msanii

1. Mbunifu, mtu anayejishughulisha na kazi za sanaa kama vile kuchora, kuchonga, kuimba.

2. Mtu muongo au mjanja mjanja, asiye mwaminifu.
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Iltokea siku moja msanii wa nyimbo za Asili akazuia mvua isinyeshe sehemu walipo washabiki tu!

    Hii siyo ya kusimuliwa na watu niliona kwa macho yangu. Katika mkoa wa Geita wilaya ya Nyang'hwale kata ya kafita na kijiji cha Lushimba. Msanii wa nyimbo za Asili Bhudagala alikuwa akitoa show katika kijiji hicho. Basi wingu zito lilitanda likiashiria mvua kubwa sana itashuka muda sio...
  2. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Msanii Zimwi adai mke wake alimkimbia baada ya kuugua

    Muigizaji na mchekeshaji maarufu Zimwi amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu Hivi karibuni amefanya mahojiano na waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa yeye ni baba wa mtoto mmoja na amekuwa na mwanamke aliyemkimbia kipindi cha kuugua ingawa alimsaidia sana mke wake pamoja na familia ya...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Msanii gani hata show iwe bure huendi

    Nitajie wasanii bongo ambao hujawahi kuwaelewa yaani hata show yake ije na uambiwe uende unapewa posho ya 5000 na kiingilio bure wewe bado hutaenda kwa sababu hawana kipaji wamebebwa Tu na upepo.. Mimi ambao siwakubali JAPO kuna baadhi ya hits wametoa nzuri 1.tunda man 2.ney wa mitego 3.dogo janja
  4. bro alex

    JamiiForums Tanzania Msanii Ibra ni utovu wa nidhamu au, ameenda kuoa Burundi bila kushirikisha wasanii wenzake

    Taarifa zilizo washangaza WATU MBALIMBALI ni kitendo cha msanii IBRA KWENDA Burundi kufunga NDOA bila kuwashirikisha wasanii wenzake. HUKU za chini zikidai kua ukweni NDO wamesimamia gharama za harusi ETI HADI nauli ya bwana harusi. Inasikitisha SANA DOGO kakosea aombe radhi haya ni maisha TU...
  5. Surya

    JamiiForums Tanzania Hii picha niya msanii gani ?

    Nani anamjua huyu ? Naamini kila kitu kina tafsiri yake.. 1. Kwanini Profile hiyo ? 2. Kwanini Username hiyo ? Nielezee yangu ?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msanii chipukizi yupo hodi akijiuguza maumivu baada ya kurekodi audio milioni 1 na video ya milioni 5 halafu kapata views 200

  7. bro alex

    JamiiForums Tanzania Nampenda Msanii Tems kutoka Nigeria, nampataje?

    Katika maisha YANGU NMEKUA NIKI dondokea KWENYE MAHUSIANO ya mapenzi na wanawake tofautila ILA huwa nafall in love na wanawake weusi halafu wembamba au umbo NAMBA nane kwa kweli huwa NAPENDA haswa. WAKUU plizi Niko NJE ya muda kwa kifupi mi ni mlala hoi ILA nimependa kama NYIE mnavo penda hisia...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Shout out kwa Godfrey Steven kwa kuendelea ku-prove yeye ndio msanii bora wa gospel ya kisasa

    Ahitaji kumix sebene na gospo au kuvaa kama muimba singeli, ila muziki flani tulivu wenye ubunifu bil kukimbia nadharia nzima ya uzima https://youtu.be/gtVvOnjovEs?si=c1KaQ_JVY1XQbppI
  9. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Dogo Pateni ni msanii wa singo moja, amemaliza muziki wake tayari

    Dogo paten ni msanii wa singeli aliyebahatika kutengeneza hitsong moja ya Afande. Kwa kuwa ni msanii average haitotokea atoe hitsong nyingine bahati uwa haitokei mara mbili. Nachoshangaa sababu ya umbumbumbu wake ameinua mabega anavimbia watu. Amevimbia Mjini FM Kamvimbia Zuchu. Anavimbia...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msanii adai: Ukisema 'Mama Samia Hoyee' unapewa Laki Moja kwenye uzinduzi wa Dira ya 2050

    Wakuu! Kama wasanii wanaamini kwamba kusifu viongozi, hususan kwa maneno mepesi kama "Mama Samia Hoyee," kunatosha kupata malipo au "ulaji," basi tunajiweka kwenye hatari ya kupotosha dhamira ya sanaa Huu mtindo wa kutoa malipo kwa misingi ya sifa tu, badala ya mchango wa kweli au kazi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na Msanii Aslay wafikishwa Kortini, wadaiwa fidia Billioni 5

    Mwanaharakati maarufu katika mitandao ya kijamii aishiye Marekani, Mange Kimambi na nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Isihaka Nassoro maarufu Aslay, wamefunguliwa kesi ya madai kortini, wakidaiwa fidia ya Sh5 bilioni. Katika hati ya madai, Mange anatajwa kuwa mkazi wa Los Angeles...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kwanini huyu Msanii aliruhusiwa kuingia Ubalozini?

    Msaani akiwa na Balozi Kairuki ofisini kwake Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza Kama ningekuwa balozi huyu nisingeruhusu aingie hivi ofisini. Inakuwaje management yake haijamfundisha kuhusu dress codes
  13. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Upande wa pili wa Mbosso usiofahamu

    wakati Mbosso anafanya vizuri sana na EP yake ya Room number 3 ambayo imepata hitsong ya Pawa iliyoandikwa kwa ushirikiano wa Mbosso na Diamond Platnumz. Ni vema kama watanzania mkaufahamu upande wa pili wa Mbosso ambao umekuwa hauzungumzwi sana na yeye amefanikiwa kuulinda usijulikane...
  14. Little brain

    JamiiForums Tanzania Hakuna msanii ananisikia upande wa trap bongo am the king

    Me vs bongo hip-pop artist part 1
  15. V

    JamiiForums Tanzania Kuna Msanii katoa Wimbo wa Samia

    https://youtu.be/sUBRcLf3X10?si=P-jveXFSu5TlMrTv
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msanii Vitalis Maembe aja na wimbo mpya kuhusu matukio ya utekaji na watu wasiojulikana, asema hakuna kukaa kimya

    Wakuu Tusimame pamoja tupaze sauti tusiyakalie kimya haya yanayoendelea, kama jirani yako hayupo salama ina maana hata wewe haupo salama. === Msanii wa muziki Vitali Maembe ametoa wimbo kupinga mauaji yanayotokea na watu kutekwa afrika Mashariki unaoitwa "KIMYA'' na kuambatisha ujumbe...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Huyu ni msanii wa kiume..

    Hakika zama zimebadilika sana. Katika kupita mtandaoni nikakutana na picha ya msanii Platform.. Imenifikirisha sana. Itafikia muda sasa jinsia ya kiume kuwa na mionekano ionekane ni sahihi tu kutokana na wasanii wetu kujianika na mionekano kama hii. Najua sio huyu tu, hata wewe huenda umewahi...
  18. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Kila instagram page ya msanii au hawa watu maarufu au machawa wananchi wanawapelekea moto sana aisee

    kilal msanii akipost anaandikiwa no reform nk election 😀🤣 kila chawa akipost hoja ni hyo mpaka wengine wamejamm kufungia X kumeleta changamoto instagram huu mwaka wa moto sana endeleeni kupiga spana watanzania tuungane tupeleke moto🔥🔥
  19. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu tuachane na mambo ya Gwajima ni msanii katumwa na CCM kuzima moto

    Ndugu zangu taifa la Mungu!!! Nimemsikiliza huyu ndugu jana sikumwelewa. Kwanza ujasiri wakutengeneza kundi ndani ya serikali ambalo dola halina nguvu ya kuomba msaada kwa wananchi wakati dola imekula kiapo cha kuwatumikia raia. Wenzangu tuu mashahidi hata Muliro huyo anaechukua mack na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii wa bongo movie wamshukia Martha Karua

    Wakuu Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu? Na huyo anayewatuma huwa anatambua anachokifanya? mana ni aibu kwa kweli. === Msanii wa maigizo nchini maarufu kama Jimmy Mafufu amuweka...
Back
Top Bottom