Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, vijana, ajira na wenye ulemavu) Mhe. Joyce Ndalichako amesema kuwa malalamiko ya wafanyakazi kuhusu makato ya mishahara yao yanashughulikiwa kwa kuwa serikali sikivu ya awamu ya 6 imesikia kilio chao.
Waziri amewataka wafanyakazi kuviamini vyama vyao...