mshahara

  1. JamiiForums Tanzania Mshahara wa Internship private sectors upoje?

    wana jf,samahan mshahara kwa intern private sector upoje na je mda ukiisha unaweza update?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Naiomba serikali sikivu ya Rais Samia iongeze wiki moja kwenye ufungzuzi wa shule January 2022 mshahara utakuwa umetoka

    Kupanga ni kuchagua na maendeleo hayana vyama. Huu ni usemi maarufu alipenda kuutumia hayati John P. Magufuli mjeshi au jiwe mtu aliependa kuona kitu kinafanyika na kuonekana na sio hadithi. Kama mnavyojua hizi sikukuu mbili ni balaa tupu. Christamass na mwaka mpya watu huwa wanajiachia...
  3. JamiiForums Tanzania Anahitajika Nesi aliyesajiliwa Mshahara ni Zaidi ya 4,000,000/= kwa Mwezi.

    Ubalozi wa Marekani, Tanzania wanahitaji Nesi. Aliyessajiliwa, Mwenye uzoefu walau Miaka 2. Kazi nzuri. Kutuma Maombi fungua link hapa chini... https://erajobs.state.gov/dos-era/vacancy/viewVacancyDetail.hms?_ref=n0dhqwvrpt0&returnToSearch=true&jnum=30260&orgId=22
  4. JamiiForums Tanzania Je, kuna mfanyakazi wa serikali analipwa mshahara zaidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano

    Msaada please kwa anaejua. Acha na posho Bali mshahara tuuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Namwombea Mshahara zaidi 'Spin Doctor' wa Siasa za Tanzania na Matukio yote Muhimu ya Kihisia

    Ameshatufanya tusahau Sakata la Mbowe, Ugaidi na Makomandoo wake na sasa tujikite zaidi katika Sakata la wana CCM wanaopendana akina Polepole, Nnauye na Bulembo lakini wenye Akili fupi tunafurahia na kudhani wana Ugomvi ( a.k.a ) Bifu. Na hapa ndipo ninapoisifu Idara ya Mpare ya pale Makao...
  6. JamiiForums Tanzania Kati ya Mwalimu na Muhadhiri nani anastahili mshahara mkubwa?

    Jamani Mimi bado mawazo na fikra zangu zimebakia kwenye suala la mishahara, Kwa mfano nikianza na waalimu hivi Nani anastahiliii KULIPWA MSHAHARA MKUBWA Kati ya mwalimu wa SHULE ya msingi na lecturer wa chuo?
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mshahara wa Property Manager ngazi ya Diploma

    Wakuu Habari za muda huu! Nimeitwa kwenye interview itakayofanyika Arusha siku ya ijumaa kwa kampuni binafsi. Sasa siku hizi Kuna Swali common la candidate's salary expectations ambalo ndilo hutumiwa kuwachuja watahiniwa. Naomba kufahamishwa range ya mshahara wa hii kazi kwa ngazi ya diploma...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Naweza kuishi Dar kwa mshahara wa laki tatu?

    Tafadhali Husika na kichwa Cha Uzi Huu. Mimi ni Job seeker, nimepata kibarua Cha laki tatu Dar es Salaam. Sijawahi kufika Dar ila nasikia maisha ya huko ni Magumu kwa sababu ya bei ya vyakula, Pango na Usafiri. Naomba kuuliza, kwa kiasi hicho tajwa, nitamudu maisha ya Dar?! Ahsante.
  9. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

    Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake. Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja. Anaishi nyumba ya kupanga. Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Kocha mpya Simba SC Pablo Franco unalipa Mshahara wa Nabi, Kazi, Zahera, Manara na Bumbuli huku Chenji ikibaki pia

    Awali alitaka Mshahara wa Tsh Milioni 350 kwa Mwezi ila baada ya Majadiliano na Klabu aliyoipenda ya Simba baada ya Kusimuliwa na Timu ya Sevilla ya Hispania iliyokuja Tanzania kucheza na Simba SC sasa amekubali kupokea Mshahara wa Tsh Milioni 250 kwa Mwezi na mpaka sasa ameshalipwa tayari...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa hapa Tanzania mwenye PhD ya ukweli aliyesomea akasota anatakiwa alipwe kiasi gani kama mshahara?

    Mimi napata tabu sana na wenye hizi shahada, Ninamaana ya kwamba Mtu ana PhD lakini anapambania kitu kidogo sana, hadi najiuliza huyu PhD yake kweli ni ya Ukweli na aliipambania kwenye tafiti na mengineyo ili aipate au ni feki, ni vile tu hawaja mkamata. Mara nyingi nimewaona wenye PhD...
  12. JamiiForums Tanzania Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

    Eeeh bwana ehh ni Mimi Mr. Liverpool Tena. Weekend hii tumempiga Manure na nyundo Kali sanaa mpaka kapoteana.!! Sasa jiulize ile ilikua Old Traford, je wakija Anfield..!!! Turudi kwenye mada .... HIVI KWANINI HAMSIKII NIKIWAAMBIA MSIOE ??😳😳😳 Sasa Kuna mwenzenu yamemkuta huku ...
  13. JamiiForums Tanzania Kinachomuondoa Didier Gomez Da Rosa ni Mshahara mkubwa, siyo kipigo

    Huyu ni miongoni mwa makocha wanaolipwa hela nyingi, si kocha wa bei rahisi, halipwi kama Kishingo. Ni kocha wa mshahara kama wa Uchebe. Ikumbukwe kwamba MO halipi mshahara wa kocha wa Simba kutoka mfukoni mwake kama wengi wanavyodhani , alilipa kutokana na fungu ambalo Simba walikuwa wanapata...
  14. JamiiForums Tanzania DR Congo: Wanafunzi walivamia Bunge wakitaka Walimu wao waongezewe mshahara

    Mamia ya wanafunzi wamelivamia bunge nchini DRC wakitaka walimu wao waongezewe mshahara. Wanafunzi hao walikuwa wanapeperusha matawi na kuimba "tunataka kusoma" na "ikiwa hatutasoma, tutatumia dawa za kulevya". Maandamano ya aina hiyohiyo yalitokea katika mji wa Beni kaskazini mwa Kivu ,kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya ulinzi: mshahara laki 1. Pesa ya kula elfu 30. Mbezi Dar

    Wahi chap nikuunganishe upate hii kazi. night shift kwenye lodge Taarifa muhimu nimeweka juu ukiona mshahara sio size yako acha povu. Mlinzi mlinzi mlinzi
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mhitimu wa Diploma ya sheria kulipwa mshahara wa Tgs B na mahakama, hii imekaaje?

    Mara nyingi idara za serikali hulipa mishahara kwa ngazi husika kulingana na elimu ya muajiriwa. Mfano Tgs A huwa ni form four. Tgs B huwa ni wahitimu wa vyeti walioajiriwa. Sasa jambo la ajabu mahakama inawalipa Tgs B watumishi inaowaajiri kwa ngazi ya diploma. Hii ni ubaguzi mkubwa sana. Na...
  17. JamiiForums Tanzania Ajira: Ubalozi wa UK, Receptionist. Mshahara Tsh 1.5M+ kwa Mwezi

    Receptionist A1 (04/21 DAR) - Maternity Cover The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge discrimination, enhancing our organisational capability. We welcome and encourage applications from people of all...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa anayejua range ya mshahara wa matechnician wa Universities

    Habari wa kuu nilikua naulizia kwa mwenye kujua wale matechnician wanaosaidia wanafunzi during practicals huwa range za mishahara yao ipoje kuanzia kwenye bachelor, master na hata PhD. Karibuni wadau
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mkurugenzi aibe mabati licha ya Mshahara mnono alionao?

    Ninasikita sana kuona nchi yetu ikiendelea kunajisiwa na watu wachache wasio waadilifu na wenye tamaa ya mali na utajiri wa haraka na mbaya zaidi wanatumia jasho la walipakodi. Ni aibu kwa kiongozi wa umma kushiriki vitendo vya wizi wa mali za umma ulizoapa kuzilinda kwa maslahi ya nchi. Kuna...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Wabunge upunguzwe

    kama utapiga mahesabu na kujua ni kiasi gani wabunge wanatek home hela,basi utaona kwa nini serikali inaingia kwenye ufukara kiasi ya kuleta na kujaza kero kwa mwananchi asie hata na kazi ya maana ,pengine hata akilima mazao yanakauka na jua au kuoza kwa sababu ya mvua zisizo isha,na wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…