msemo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Misemo iliyotrendi 2023: Ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakufurahisha au kukukasirisha?

    Muda umeenda, mwaka unaenda kuisha; ni asilimia 95% mpaka sasa ya mwaka tumeikata tayari. Misemo ni vimbwanga mbalimbali vimeibuka. Je, ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakugusa kwa namna yoyote? ~ "Mama anaupiga mwingi"🥲
  2. Doto12

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu msemo ni mzuri sana ingawa ni kama wa kihuni

    Maisha yanapoandamwa na shida za saikolojia ni shida. Misemo kama hii huweza kuibuka. Kwa sasa nautumia Mtaani kwangu naona nanuniwa. Nimeamua kudeal na kaz zangu tu. Kazini kwangu kuna maneno kupitia vyanzo si rasmi naona kuna maneno maneno juu yangu. Nimeamua kustick na Mungu na kazi...
  3. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Akina dada, huu msemo huwa una maana gani? ....."we tu endelea kuchat na sim... minikisha lala sitaki usumbufu"

    Karibu kila siku 'mywangu' tukiwa kitandani unilalamikia ....."we tu, endelea kuchat na sim... minikisha lala sitaki usumbufu"
  4. Avatar

    JamiiForums Tanzania Pita, achia msemo maarufu wa kishule unaoukumbuka (mwanafunzi/mwalimu/mzazi)

    Wakuu... Habari ya jumamosi tulivu hapo ulipo?? Umeshapata chai???? Sasa sikiliza nikuambie, Najua ulishapita shule, iwe chekechea, vidudu, msingi, sekondari hata chuoni. Kama utakua unakumbuka vizuri, tulikua na: 1. Majina ya utani ambayo iwe mwalimu au mwanafunzi kutaniwa 2. Misemo ya...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Sauti ya wengi sio sauti ya Mungu. Huu msemo ni kuchanganya dini na siasa

    kuna msemo wa kirumi Vox Populi Vox dei ( Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu). Huu msemo ni sahihi kisiasa sio kidini au kiimani. Wanasiasa walitumia huu msemo kujihalalishia mambo yao hata kinyume cha Mungu na wengine ilikula kwao. Sasa ni aibu kwa kauli hii kusikika kwa watu wa dini. Ibaki...
  6. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Penye Uzia Penyeza Rupia: Jinsi Msemo wa Kiswahili Unavyoathiri Uwajibikaji na Utawala Bora katika Jamii

    PENYE UZIA PENYEZA RUPIA: JINSI MSEMO WA KISWAHILI UNAVYOATHIRI UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA JAMII Imeandikwa na: MwlRCT 1. UTANGULIZI Msemo wa "Penye uzia penyeza rupia" unatokana na neno la Kihindi "rupia" linalomaanisha sarafu ya fedha. Msemo huu ulianza kutumika katika jamii...
  7. Desierto

    JamiiForums Tanzania usiuamini msemo: wa kutoa ni moyo maana ndo utawapeleka watu wengi motoni,

    yaani asikudanganye mtu eti kutoa ni moyo, hapana, narudia tena hapana, kutoa ni kujilazimisha bila kujilazimisha huwezi kutoa, Mimi nilikuwa na rafiki yangu alikuja akiwa na shida ya simu yake mbovu lakini kwa kipindi kile ilikuwa ni masika kwahiyo isingewezekana yeye kupata simu kwa wakati...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mama anaupiga mwingi maana yake nini? Ni ili CCM muibe kiulaini?

    Dhana ya mama anaupiga mwingi umefaa tu kwenye baadhi ya maeneo laini laini, msemo huu ungeenda sambamba na udhibiti wa pesa za walipa kodi nchi nzima tungeuimba wimbo huu. Kwa mara ya kwanza na ya mwisho, tunawashauri CCM, waache kuimba huu wimbo unaozidi kuuwa uchumi wetu na wao kuufanya...
  9. Kelvin de bruyne

    JamiiForums Tanzania "Vijana nendeni mkalime acheni kubeti" huu msemo nitakuja kumvunja mtu shingo

    Habari zenu Wanajamvi Mimi ni msemaji wa vijana tusioajiriwa tuna degrees zetu tuko tunahustle mtaani kwenye harakati mbalimbali za mtu mweusi kwa bahati nzuri harakati hizi zinatupatia pesa kidogo za kujikimu kwenye mahitaji ya Kila siku mfano bando, nauli, chakula nk....so tunaishi 👊👊 Kwa...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni nini, ya nani, ya kazi gani? Msemo "Katiba ndio kila kitu" Una maana gani? Katiba ina umuhimu gani?

    Wanabodi, Utangulizi: Hizi ni makala elimishi kutoa elimu ya uraia kwa watu wa kawaida kuijua katiba yetu ya JMT ya mwaka 1977. Mtoa Mada ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea kutetea haki katiba na kujitolea kutoa bure elimu ya katiba...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania "Soma kwa bidii ili ufanikiwe" msemo unaopatikana katika nchi maskini pekee

    Habari, Binafsi nikiri kuwa sijawahi kuvuka mpaka wa Tanzania ila nina exposure ya kutosha kuliko hata wauza unga waliozamia Afrika ya kusini. O level nimefundishwa mathematics na walimu 3 Wakimarekani, nimefanya kazi na Wazungu kwenye kampuni 2 tofauti. Kwahiyo Wazungu niliokutana nao wote...
  12. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Msemo “kujiajiri“ kutoka kwa Wanasiasa ni Ushahidi tosha out of touch na Low IQ!

    Kila siku utasikia hakuna ajira na watu wajiajiri, sasa wajiajiri ili wamuuzie nani na nini? Tanzania ni nchi masikini tena sana sasa kila mtu akijiari hiyo biashara nani atanunua na kwa kipato gani? Kwangu mimi Mwanasiasa anayewaambia watu wajiajiri wakati per capital income ya Tanzania ni...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Haba na haba hujaza kibaba, ni msemo niliyoutumia kwa kinyume kwa mafanikio makubwa sana

    Suala hili si la kifalsafa hata kidogo, ni suala la uhalisia wa moja kwa moja. Mfano ukiambiwa mtu mwenye kilo 50 anaweza kuinua mzigo wa tani 50, kwa akili za haraka haraka utabisha, lakini kwa kutumia ‘jeki’, mtu huyu anatumia nguvu zake zile zile, ila tu anazitoa kidogo kidogo hadi ile tani...
  14. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Huu msemo wa Tafuta Hela . Unawahusu KE, na ME

    Mwanamke Jobless na mwenye harakati zake thamani Yao kwa Ground hazifanani. So uwa nachekaga hawa KE wanavyojiwekaga Nyuma katika mapambano . Demu mwenye Maisha mazuri hata Kama ana sura mbaya wanaume lazima wamuwinde . So Demu mwenye mkwanja usitegemee thamani yake ikafanana na mtu ambaye...
  15. master of cities

    JamiiForums Tanzania Nimechelewa mjini , Huu msemo wa "AFTATU" unamaanisha nini?

    Jamii forum ina majibu ya kila swali , kuanzia maswali ya msingi mpak ya kijinga yote Yana majibu sahihi kupitia JF, mtandaoni sa hv ni vurugu mechi. Kila Kona ni meme za "AFTATU " ndo zinatembea , daah kuuliza sio ujinga , ulianzaje na maana yake nn .... Kwa mwenye uelewa anitoe tongo tongo
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtume wao Mwamposa hivi Wewe huu Msemo wa 'Akufukuzae Hakuambii Toka' huujui au Jeuri tu?

    Yaani Kwa namna Mamkala ( Watu ) NHC wanavyoendelea na Maandalizi ya Ujenzi wa Nyumba hapo ni dhahiri shahiri kuwa pataleta Usumbufu mkubwa wa Kiujenzi hapo Kanisani Kwako na hata kwa Waumini wako. Mtume wao Mwamposa hivi pamoja na Wewe Kubobea hasa katika Saikolojia umeshindwa tu Kung'amua (...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo huu msemo na wimbo utatawala sana kichwani mwangu mpaka saa 12 jioni

    Msemo..... "Mtoto akililia wembe mpe umkate vizuri ili akome na siku zingine awe na adabu" Wimbo..... "Usimchezee chatu ooooh chatu weeeee.... Usimchezee chatu ooooh chatu weeeee...." Na hasa hasa kuanzia saa 10 kamili hadi saa 12 kamili jioni ndiyo GENTAMYCINE nitakuwa makini kuusema huo...
  18. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia unaujua msemo huu?

    Raisi wangu, kwa heshima na taadhima napenda kukusalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mama kuna ule msemo unaosema kuwa "ukicheka na nyani shambani mwisho wake utakuja vuna mabua" Yanayoendelea nchini kupitia hao panya wa barabarani bila shaka unayajua, lkn inaonesha bado haujawa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Dhana miongoni mwa watu kwamba huwezi kufanikiwa pale ulipozaliwa (kukulia) na msemo wa,”Naenda kutafuta Maisha” ulivyojengeka kwa wanajamii

    Hali ilivyo:- 1.Watanzania waishio nje. Kila mwaka mamia ya wanawaake wanaenda Uarabuni kusaka maisha ambapo baadhi hupata mazingira ya kazi yenye staha na mishara mizuri. Lakini wengine hufanya kazi kwa saa nyingi zaidi na kwa malipo madogo huku wakipata manyanyaso ya kimwili na...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tusipende kutumia msemo kwamba Mungu amempa huyu na fulani hajampa, Mungu hana upendeleo na huenda anahusika kidogo sana kwenye mafanikio yetu duniani

    Msemo huu hupendwa sana kutumika hasa na watu kanda ya mikoa ya pwani ya bahari. Utasikia hili sio fungu langu, fulani kapewa fulani kanyimwa. Hizi ni fikra za kimasikini sana za kumfanya mtu anafikia mpaka kuridhika na hali yake na kushindwa kupambana kwa njia tofauti za kufikia malengo yake...
Back
Top Bottom