Joseph Musukuma: Wazungu wanatuwekea ushoga kwenye chanjo; haiwezekani binti wa miaka 10 avae sidiria

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
22,369
19,195
Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria.

Amedai utafiti huo ameufanya huko mashuleni na kuwaomba wabunge wengine nao waende wakafanye ili kujiridhisha. Sitaki kuwapotezea muda na maneno mengi, hebu msikilize nyinyi wenyewe kwenye video klipu hapo chini.

MAONI YANGU
Namuunga mkono daktari Msukuma kwa asilimia zote. Siku hizi ukikutana na binti wa miaka 10 njiani ukimuangalia kifuani hadi unaogopa na kuona aibu. Na sio mabinti tu, hata wanaume nao wana chuchu kubwa mithiri ya wanawake

Kuna uwezekano mkubwa wazungu wanatuwekea homoni za ushoga kwenye chanjo. Hili suala liangaliwe kwa undani kwani sio mara ya kwanza kusikia ushuhuda huu hapa nchini. Tusibeze wala kudharau kwani mdharau mwiba mguu huota tende. Waziri Ummy Mwalimu tunakuomba uzifanyie utafiti hizi chanjo za bure za wazungu zisije zikatuletea shida hapo baadaye.

Pia soma: Shekhe aipinga vikali chanjo ya malaria mbele ya Waziri wa Afya, kisa ushoga; hamuogopi mtu yeyote!


 
Huyu Mbunge anaongea Rubbish na hajui kuwa adui ni BPA kwenye plastic ambazo zinamimic hormones na haswa Astrogen unakuta Watu bado wanatumia sana vyombo vya plastic pamoja na kufunikia vyakula.

BPA is a known endocrine disruptor. Although initially considered to be a weak environmental estrogen, more recent studies have demonstrated that BPA may be similar in potency to estradiol in stimulating some cellular responses.

Bisphenol A (BPA) is a chemical that is used in a variety of consumer products, such as food storage containers, water bottles and certain resins. In previous studies, Cheryl Rosenfeld, an investigator in the Bond Life Sciences Center, along with other researchers at the University of Missouri, Westminster College and the Saint Louis Zoo, determined that BPA can disrupt sexual function and behavior in painted turtles

Halafu Waziri wa Afya kazi yake ni kusifia na kupongeza wakati BPA inawamaliza Wananchi.

Hii Nchi imejaa Viongozi Wajinga.
 
Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria. Amedai utafiti huo ameufanya huko mashuleni na kuwaomba wabunge wengine nao
Huyu nae aache kulopoka wakati uwezo wa nchi yetu hata chanjo hatuwezi kutengeneza wenyewe..
Mbunge mzima hauna uthibitisho wa jambo unatuhumu wafadhili bila evidence.
 
Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa
huyu nae mtu mzima ovyo how unafocus na mazowa ya watoto ayo ni maumbile tu mbona hao hao wa miak 10 wengne ad 13 hawna manyonyo changamoto ni kuzdsha aina flan ya vyakula vya antficial km chips mayai mayai ya kisas burger piza bt chanjo kila mtu kapgw sana tu paka tunakua kama iv ila wapo wana maziwa madog tu..moe naona kiwango cha kufkir cha mueshimiwa manak ni darasa la7..alobeba majkum makubwa ya kutunga sheria ya nchi knyume na uwez wa elim yake nafkr shelia zpitiwe upya daras la7 uwez changia vya mana ndio wananch wke wamemtuma awasemee shida iyo jmbon kwake shame aache kunyanyapaa watt hat wao awapend mionekano yao ukchnguz utaon wadg wnye maziw makubw wanakua awap confotable km kufcha kfua au kurudsha nyuma kfua wakitembea kaul yke ni pgo kwao pia
 
Ila kiukweli vitoto vya siku hizi vina maumbile ya kipekee sana bado vidogooo!

Mijini ndio wamezidi sana.

Miaka 10 anayosema Musukuma ni mingi sana, miaka 8 tu mtoto saa 8, sijui ni haya mavyakula ukiachana na hoja ya Musukuma.

Vijijini angalau unaweza kukuta mtoto wa zaidi ya miaka 10 bado hana maziwa, ila mjini rare.

Upande wa vitoto vya kiume navyo vinapevuka mapema, miaka 12 katoto tayari..

Enzi zetu ilikuwa kawaida mtoto wa kiume kuvuka 15 akiwa hajapevuka...
 
Back
Top Bottom