msimamo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa msimamo ujenzi bomba la mafuta la EACOP

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kiamzingira wakati wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chomgoleani Tanga, kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitaalamu. Waziri wa Nishati, January...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka msimamo mradi wa bomba la mafuta

    Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitalaamu. Waziri wa Nishati, Januari...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz naunga mkono msimamo wako, ila tupo wazazi tunaohukumiwa tofauti na makosa yetu

    Nimesoma na kusikiliza maoni mbalimbali kuhusu nachoweza kuita kutowajibika kwa malezi kwa baba yake Ommy kwa mwanae. Hapa nitaeleza mkasa unaonihusu mimi wa kutowajibika kulea mtoto wangu. Mwaka 2001 binti niliyekuwa na mahusiano naye aliniambia kuwa ana mimba, sikuikataa. Jirani a...
  4. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa ligi kuu NBC baada ya mizunguko minne

  5. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Vimetolewa visababu vingi kuhusu hili.Sasa msimamo wangu ni huu.

    Mara kadha imekuwa ikisemwa eti akifariki waziri au rais na akizikwa wanasema eti hayati fulani cjuw kisa wadhifa.Mtu akifa amekufa hakuna cheo wote ni maiti.Sasa natangaza rasmi nami nikifa niitwe hayati fulani c marehemu fulani.Over
  6. Championship

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuweka matokeo na msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara

    Naomba uzi huu tupeane matokeo ya ligi kuu pamoja na msimamo ulivyo kadri siku zinavyokwenda. Hapa jukwaani matokeo ya mechi za Simba na Yanga huwa yanakuwa mubashara lakini mechi nyingine inakuwa tabu kufahamu matokeo na msimamo wa ligi. Karibu tupeane taarifa.
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msimamo Ligi Kuu baada ya Mzungu wa Simba, Dejan Georgijevic kuwasha moto (20/08/2022)

    Hivi ndivyo msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya Simba kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Mkapa, Agosti 20, 2022
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Pesa ya Mwanamke ilivyotamu lazima niilambe! Huo ndio msimamo wangu

    PESA YA MWANAMKE ILIVYOTAMU LAZIMA NIILAMBE; HUO NDIO MSIMAMO WANGU! Anaandika, Robert Heriel Ujumbe huu ni Kwa Hustlers wote. Vijana wote mliotokea kwenye Familia Masikini! Usiogope Kula au kutumia pesa ya Mkeo. Ati nisiitegemee pesa ya mwanamke, Nani kasema? Pesa ya mwanamke lazima Taikon...
  9. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ubabe na msimamo unayo faida kubwa kwenye ndoa na mahusiano

    Sabato njema! Kutokana na vilio vingi humu prakatatumba ikabidi niingie chimbo nifanye research ya haya mahusiano, maana watu wanachezea vitasa tu na vilio kila pande, wengine wanadiriki kujiua au kuwaza kunywa sumu kisa mapenzi. Mimi nimeshadumu kwenye mahusiano kwa masaa mawili tu miaka...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila ni kiongozi mwenye msimamo

    Ki ukweli, nilimkubali sana Chalamila wakati ule wa JPM. Hata sasa namkubali sana tena sana. Kiongozi lazima uwe na msimamo, lakini pia ni lazima kuchukua hatua kali pale inapobidi. Hongera sana TINGATINGA kwa kuteuliwa tena kuwa RC.
  11. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Msimamo NBC Premier League 2022/2023

    Ufuatao ni msimamo wa Ligi itakavyotamatika 2022/2023 1. Simba 2. Azam 2. Yanga 4. Geita gold 5. Singida Big stars 6. Namungo 7. Coastal union 8. Kagera sugar 9. Polisi Tz 10 KMC 11. Kagera 12. Mbeya city 13. Dodoma Jiji 14. Ruvu shooting 15. Tanzania Prisons...
  12. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Mwanaume usipokuwa na msimamo utaendeshwa na mwanamke mpaka dunia utaiona chungu

    Ukiona mwanaume yeyote analalamika kuhusu mwanamke hamuelewi, mara ohoo nipo sipewi unyumba, mara ohoo mwanamke wangu kabadilika Nasema ivi mwanaume mwenzangu unapokuwa na mahusiano na binti yeyote jifunze kuwa na msimamo lakini ukijifanya lava lava boy kila kitu sawa babe utaendeshwa mwanamke...
  13. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Malengo ya sera ya fedha 2022/23 kwa mujibu wa BoT

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ili kuongeza ukuwaji wa uchumi na kudhibiti mfumuko wa bei kati ya 3% - 5% kwa 2022, licha ya kuwa na matatizo mengi nje ya nchi kama vita vya Ukraine na Urusi na kupanda kwa bidhaa kwenye soko la dunia ambayo yanaweza kudhuru ukuwaji wa uchumi wetu na kupelekea...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Napenda sana wana Yanga SC wenye 'Msimamo' na wasio 'Wanafiki' kama huyu

    Kafunguka sana na Kaeleweka mno.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe msimamo na kura ya Othman Masoud Othman ktk Bunge Maalum la Katiba

    ..msimamo wa Othman Masoud ulianzia ndani ya kamati ya uandishi ktk bunge la katiba. ..Othman Masoud anadai alikataa kuburuzwa na Andrew Chenge hivyo akaamua kutokuendelea kuwa ktk kamati hiyo. ..Kwa hiyo Othman Masoud alikuja kutokea bungeni siku ya kupiga kura kama mnavyomshuhudia hapo chini.
  16. LUBEDE

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa ligi kuu ya baridi

    Kwa namna hali ilivyo hapa nani atachukua kombe msimu huu?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Polepole: Sitavaa barakoa hata kama nyie wote mnavaa barakoa

    Polepole ni muumini mwenzangu wa kutokuvaa barakoa. Amenifurahisha kutunza msimamo wake mbele ya wenyeji wake wote waliovaa barakoa. Safi sana!!
  18. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Ni upi msimamo wa Wanawake kuhusu Suala la Ushoga?

    Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza hili swali bila kupata majibu muafaka. Kila linapoibuka swala la ushoga, mara nyingi nimeona wanawake ama wakiwa hawaonyeshi kukerwa nalo, au wakilitetea. Na pia mara nyingi nimeona mashoga wengi marafiki zao wakubwa ni wanawake na wanawake hao huwa hawaoni...
  19. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Navutiwa kujiunga CHADEMA. Nahitaji kujua MSIMAMO wa CHAMA kuhusu Masuala muhimu yafuatayo.

    1- Je, CHADEMA Ina amini katika FALSAFA za Mwalimu Nyerere ? 2- Ni upi msimamo was CHADEMA kuhusu Mahakama ya KADHI? 3- Ni upi msimamo wa CHADEMA kuhusu HALI YA MUUNGANO? - Wanaunga mkono serikali TATU, MBILI, MOJA, MKATABA au KUVUNJA Muungano? 4- Je, CHADEMA Wana amini kipi kuhusu SOKO...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Ligi tafadhali

    Mwenye kuweza kutupa msimamo wa ligi mpaka usiku huu naomba afanye hivyo. Yanga bila shaka amebakiza mechi nane kama sio saba mpaka kufikia leo huku akimzidi Simba kwa pointi kumi. Tusaidieni wenye takwimu sahihi.
Back
Top Bottom