Nawasalimu wakulungwa.
Naomba tujifunze kwa pamoja kwa wenzetu wa Zanzibar ongezeko la Mshahara lipoje maana wakati wa May Mosi, Rais Mwinyi aliahidi kuongeza asilimia 17.
Sasa naomba tujifunze, je nyongeza ipo na kama ipo imekaaje? Maana huku Tanganyika Chief Hangaya kafanya yake.
Walimu wanabezwa sana, hii siyo sawa! Kila anayelalamika anabambikizwa kuwa mwalimu kana kwamba ualimu ni kazi ya kudharauliwa! Sisemi kuwa walimu hawajalalamikia hii nyongeza ya ajabu ajabu ya mshahara, ila siyo kweli kuwa watumishi wengine hawalalamiki.
Tunajenga taswira kuwa ualimu ni kazi...
Ndugu zetu watumishi wa uma, kwanza niwapongeza kwa kuongezewa mshahara, ombi langu kwenu lipeni basi madeni yetu tuliyowakopesha kipindi mnapitia katika hali mbaya. Ahsanteni
Sisi wa sekta binafsi tutapambana na mabosi zetu, ikishindikana basii.
Kwema Wakuu!
Hili uliweke akilini mwako kabisa mapema ili baadaye usiyejekulia Lia Kama mtoto.
Mwajiri wako anapopanga Mshahara wako kitu anachokiwaza ni kupata faida maradufu. Pia anawaza ni namna gani utamsaidia kupata faida kubwa zaidi na kufikia malengo yake, na sio kuwaza kukusaidia...
Wameongezewa mshahara ambao wanadai ni kidogo ila jinsi wanavyoleta taharuki utadhani kuna crisis kubwa kama vile Tanzania imepigwa bomu la nyuklia
Hivi Hawa watu hawajui kuna watu wasomi zaidi yao wapo mtaani miaka zaidi ya 10 hawana ajira na wanatamani hata walipwe nusu ya huo mshahara...
najua wafanyakaz wengi mtakuwa mmepata nafasi ya kisimamia sensa 2022
chonde chonde sensa ni kwa ajili ya kupanga maendeleo yetu wenyewe ni kama jicho la serikali kujua wapi wapeleke nini
najua kumetokea kanjanja kubwa kwenye mishahara mipya ila isiwakatishe moyo mkaharibu hili zoezi!
kuna...
Nawasalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa muda sasa kumekuwa na kelele nyingi na malalamiko ya wafanyakazi kuhusu nyongeza ya mshahara. Hapo mwezi Mei serikali ya Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassani ikaamua kuwa mshahara uongezwe kwa 23.3 kwa kima cha chini hasa ukizingatia, katika...
Ni hivi nyongeza ya mshahara kwa 23.3% inaanza kwa watumishi wa Umma wenye kima cha chini 300,000.. so approximately mtu huyo anapokea 70,000 extra!! Hizo asilimia zinakuwa zinapungua kadri mshahara unavyopanda!! The purpose is kulinda gap kwa wafanyakazi lisiwe kubwa.
Hivyo basi hii...
Sio kawaida ya hawa Matarumbeta kushangilia Kila kitu, what happened? Hizi kelele za mitandaoni wangekua wameshasema neno, hii "Nyongeza" wameamua kuikalia kimya, au ni pesa ya vocha?
Samia anaupiga mwingi sio?
Ifike hatua tuache kubembelezana, Serikali ilisema kabisa imeongeza mshahara ikiwemo kima cha chini kwa 23%, hamkuelewa nini?
Hawa watu wa kima cha chini wa TGS A walikuwa wanapata hadi 280, 000/= Hawa ndio wamepewa 23%
Sasa wewe una mshahara wa milioni na wewe unataka 23% unaumwa eti...
Makato ya Lazima ya Vyama vya wafanyakazi kwa jina la Ada ya UWAKALA ifutwe.
Kujiunga na Vyama vya wafanyakazi libaki kuwa Jambo la hiari.
Hii ni DHULMA.
Wabunge Wana mishahara ya 3.8M kwanini kiasi kinachoongezwa hawaweki kwenye BASIC kwasababu wanajua kitakatwa.
Mtumishi hatakuja kupata...
Nasikia wakati Kada zingine zikiwa zinangojea 'Kiuhuruma' kila tarehe 1 May ya kila Mwaka waongezewa Wenzao ( wa hizi Kada Mbili ) za Makao 'Upanga' na 'Oysterbay' huongezewa kila Mwezi.
Hongereni wa Upanga na Oysterbay.
Mwalimu Ester Shayo
Moshi
22.07.2022
Nimepita katika mitandaoni nimeona maoni mbalimbali ya watumishi wa umma mbalimbali kuhusu ongezeko la mishahara yao katika mwaka wa fedha wa 2022/ 2023, baada ya Serikali kutangaza kuwa mishahara itaongezeka kwa 23.3%
Nimegundua kuwa baadhi ya wananchi...
Mshahara ulopendkezwa na TUCTA ni 1, 010,000 kwa mwezi na huo watosha kukabiliana na gharama za maisha.
Kuna masuala kama mfumuko wa bei kwa bidhaa muhimu na pia gharama zingine za maisha kama malipo ya pango, matibabu hospitalini na malipo ya huduma zingine kama umeme na maji.
Lakini serikali...
Kuna ambaye bado anabisha tu kua Hayati JPM alikua ni Genius? Kwamba Hayati JPM alikua ni Mteule wa Mungu aloletwa Kuwainua Watanzania !!.?
Watumishi wa Umma hao , walimu kama nawaona , Mapolisi kama nawaona ( Hawa watu wawili Wana Maisha ya tabu sana ) Lakini ndio wa kwanza kuimba nyimbo...
Wafanyakazi walihitaji nyongeza za uhakika. Ila anachofanya sasa ni vituko tu. Kwa maisha haya elfu ishirini itasaidia nini. Watumishi wanaitaji vitendo zaidi.
Kwa wastani kila mtumisi kaongezewa buku tu kwa siku. Kwa maisha haya hiyo elfu moja inamaana gani?
Mwaka jana mliongeza elfu 2 eti...
Na kuna Fowadi Mmoja tegemeo Kachukia kweli kweli anasema bora aruhusiwe tu aje Simba SC au aende zake Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.
Si mnajifanya Kuficha? Nimeshaipata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.