msimamo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Kasongo acha vitisho, Yanga hatujui kudanganya msimamo hatuchezi na Simba

    Nianze kwa kumpongeza Kaka Bumbuli. Nimeona sehemu Mwenyekiti wa Bodi anatishia viongozi wafuate kanuni. Haramu huliwa na haramu Mmeacha kufuata kanuni kama BODI nani mtamwongoza acheni VITISHO nawambia wana Yanga msinunue tiketi za Mechi Yanga walishamalizana na Simba mkinunua yanawatokea...
  2. Thailand

    JamiiForums Tanzania Kwa uwajibikaji huu wa Wizara ya Michezo, hakika Dkt. Magufuli tutakukumbuka mzee wa msimamo

    Yaani wizara ya michezo chini ya waziri Bashungwa inakuja na tamko jepesi kuhusu kuwarudishia mashabiki pesa zao za viingilio kutokana na kuhahiriswa kwa mechi ya simba na yanga bila kuwajibika kwa aliyesabisha tatizo hilo. Bila kifikiria adha na usumbufu watu walioacha shughuli zao huko...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wapinzani hawasomeki, hawana msimamo vigeugeu wasio na msimamo

    Kabla ya kuingia madarakani Hayati Magufuli walikuwa wanataka kiongozi mkali atayepinga ufisadi na kupambana na wala rushwa. Atakayekemea wanaotumia vibaya madaraka na wazembe. Bahati mbaya Hayati Magufuli amefariki na sasa ameingia Rais Samia kuwa Rais wa JMT sasa wanashangilia na kufurahi...
  4. Emmanuel180

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu anafanya kazi gani mpaka baadhi ya mambo ayatolee maamuzi Rais?

    Binafsi huwa napatwa na mhaho sana pale ambapo nakua naangalia utendaji kazi wa baadhi ya mawaziri ambao wengine ni maprofesa kabisa lakini wao kama mawaziri sioni contribution yao moja kwa moja wanasubiri wadau walalamike moja kwa moja kwa Rais then yeye anafuatisha maagizo. Je, Wao hawawezi...
  5. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima asema kutokufanya social distancing wakati huu wa Covid-19 ni msimamo sahihi

    Wakatia akichangia hoja Bungeni, leo tarehe 10 Februari, 2021, Mbunge huyo wa Jimbo la Kawe amesema: "Kuna ugonjwa wa Covid-19 ambao umetikisa dunia na nchi yetu imechukua msimamo tofauti na nchi nyingine zozote. Waheshimiwa Wabunge, natumia nafasi hii kuwatia moyo. Msiogope. Msiogope...
Back
Top Bottom