mshahara

  1. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Mshahara Julai 2022

    Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio. Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Vipi mshahara wa Julai umetoka? Je, kuna mabadiliko yoyote?

    Uzi huu ni mahususi kwaajili ya kujuzana kuhusu mshahara wa mwezi Julai. Je mshahara ushatoka? Vipi kuna mabadiliko? Ahsanteni sana. Baba mwenye nyumba, Kashai, Bukoba.
  3. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

    Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo. Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mhandisi II (civil daraja la pili) wizara ya ujenzi na uchukuzi ni shillingi ngapi kwa anae fahamu

    Kwa anaefahamu mshahara wa mhandisi II civil wizara ya ujenzi na uchukuzi anisaidie hapa. Nashukuru
  5. S

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Mshahara ulipwe kwa awamu mbili

    Habari za majukumu wana JamiiForums. Andiko langu la leo ni juu ya namna ya mshahara wa mtumishi ulipwe, kuzingatia mabadiliko ya mifumo ya maisha kupanda na kushuka kwa gharama za maisha napendekeza watumishi wa umma walipwe kwa awamu mbili nikiwa na maana ya tarehe 15 na tarehe 30 ya mwezi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, pendekezo la kushushwa mshahara kwa waliotenguliwa nafasi litawahusu pia waliotenguliwa huko nyuma?

    Wakati waziri wa fedha anawasilisha bajeti ya serikali kwa mwaka 2022/2023 alipendekeza kama njia ya kubana matumizi kuwa mtu akitenguliwa kwenye nafasi ya uteuzi na akarudia nafasi yake ya awali, basi na mshahara utenguliwe ili apate unaolingana na nafasi aliyokuwa nayo kabla ya uteuzi. Kwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na pendekezo la Waziri wa Fedha kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa arudishwe kwenye mshahara wake wa awali

    Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo. Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Ukitenguliwa kwenye nafasi za kuteuliwa urejee mshahara ule wa awali kabla hujateuliwa

    Mtumishi wa Umma atakeyeteuliwa kwenye nafasi za kuteuliwa baadaye akatenguliwa nafasi aliyoteuliwa basi arejee kwenye mshahara ule wa awali kabla hajateuliwa. Amesema kuwa kumlipa mtu mshahara wa nafasi ambayo hayupo tena (aliyokuwa ameteuliwa) ni kuwabebesha mzigo mkubwa Watanzania. Mtu...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mfamasia na medical laboratory science kwa gazi ya degree

    Wanajamii forum naomba kuulizia Ni kiwango gani cha Mshahara wa mfamasia na medical laboratory science kwa gazi ya degree kwa Zanzibar (s.m.z)
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu nimemtafutia kazi mshahara laki 3, anaikwepa, nimefowadiwa meseji zake anadai ninamnyanyasa. Nifanye nini?

    Kamaliza chuo mwaka juzi ila hadi sasa hana shughuli, alikuja hapa mjini pasaka mwaka jana ila nikamwambia abaki baki ajiskie huru hasa ukizingatia nyumbani kwangu kuna vyumba vya nje kwa hio haikuwa taabu kumuhifadhi. Sina ubaya wala hila, mimi kila wiki huwa nampa 50 kwajili ya matumizi...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ukimkaribisha mtu kinywaji ni jukumu lako kumfharamia.

    Unapomkaribisha mtu iwe bar, public house au nyumbani kwako, ni jukumu lako kumfharamia kwa vyote utakavyo milipia. Hujui huyu unaemkaribisha mfuko I ake uko vipi. Si ajabu amebaki na laki moja anaipigia mahesabu itakavyookoa hali ya uchumi nyumbani mpaka mwisho wa mwezi atakapo pokea...
  12. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Prof. Lumumba kama Mwl aliyepishana na gari ya mshahara

    @ProfPLOLumumba prediction of "politics of hygiene" he thought @RailaOdinga lacked has afterwards made PLO a pseudapostle as a multimaterialist-Baba is poised for MAGUFULIFICATION OF HIS KENYA. PLO should come back to Nkrumah Hall UDSM to square his oratory!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwajiriwa wa serikali wa TGS E anakatwa kiasi gani kwenye kila mshahara wake?

    Habari wakuu, Mimi sio mwajiriwa ila ni mtafutaji ambaye ikitokea nkaingia kwenye mfumo basi ntakuwa kwenye daraja la TGS E. Kujua jambo ni vyema sana, mimi nilikuwa mnufaika wa bodi ya mikopo (HESLB). Napenda kujua taasisi husika kama NHIF, NSSF, PSSSF, HESLB na TRA (PAYE) wanakata kwa...
  14. one one chief

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la mshahara kwa watumishi wa umma lisiwafanye muingie mkenge kukopa kwenye taasisi ndogo ndogo za kifedha

    Asilimia 23.3 la ongezeko la mshahra kwa kima Cha chini si haba, japo baadhi wanakejeli ongezeko Hilo Ila ukweli ni kwamba kheri ya kitu kidogo kuliko kutokuongezewa kabisa. Napenda kuwashauri watumishi wa umma ambao hupendelea kukopa katika taasisi za fadha kuwa makini na taasisi ndogo ndogo...
  15. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Mkesha wa kupokea mshahara mpya

    Wadau nwakaribisha katika mkesha wa mshahara mpya baada ya mama kupiga mwingi... Yeyeote mwenye interest aje inbox..
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yampongeza Rais Samia kwa ongezeko la Mshahara

    Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara. My take: Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi. Aidha kwa kipindi cha miaka 7 chadema haijawahi kuhudhiria sherehe za wafanyakazi hivyo Sifa hii wamuachie...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mshahara umeongezeka 23.3%, nauli zimepanda 60%

    Kuna shangwe kuhusu tamko la serikali kuongeza mshahara 23.3% wakati ambao nauli ya bajaji na daladala na bajaji imepanda kutoka sh 500 hadi 800 sawa na 60%.
  18. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ningeshauri punguzo la kodi ili vitu vishuke bei, kuliko kuongeza mshahara

    NINGESHAURI PUNGUZO LA KODI ILI VITU VISHUKE BEI,KULIKO KUONGEZA MSHAHARA. Leo 13:15hrs 15/05/2023 Je ni kweli gharama za maisha za leo hii ili mtumishi amudu maisha inabidi kima cha chini kiwe millioni moja!!? Mimi nadhani ingekuwa vyema kama tungeongeza tija katika uzalishaji ili pesa ipande...
  19. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la 23.3% ni kwa watumishi wote au asilimia inashuka mshahara unavyopanda?

    ONGEZEKO LA 23.3% NI KWA WATUMISHI WOTE AU ASILIMIA INASHUKA MSHAHARA UNAVYOPANDA!? Leo 12:15 hrs 15/05/2023 Tangazo la kuongeza mshahara la Zanzibar,Kenya na Uganda vs tangazo la kuongeza mshahara Tanzania bara "Tanganyika" kuna maana mbili tofauti,Zanzibar,Kenya na Uganda wametangaza...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Mshahara la 23.3% Serikali itoe ufafanuzi

    Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini ...
Back
Top Bottom