msiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Mama yake Askofu Mwamakula wapandisha Joto la Kisiasa Kyela

    Bado sijafahamu sababu hasa za Wanasiasa kujazana kwenye Msiba wa Bibi yule, ambaye yeye mwenyewe hakuwa Mwanasiasa. Bali nadhani uwepo wa Mtoto wake, mpigania haki Emmaus Bandekile Mwamakula yaweza kuwa chanzo cha kujazana kwa wanasiasa kwenye msiba huo wa mkulima mdogo wa Kijiji cha Itunge...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Mwamakula afiwa na Mama yake Mzazi

    Kwa niaba yangu Mwenyewe na kwa niaba ya Wapenda haki wote wa Tanzania, natoa Pole kwa Baba Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kwa kupoteza Mama yake Mzazi. Namuomba Mwenyezi Mungu amtie nguvu. Amina
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kyela: Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa (CCM)wageuka Shubiri, Chadema yawasha moto Msibani, DC ang'atwa sikio

    Mwakilishi wa Chadema kwenye Msiba wa Diwani wa Kata ya Nkokwa , amemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo kuchunguza ufisadi unaofanywa na Halmashauri hiyo . Huku akishangiliwa na waombolezaji , Mwakilishi huyo amewatangazia wana Kyela , ujio wa Oparesheni 255 kwenye eneo hilo na kuahidi kuanika kila...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Tajiri Uganda ajitangazia msiba ili kupima marafiki wa kweli

    Jamani dunia Ina Mambo na vijimambo. Tajiri mmoja nchini Uganda amewashangaza wengi. Tajiri huyo alikuwa na wanawake 4 kama ipasavyo Suna ya kiislam. Zamu ya mke mdogo ilipofika akaamua kuwa awadanganye watu kuwa amefariki ili awajue marafiki wa kweli. Alimpa simu mke mdogo awapigie simu...
  5. PILSNER

    JamiiForums Tanzania iPhone 15 imetambulishwa tujiandae na msiba

    Mwagona. Ujio wa matoleo ya iPhone kwa Tanzania huwa ni msiba mkubwa hasa Wazazi Wanaume na makaka. Kwani hicho ndo huwa visa vya dada zetu kuliwa tunda kimasihara kisa simu. Tujiandae kusikia matukio ya hawa ndugu zetu ambayo chanzo ni tamaa. Uzi tayari .
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwenye msiba wa kaka

    Kaka yangu amefariki last two weeks. Alikua Mtumishi wa Umma wa cheo kikubwa tu wizara fulani. Ofcoz, siwezi kudanganya serikali iliuchukua huu msiba serious, sijajua ni kwa sababu ya miongozo yao au ni kwa sababu ya ukaribu kati ya bro na boss wake. Anyway bro alifaraiki ghafla sababu...
  7. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Mila ya ‘kumaliza msiba’ inavyowatesa wanawake Mara

    WATANI ZANGU SOMENI SHULE KAMA SISI KUONDOA MILA HIZI POTOFU Mila ya ‘kumaliza msiba’ ni miongoni mwa mila kandamizi zinazoendelea katika baadhi ya makabila mkoani Mara inayotweza utu wa mwanamke anayetakiwa kujamiiana na mwanaume yeyote pindi anapofiwa na mumewe kwa madai ya kujisafisha...
  8. dubu

    JamiiForums Tanzania Walioimba Kwaya kwenye Msiba wa Magufuli mbona siwasikii huu wakiimba kuhusu DP World Msiba wa Taifa?

    Wale waimba Kwaya Usiku na Mchana TBC, nilikuwa nawaona Wanaimba Kwaya huku wanalilia eti Magufuli kafa. Lakini hili swala la DP World wapo kimya. Hivi huwa wanaishi wapi na wanaibukia wapi? Kwa saaa hakuna Msiba Mkubwa kama DP World. Watunge wimbo ili kweli tujue wanalilia Taifa au njaa zao...
  9. MAPITO Mwanza

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jecha Salim Jecha afariki dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Jeshi Lugalo

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) aliyefuta uchaguzi 2015 na kupata umaarufu mkubwa, Jecha Salim Jecha leo amefariki Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam na mwili wake utapelekwa Zanzibar kwa maziko. Jecha Salim Jecha alipata umaarufu mwaka 2015 baada ya kufuta matokeo...
  10. Baraka Kasinge

    JamiiForums Tanzania USIWE KONDOO MWENYE KIBURI: Kukomoana Huzaa Msiba

    Kondoo wawili walikuwa wakitokea tofauti za mto. Mmoja akitokea mashariki na mwingine magharibi. Walipoufikia ule mto, kila mmoja kwa upande wake alihitaji kuvuka. Kwa bahati mbaya, mto ule haukuwa na daraja pana zaidi ya gogo lililokuwa limelazwa kwa kuvukia. Basi, walipolifikia lile gogo...
  11. Baraka Kasinge

    JamiiForums Tanzania SoC03 KONDOO WENYE JEURI: Kukomoana Huzaa Msiba

    Kondoo wawili walikuwa wakitokea pande tofauti za mto. Mmoja akitokea kusini na mwingine kaskazini, na kila mmoja alihitaji kuvuka ili kuelekea upande wa pili. Walipoufikia ule mto, kwa bahati mbaya, mto ule haukuwa na daraja pana, zaidi ya gogo lililokuwa limelazwa kwa kuvukia. Cha...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Jenga kwako, usiridhike na vyumba / apartment za kupanga! ukifariki msiba utaombolezwa kwenye apartment? watoto wataishi wapi kodi ya mwezi ikiisha?

    offcourse ni vizuri kijana unamkuta kapanga apartment yake ama self contained, ana usafiri wake, biashara ama kazi inamlipa fresh, ana mke na watoto wawili tayari, n. k lakini kipengere kinakuwa kwamba sehemu anayoishi ni ya malipo kwa kila mwezi bado hana pake. Jenga kwako hata kama ni nyumba...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ahani msiba wa Lemutuz, afika kutoa pole kwa Waziri Mkuu Mstaafu Malecela

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemtembelea na kumfariji Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William Malecela (Lemutuz) kilichotokea hivi karibuni, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Kilimani Mkoani Dodoma, tarehe...
  14. Area 56

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Samia atoa ndege kwaajili ya kusafirisha msiba wa Le Mutuz

    Tetesi zilizopo ni kuwa raia namba moja, Rais Samia ametoa ndege maalum kwa ajili ya kusafirishia msiba wa William Malecela "Le Mutuz" atakayezikwa keshokutwa Mvumi huko Dodoma. Ndege hiyo itabeba watu takribani 70 ikiwa ni pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kuwatoa Dar na kuwapeleka Dodoma kwa...
  15. Leak

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hizi kodi ziko nchi hii au watu wanasema uongo kumchonganisha Samia na wafanya biashara? Huu ni zaidi ya msiba!

    Mh Rais ni kweli umeamua kuuwa uchumi na biashara kabisa? Hivi kweli umeruhusu kadi za namna hii? Hii nimeikopi kwa mwana jf wakukurupuka1 Nanukuuu “Leo Kuna mgomo kwa wafanya biashara soko kuu kkoo kutokana na kila wiki uzinduzi wa kodi mpya Baadhi ya kodi unazotakiwa kulipa 1: TRA. 2: FIRE...
  16. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Watu wazuri hawafi: Mzee Makamba hajaonekana kwenye msiba wa Mzee Membe

    Huu uzi hauhusiani na uzi wowote, ni kama ule wa watu wazuri hawafi. Amakweli nimeamini mzee Makamba alimaanisha alichokisema maana hajaenda msibani, wala hajatoa salamu za rambirambi, nimeangaza angaza sijafanikiwa kumwona mwanawe msibani. Hongera mzee wangu kwa kusimamia kauli yako.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwangu mimi naona Zito ameongea vizuri kabisa, nasaha nzito Msiba wa Membe

    Amegusa pale ambapowengi kama siyo wote wanapaogopa! Bila kumungunya maneno but highly reserved not to mention names of culprits!
  18. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Halafu utashangaa taifa lipo kwenye msiba

    Lakini kuna watu bado wanapata hamu ya kusex kipindi hiki cha huzuni.😢kama kweli mmefanya ivo inasikitisha sana mjue😭 Jikazeni jamani kuweni wavumilivu hizo nyapu zipo tu. RIP Makamanda
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Mhe. Bernard Kamillius Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Viwanja vya Karimjee - Dares Salaam leo tarehe 14 Mei, 2023 Saa 4:00 Asubuhi...
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane: mazishi ya Membe yamebeba sura ya msiba wa kiongozi mkubwa Kiitifaki. Nini maana yake

    Poleni watanzania mlioguswa na msiba huu mzito wa Bernard Kamilius Membe. Ninaangalia live capture ya sherehe ya kumuaga Marehemu Membe hapo Karimjee. Naona kuna itifaki imeandaliwa kwa namna ambayo inanipa dukuduku kufahamu undani wake. Protokali za Mkuu wa Nchi kushiriki msiba wa mtumishi...
Back
Top Bottom