msukuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. saidoo25

    Kigwangalla, Msukuma, Ditopile, Lusinde mbona mko kimya hamjamsikia Rais Samia?

    Waheshimiwa wabunge Livingstone Lusinde, Hamisi Kigwa. Joseph Kasheku Musukuma, Mariam Ditopile mbona mko kimya hadi sasa hamjamsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu KUKOSOLEWA? Mbona hamjatoa tamko lolote kumuunga mkono Rais Samia kwa uamuzi wake wa kutangaza kuwaomba watu wamkosoe ili ayaone...
  2. mgt software

    Njia alizotumia Msukuma kuingia kwenye Siasa Za Fanana na Za Gwajima, Msukuma upambe kwa Lowasa mpaka unafiki Gwajima Kufufua Amina na Misikule!

    Wana JF Ukimwona kwa macho ya kurukaruka unaweza ukadhani Msukuma na Gwajima ni ndugu lakini hawana ubini kabisa japokuwa wote ni kabila moja la kanda ya ziwa. Katika harakati za kutafuta pesa wamejituma haswa na baada ya kufanikiwa bila kujari viwango vyao vya elimu wakajongea kwenye siasa...
  3. The Burning Spear

    Mbunge Msukuma ni wa kuogopwa kama ukoma, ni bendera fata upepo na mchumia tumbo

    Wakati taifa likihangaika na matatizo ya hapa na pale, serikali imemua kutumia baadhi ya wapiga propaganda/chawa wake kusema uongo. Ikumbukwe Msukuma ni kati ya wabunge waliyokuwa upande wa JPM na hata baada ya kufa walitumia nguvu nyingi sana kumtetea. CCM iliona hilo na kujua huyu bwana...
  4. N

    Nashauri wasomi waache kuongoza, nchi wapewe watu kama Musukuma au Lusinde tusonge mbele

    Hawa wa kukariri vitabu wanatuchelewesha tu, kikubwa wanachokifanya ni kutuonyesha umaridadi wao wa kukariri vitabu tu basi. Leo anakuja na maneno yake aliyoyatoa kwa Marx, kesho anakuja nayo ya Mao, kesho kutwa ya Nyerere, mtondogoo ya Trump, maisha yanaenda hivyo tu bila utendaji, hakuna cha...
  5. N

    Nikimsikiliza Lusinde na Msukuma kisha nikaja kimsikiliza huyu Bashiru; naiona elimu ya juu haina maana kabisaaa!

    Hawa wawili wako real, wanaeleweka misimamo yao kitambo tu na wanaisimamia na wanaujua uhalisia mwingi wa hali halisi ya watanzania. Sijapata kumuona Msukuma akiwa kigeugeu; anaipigania bangi hadi leo. Sijapata kumuona Lusinde kigeugeu kwa viongozi wake. Nikimuangalia bashiru, naona ni mtu...
  6. Sijali

    Mbunge huyu Msukuma!

    Ni dhahiri kabisa, kutokana na michango yake bungeni, mbunge Msukuma anawashinda wengi kwa maono na ubunifu. Amekuwa consistent kutoa maoni yenye mashiko, yaliyofanyiwa utafiti na hata kuthubutu kuonesha tija ya maoni yake endapo yatatumika. Hizi kwa kawaida ni sifa za mtu aliyebobea katika...
  7. saidoo25

    DED aliyepigwa fitina na Msukuma akatumbuliwa sasa aingarisha Ilemela

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita Vijijini Eng. Modest Apolinary aliyetumbuliwa na Hayati Dkt. John Magufuli baada ya kupigwa fitna za uongo na Mbunge Kasheku Musukuma sasa anaonekana kufanya mageuzi makubwa katika Manispaa ya Ilemela baada ya kurejeshwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  8. K

    Nilivyokutana na Msukuma kwenye msitu wa Malangamilo

    NILIVYO KUTANA NA MSUKUMA KWENYE MSITU WA MALANGAMILO ILIKUWA JUZI TU yaani usiku wa kuamkia Jana Kabla ya hakujakucha.... Hakuja pambauzika, usiku wa siku hiyo, niliomba Dua kwa sir God aniamshe mapema sana kwani ratiba yangu Ilikuwa tight... Kweli bwana Mungu yupo wazeee, na anajibu...
  9. TODAYS

    Dr. Kasheku Msukuma kushiriki kwenye Kongamano la Biashara na Uchumi

    Nilipokuwa naona watu wakiponda na kumsukasuka juu ya ile PhD yake kwamba alikabidhiwa na hakuisomea🎓. Kwa sasa anajiandaa kwenda kama mnenaji kwenye kongamano la Biashara na Uchumi akiambatana na wasomi wenzake wengine mwishoni mwa mwaka huu kama mmoja wa watakaotoa elimu ya biashara na...
  10. C

    Musukuma: Leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana. Amuimbia Samia Bungeni

    Musukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani. Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua alipamiss sana lakini amepata nafasi ya kuingia na kutoka zaidi ya mara tano, hongera sana mama Samia...
  11. Escrowseal1

    Mchango wa Mbunge Musukuma Bungeni umenifikirisha sana

    Hivi kama nchi tunatumia fikra za nani hasa? Nimesikitika kusikia mamlaka ikitetea uamuzi wa kuwakopesha watoto wa watumishi tu kupata masomo ya vyuo vya kati. Hivi tunafeli wapi kama nchi. Hiyo sera imeamriwa na nani hasa? Binafsi naamini duniani hakuna inayoitwa nchi inaweza kuamua hiyo sera...
  12. B

    PENDEKEZO: Nani kumrithi Dkt. Msonde NECTA?

    Tumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI, (kwa mtazamo wangu hii ni demotion) Swali la kujiuliza kwanini aondoke MITIHANI YA A LEVEL NECTA ikiwa inaendelea? Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA? Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya...
  13. The Palm Beach

    Bungeni Leo: Sera ya "elimu bure" kufutwa? CCM kama kawaida yao wanatanguliza mbunge Kasheku Msukuma kupima upepo. Wewe unasemaje?

    Kasheku Msukuma(MB) - Geita Vijijini leo bungeni akichangia kwenye bajeti ya Wizara ya Elimu na Ufundi, amesema yawezekana walikosea kuja na sera ya "elimu bure" ama sometime hutumia kiswahili cha "elimu bila malipo" mwaka 2015.. Kuna kila dalili kuwa Msukuma ametangulizwa na CCM kulichokoza...
  14. Magazetini

    Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei

    Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta. Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na...
  15. F

    Msukuma wa Ushirombo na Afisa wa FFU kwenye simu

    Mayaya Jembeulaya – Harooo… hapo ni Ghasia? Inspekta Marwa – Ndiyo, Fidi Fosi mkoa wa Geita, mimi Inspekta Marwa, una shida gani? Mayaya Jembeulaya – Nimetoka Dsm nimekuta mtu anahujumu uchumi wa taifa, baghosha! Inspekta Marwa – Anahujumuje uchumi wa taifa? Mayaya Jembeulaya – Anaitwa...
  16. Mpinzire

    Dkt. Slaa kuongoza kongamano kujadili falsafa ya Hayati Magufuli

    Balozi Dk Wilbroad Slaa anatarajiwa kuongoza kongamano la tafakuri tunduizi ya kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kifo cha hayati John Pombe Magufuli. Kongamano hilo litakalofanyika Ijumaa Machi 25, mwaka huu katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT), Mwanza pia linalenga kufanya...
  17. M

    Kuanzia leo naunga mkono siasa za Msukuma na Kishimba wasomi wa Darasa la Saba, hawa maprofesa wanaliangamiza taifa

    Ni bora akina Msukuma na Kishimba 100 pale bungeni kuliko maprofessor 5000 kama Manyele hapa nchini. Elimu zao hazisaidii nchi... Ng'ombe kutoa kinyesi cha kg25 kwa wakati mmoja na mkojo lita 20 ni kioja kingine kwa taifa. Huyu jamaa TAKURURU kwa nchi zinazojielewa wangekuwa washaanza...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa Waziri wa Madini maana ana uzoefu na mambo ya madini

    Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini. Huyu jamaa yupo smart sana. Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini. Karibuni kutoa hoja
  19. Kamanda Asiyechoka

    Dkt. Joseph Kasheku Musukuma: Napitia post za wanaonibeza mitandaoni, kuanzia Ijumaa nitaanza kuwajibu

    #NUKUU "Bahati mbaya mimi siko mitandaoni na kuhusu wanaonibeza, mimi nitazungumza kuanzia Ijumaa, sasa hivi bado nasoma tu hayo mambo yao wanayoyaandika,"- Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma Chanzo: @supabreakfast ya @earadiofm
  20. Kamanda Asiyechoka

    Dkt. Joseph Kasheku Msukuma: Sasa nina hadhi kubwa duniani kisiasa. Naweza kuitwa nchi yoyote kuwa msuluhishi wa kisiasa

    "PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na kwenda kusuluhisha, hizi PhD ni chache sana duniani" Dkt.Joseph Msukuma
Back
Top Bottom