msemo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siafiki msemo wa "Mwanamke akiingia gheto hatakiwi kutoka kizembe" Yalinikuta mwenzenu

    Ilikuwa mwaka jana! Baada ya kuona mazoea yamezidi, mara anione aniite ite, anikumbatie mbele ya watu, vizawadi zawadi vya hapa na pale, nikajua hii papuchi naichakata soon! Nilivyompanga akakataa, nikamuuliza sababu, siku ya kwanza kasema Dini hairuhusu (binti wa kilokole), siku iliyofuata...
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Dkt. Angelina Mabula, unafahamu wizarani kwako kuna msemo wa "kupiga mbata"?

    Pole na kazi Mh. Waziri na pole kwa majukumu yako mengi kweli ya kila siku. Mh. Ofisi yako Dar es Salaam nipende kutoa masikitiko yangu kwako pamoja na jitihada zote uzifanyazo wapo baadhi ya watumishi wako hapo wizarani ambao wanafanya mambo ya hovyo kweli infact fedha ndio imekuwa...
  3. Xiao qui shui

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na msemo wa "chako changu, changu changu"

    Habari wakuu! Siku hz unakuta wanasema haki sawa ktk njanja zote. Sasa ktk familia unakuta mwanaume ana kazi isiyo ya kudumu yan tenda na mke amebahatika kupata kakazi ka maana lakn utakuta mwanamke anaomba hela ya matumizi kwa mumewe wakat anajua kwamba hana hela sometimes na akinyimwa lawama...
  4. ragin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanandoa tuache unafiki na huu msemo “amelala na mchepuko kwenye kitanda wanacholalia na mkewe/mmewe”

    Hakuna watu wanafki kama watu walioingia kwenye NDOA na hata hawa wapambe. nasema ni wanafki zaidi ya walio nje ya ndoa... Kama una hako kamsemo kakuwaambia watu au kuelezea kesi za watu huku ukiitaja hii sentensi hebu iache mara moja unajiaibisha. “amelala/kafumaniwa na mchepuko tena kwenye...
  5. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Kuna Msemo wa Maisha Ni safari, yako imefikia wapi

    Safar ya Mwanadamu ya mapambano inaanza punde tu anapozaliwa. Hiyo safari iliyosemwa na wahenga yako iko wapi?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Profesa Jay ni tafsiri sahihi ya msemo 'TUISHI". Maisha yake ni faraja kuliko uzuni

    Moja ya Jambo ambalo wanasiasa na Viongozi wengi wameshindwa ni "KUISHI". Watu wengi wanaopata nafasi au uungwaji mkono wamekuwa wepesi kukengeuka na kuacha kuthamini waliochini Yao matokeo yake wanawageuza wenzao kuwa tambara bovu (kifutio Cha uchafu) Nimeangalia mwitikio wa wananchi kwenye...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanatumia msemo wa Kiingereza "If you can’t convince them, confuse them"

    Hadi dakika za mwisho za kujiuzulu kwa Ndugai wana CCM wengi hawakujua wawe upande upi wa Spika au wa Rais. Ndio maana hadi sasa wabunge wengi wa CCM bado wapo kimya. Kwa upande wa upinzani hasa Chadema wao walichokuwa wanafanya ni kuchochea kuni, kuna waliokuwa wanampaka mafuta Ndugai kwa...
  8. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Milipuko Jiji la Kampala na msemo wa Kiswahili "Mgema akinyolewa tembo..."

    Banzukulu nawasalimu kwa jina la Mungu Baba. Nianze moja kwa moja na maudhui, katika hali ya kushangaza Uganda hasa katika jiji la kampala kumetokea milipuko iliyopewa jina la milipuko ya magaidi iliosababisha vifo kadhaa na majeruhi katika makumi, katika siasa za kikanda ulinzi wa pamoja na...
  9. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Msemo Fyatu: Kwenye wingi wa maji safi, Mpumbavu Hufa kwa Kiu....Una Ukweli?

    Msemo huu nimeunyambua toka kwa msemo mashuhuri wa Bob Marley kuwa "in the abundance of water a fool is thirsty". Yaani, ukifa kwa kiu wakati unezungukwa na maji safi na salama tatizo ni upumbavu wako...yaani umeshindwa kubuni namna yoyote (hata kulamba kama mbwa) kuyafikisha maji kwenye kanwa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania "Kazi Iendelee" ni msemo unaokwepa majukumu huko tuendapo, umekaa kijumlajumla

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wote waliopo huitikia kwa nguvu kazi iendeleee. Nimekaa na kuutafakari huu msemo nimeona kama ni wa kisiasa zaidi. Unakwepa kuwa na commitment kwenye maisha ya Watanzania milioni 60, ni kama vile ikifika wakati wa Rais kuulizwa kafanya...
  11. Kiplayer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msemo wa wanawake hawapendani

    Wanaume wenye changamoto katika mahusiano ni miongoni mwa evidence zinazoupa nguvu msemo huu wa wanawake hawapendani. Ili mwanaume utofautiane na mwanamke lazima mfanane tabia, wote mmiliki tabia za kike au kiume. Like poles hupishana. Mara nyingi katika mahusiano mwanaume huambukizwa tabia za...
  12. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Twende na Paka kauzu, unaukumbuka msemo gani unaoendana na huyu paka?

    Weka kauli yoyote ambayo uliwahi kuiona inayoendana na huyu paka kauzu
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo, SIMBA iachane na msemo wake "THIS IS SIMBA" ulioasisiwa na Manara

    THIS IS Simba, umekuwa msemo kielelezo cha kuitambulisha club yetu pendwa ya Simba, ambayo ni club ya wenye nchi matajiri akiwemo @mo Dewji, Bujibuji na wengine baadhi tunaojificha kwenye kijicho cha Mo na hisa zake (all in all tunajuana as secret cindicate) Bila kuachana na mbinu, kauli mbiu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania huu msemo wa 'Sisi Waafrika' unatudumaza, achaneni nao

    Tumesikia au tunawasikia sana viongozi wetu wakijinasibu kwa Uafrika, aidha utawasikia wakisema sisi Waafrika, yaani wanaona shida kubwa sana kusema sisi Watanzania au kwa Utanzania wetu bora hata Wa upande wa pili utawasikia wakisema sisi WaZanzibari au Uzanzibari wetu. Viongozi hivi...
  15. jiwe gizani

    JamiiForums Tanzania Msemo gani wa kiswahili unakukera?

    Aisee binafsi nakerwa sana na msemo Nyani haoni kundule Sababu: hilo neno kundule naona kama nimetukanwa vile [emoji2] Wewe ni msemo gani wa kiswahili una kukera? Na kwanini?
Back
Top Bottom