii imejaa Wezi kwenye Ofisi zote yaani ni Wizi kila kona na hakuna hatua zinachukuliwa na Mawaziri hawako serious kabisa. Msukuma amesema ni aibu kuwa na taifa la Wezi ambalo kila mwaka CAG anatuletea Taarifa za Wezi tu. Msukuma ametaka Bunge...
  12. Mganguzi

    Natafuta mke awe Msukuma au Mhaya

    Wandugu baada ya miaka mingi ya kuzurula au niseme kuhama kambi moja kwenda nyingine, rasmi nimeamua kuoa. Nimeamua kuoa serious kabisa na sina utani hata kidogo! Makabila yote nayajua ila nimeamua kuchagua Msukuma. Kwa sasa sioi kwa sababu ya ngono, ila naoa kwa sababu ya maisha. Mwanamke...
  13. chariti

    Kuanzia leo nitawaita Maaskofu wasomi au Askofu msomi, wao wanaichezea sana dokta sikuizi tuna dokta Msukuma

    Wasomi kweli kweli seminary zimetoa watu makini sina shaka hizi shule zilikua zinatoa division one form four na form six kama mvua discipline ya hatari disciples, mkikutana nao kwenye football wanawagonga darasani wanawacharaza, uthibitisho wa usomi wao. 1.Vyombo vya habari vimebanwa haswa...
  14. S

    Msukuma siyo wa kumuamini, ni muovu wa fikra na muovu katika maisha yake

    Inaumiza kuona mijitu miovu isiyo na soni inatamba mitaani. Híi ni kwasabb jamii ya kitanzania inatukuza matajiri na utajiri pasipo kufuatilia ulipatikanaje. Nchi yetu ingelikuwa ni nchi yenye kuheshimu maadili, Msukuma angelikuwa jela. Lkn cha ajabu amekuwa akitamba mitaani na kuwatukana mpk...
  15. B

    Joseph Kasheku Musukuma alalamikia Wananchi wa Geita Vijijini kumpigia makofi Tundu Lissu

    Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema. Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Musukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita. Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja...
  16. FaizaFoxy

    DP World inatisha. Musukuma alisema kweli

    Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game👇🏾 Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa AI: Hi Jina langu ni Amna Ghanem. Mimi ni msimamizi (supervisor) wa uendeshaji kreni (cranes) kwa kutumia rimoti (remote control) katika bandari ya Jabel Ali inayoendeshwa...
  17. Mnada wa Mhunze

    Walimu Geita: Kichinjio cha Msukuma tunacho sisi

    Walimu wengi vijana ndani ya jimbo la uchaguzi la mbunge Msukuma wameapa kufa naye kwenye uchaguzi mkuu ujao na kamwe watamwonyesha wao ni wasomi ndiyo maana wanasimamia uchaguzi umhusuyo. "....yeye si bingwa wa kututukana sisi wenye degree na kututweza kwamba hatuna lolote basi asubiri usio na...
  18. S

    Msukuma, watanzania wa leo hawasubiri kusimuliwa na waandishi wa habari

    Nimemsikia Mbunge Msukuma akisema eti wengi tunaojadili suala la bandari hatulijui kwa sababu hatujasafiri kwenda Dubai na Uingereza, Singapore ambako wamepiga hatua kwenye sekta ya bandari. Tunachokwambia Msukuma watanzania wa leo hawasubiri kusimuliwa na waandishi wa habari wewe ungejibu...
  19. Analogia Malenga

    Msukuma: Sikuhongwa gari ili kuwatetea DP World. Nimelipa kodi bila exemptions ili walimu wapate mishahara

    Akizungumzia tuhuma za kupewa gari ili atetee DP World kusimamia na kuendehs bahari nchini, mbunge Joseph Musukuma amesema gari aliyonayo amenunua kwa hela yake na amelipa ushuru milioni 130 ili walimu wapate mishahara kama angetumia tax exemptions angelipa ushuru wa milioni 45. Amesema mtu...
  20. J

    Musukuma aisifia DP world ya Dubai sakata la bandari. Adai Taifa linacheleweshwa na wajinga wanaotaka kushirikishwa kila kitu

    SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu. ============== Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya...
Back
Top Bottom