mshindi

On May 28, 2016, a three-year-old boy climbed into a gorilla enclosure at the Cincinnati Zoo and Botanical Garden and was grabbed and dragged by Harambe, a 17-year-old western lowland gorilla. Fearing for the boy's life, a zoo worker shot and killed Harambe. The incident was recorded on video and received broad international coverage and commentary, including controversy over the choice to kill Harambe. A number of primatologists and conservationists wrote later that the zoo had no other choice under the circumstances, and that it highlighted the danger of zoo animals near humans and the need for better standards of care.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa yatangazwa mshindi wa kwanza tuzo ya umahiri katika utayarishaji bora wa taarifa za hesabu kwa mwaka 2024

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeendelea kung'ara katika uwanja wa usimamizi wa fedha za Umma. Katika hafla ya tuzo iliyofanyika usiku wa tarehe 29 Novemba 2024, DCEA ilitangazwa mshindi wa kwanza tuzo ya umahiri katika utayarishaji bora wa taarifa za hesabu kwa...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Arusha: Mgombea wa CUF ashinda Uchaguzi Kijenge Kusini, alalamikia kuzuiwa kwa mawakala wa chama chao

    Wakuu, Katika kipindi hiki ambacho matokeo yanaendelea kutangazwa, mengine mapya yanaibuka. Aliyekuwa mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF) mshindi wa Uchaguzi katika mtaa wa Kijenge Kusini, kata ya Kimandolu, jijini Arusha, Shaaban Suleiman Mzava, ameeleza malalamiko yake juu ya mawakala wa...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Mgombea Uenyekiti kupitia ACT Wazalndo ajitangaza mshindi kabla ya Uchaguzi akihitimisha kampeni

    Waguu Mgombea wa Uenyekiti kupitia Chama cha ACT Wazalendo huko Kigoma amejitangaza kuwa ni mshindi kabla ya Uchaguzi wakati wa kuhitimisha Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
  4. JamiiForums Tanzania Nani ataibuka mshindi Jake Paul vs Mike Tyson?

    Leo ni mpambano mkali kati Jake paul na Mkongwe Mike Tyson nani unadhani ataibuka mshindi? Kwa huku kwetu ni saa 10 Alfajiri kesho
  5. JamiiForums Tanzania Mwanaume wewe ni mshindi

    Habari za jumamosi jamii forum, Ni weekend nzuri kabisa ya mwisho wa mwezi,ambayo bila shaka bidhaa na shopping kibao zitafanyika huku kesho jumapili tukipunguza michango na zaka kwa kiasi fulani. Nije moja kwa moja kwenye mada ambapo mara nyingi napenda kuwatia moyo wanaume wenzangu haswa...
  6. JamiiForums Tanzania Nathanael Atanas Mpasi aibuka mshindi maalumu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Ajinyakulia shilingi milioni 5

    Nathanael Atanas Mpasi ni Mwanachama hai wa JamiiForums.com ambaye ameonesha kuwa mmoja wa Wanachama wanaopinga suala la Rushwa katika Sekta mbalimbali Amefanya hivyo katika maandiko yake kupitia Jukwaa la Stories of Change (SoC) Mwaka 2023 na 2024 na 2024, amekuwa mstari wa mbele kuweka...
  7. JamiiForums Tanzania Match ya mshindi wa tatu ngao ya jamii simba tayari kashajaza uwanja huko

    Naambiwa hapa tayari ni full house kwa ile mechi inayoanza saa 9 hongereni sana mashabiki wa simba na uongozi wa simba kwa kuwahamasisha wanasimba na hasa kwa ahmed ally Tunawaomba match yeny ikiisha mbaki na match ya Yanga vs azam sababu mashabiki wa Yanga ni wa-zito kwenye kujaza uwanja
  8. JamiiForums Tanzania Majimbo Sita yatakayoamua mshindi wa Urais Marekani!

    Wataalamu wanaamini kuwa kuna majimbo machache tu ambayo yanaweza kumuwezesha mgombea wa Democratic Kamala au mpinzani wake wa Republican, Donald Trump kushinda uchaguzi mkuu wa Marekani hapo November. Sita kati ya majimbo hayo-Arizona, Georgia, Michigan, Nevada, Pennsylvania na Wisconsin -...
  9. JamiiForums Tanzania Najiweka pembeni juu ya huu Unafiki na Kuonewa wazi wazi kwa KMC FC ili tu Simba SC yangu itengenezewe Mazingira ya Kimagumashi iwe Mshindi wa Pili

    Najua tu kuna wana Simba SC watanichukia kwa hili, ila ukweli ni kwamba TFF, TPLB na Simba SC wanaionea KMC FC.
  10. JamiiForums Tanzania Huu ni wizi wa kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Je, hili Jimbo nani aliibuka mshindi?

    Angalia hii video ukifika mwisho tushauriane on-line.
  11. JamiiForums Tanzania Tune Shaaban Salim: Mshindi wa Tuzo ya Nyerere ya Uandishi Bunifu Maktaba

    TUNE SHAABAN SALIM MWANDISHI NGULI NA MSHINDI WA TUZO YA NYERERE YA BURT AMEFIKA MAKTABA Leo nimetembelewa Maktaba na mwandishi Bingwa na Mshindi wa Tuzo ya Nyerere ya Burt inayoshindaniwa na waandishi vijana kutoka Tanzania, Ethiopia, Kenya na Ghana. Amekuja kunipa kitabu chake, ''Posa za...
  12. JamiiForums Tanzania Wito, Kuna Mashindano ya Kombe la diwani huku Tegeta kwa ndevu mshindi anaondoka na bajaji mpya, Tunawaalika Simba sc waandike barua mwisho tar 1

    Huku Tegeta kuna wakali wa kusakata kabumbu kama Msekelo fc, Kindovu fc, WauzaNyama FC, Nafaka sc, Sokoni B SC n.k ambao wote ni mafundi wa kutandaza soka safi. Hivyo tumeona tuwaalike wenzetu Simba sc waje tushiriki katika michuano hii ili kukiza soka letu kwa pamoja na kuongeza idadi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Utabiri: Robo Fainali CAFCL, Nusu Fainali Mpaka Mshindi wa CAFCL

    Baada ya kuona Matokeo ya droo ya Timu zitakazocheza Robo Fainali hapa ni Utabiri wangu wa mechi za robo fainali.. kwa timu za Tanzania Yanga atajitutumua atatoa Droo Nyumbani ila Atafungwa Ugenini hivyo kuyaaga mashindano hayo.. Wakati huo Simba atafunga goal nyingi Nyumbani,Ila atafungwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kubezwa kwangu kulinipunguzia presha nikawa mshindi vipindi vyote

    Ni yule #DeMostAdmired Wa Mercy. Nimependa pia nishee experience hii na ninyi ndugu zangu wa JF. Nahisi tutapata vitu flani flani. Nashea hii kujaribu kuwapa shuhuda juu ya nature ya jinsi gani sisi walimwengu tulivo na maajabu ya ulimwengu wenyewe Nianze na kuwapa update kuhusu Mercy, Mercy...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Sijui kwa nini mashirikisho ya soka yanang'an'gania nafasi ya mshindi wa tatu, hii nafasi imepitwa na wakati

    Salam wanaspoti. Jana ilitakiwa iwe fainali ya AFCON 2024 na leo ilikuwa ni sherehe tu ya kushangilia kombe lakini sasa kutokana na kuhangaika na nafasi ya tatu fainali inabidi ichezwe leo. Timu zimekaa hotelini toka jumatano zinasubiri mechi ya fainali zaidi ya siku tatu hii yote eti...
  16. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, Tuyaenzi kwa 4R za Rais Samia?, JMT Tuitendee Haki Zanzibar?, Tuwatendee Haki Wazanzibari? Mshindi Halali Apewe?

    Wanabodi, Kwanza nijiunge na Watanzania wenzangu, kumpongeza Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Zanzibar, Dr, Husein Mwinyi, kwa Zanzibar kutimiza miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, huku waliopindua wakiyaenzi na kuyaita Mapinduzi Matukufu, huku waliopinduliwa wakisema Mapinduzi...
  17. JamiiForums Tanzania Mapinduzi Cup imeoza, mshindi amepangwa. Rwanda kutoshiriki tena? Simba inatolewa leo kwa Maelekezo?

    Baada ya APR kunyimwa goli lililoonekana ni halali likifungwa na mchezaji Shiboub aliyewahi kuchezea Simba Sports. Baada ya mechi kocha wa APR alilalamika kubebwa waziwazi kwa timu ya nyumbani Mlandege jambo ambalo si la kiuanamichezo na kwa kuzingatia heshima ya mashindano hayo yanayoshirikisha...
  18. JamiiForums Tanzania Makundi mapya Mapinduzi Cup baada ya Bandari FC na Ura kujitoa, Kundi la Simba umafia waziwazi, Yanga wanabebwa

    Kundi B la Simba, -JKU hadi sasa inaongoza ligi kuu ya Zanzibar na imewahi kushinda makombe ya ligi kuu -APR tangu 2020 imechukua makombe manne mfululizo ligi kuu ya Rwanda -Singida FG ni timu ya nne kwa ubora kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara Kundi A Vital’o Azam FC Chipukizi United Mlandege...
  19. JamiiForums Tanzania Appy - Mshindi (Trophic Remix) | Feedback/Maoni

    Hello, JamiiForums. So nimejaribu kuunda Remix ya hii nyimbo yangu pendwa kwa 2023, Mshindi yake Appy. Please Enjoy ✌🏾 Maoni pia yanakaribishwa. https://youtu.be/01_m_sADtbA?si=vc0G7z02l3zm32SP
  20. JamiiForums Tanzania Mshindi wa vita vya mashariki ya kati ni yule mwenye kumiliki jiji la Daudi au Jerusalem

    Madai ya Hamas, Hisbollah na Iran ni kumnyang'anya Muisrael jiji lake zuri la Jerusalem. Sasa mnaopinga kama Israel siyo mshindi na mbabe wa mashariki ya kati basi mmpeni Hamasi jiji la Daudi au Jerusalem. Haya yote yanayojili migogoro ya mashariki ya kati ni kushindwa kumchukulia kinguvu jiji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…