msaada.

  1. mens12

    Kila nikikutana nae kimapenzi tu basi siku inayofuata anaingia kwenye siku zake

    Habari wana jf, poleni na majukumu. Nimefikwa na jambo linalo nitatiza ikabidi niwakimbilie kupata msaada. Hivi karibuni nimepata mwanamke ambaye ameonesha upendo mkubwa na kunijali sana ila kuna kitu hakiko sawa naninahitaji ushauri au tiba hasa. Tatizo: Kila nikikutana nae kimapenzi tu basi...
  2. R

    Anayejua swift code ya NMB Bank naomba msaada.

    Habari wakuu Nahitaji swift code ya benki ya NMB .Inasomeka NMIBTZTZ. Hiyo character ya tatu ni namba 1 au ni herufi I ? Napiga namba zao za customer care hakuna option ya kuongea na mhudumu!
  3. Cathy Diwani

    BAKWATA wana haki kisheria kugawa mali za wanandoa baada ya kuvunja ndoa?

    Salaam wakuu, Mdogo wangu ndoa yake imevunjwa na baraza kuu la Waislamu(Bakwata) kupitia kwa kadhi wa baraza hilo mkoa fulani huku Bara. Baada ya kuvunja ndoa hiyo baraza hilo linataka mdogo wangu na mtalaka wake watafute watathmini wakakague mali walizochuma kwenye ndoa ili baraza hilo...
  4. B

    Mtoto ana Umri wa Wiki Moja na ana Mafua makali Msaada

    Habari, Mtoto wa Umri wa Wiki Moja ana Mafua makali na anakohoa mara mojamoja... Naomba Ushauri wa kitaalam na namna ya kumsaidia kupata na dawa. Asante
  5. bafetimbi

    Nahisi nimefika hatua mbaya kabisa sasa. Naombeni msaada

    Wasalaaaam wadau! Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Kiukweli mimi najiona kabisa sasa nimefikia hatua mbaya sana maana imefika hatua nimekuwa addicted vibaya mno wa kuzama uvinza yaani raha yangu ni kupaangalia pale paluvyo na kisha kutia ulimi mpaka najishangaa kwamba mimi siku hizi...
  6. UZZIMMA

    Matokeo yangu yamekosewa NACTE, nimehangaika sijapata msaada

    Habari yenu katika ujenzi wa maisha yenu. Nimehitimu chuo 2020 stashahada ya uhandisi majengo katika chuo fulani cha serikali hapa nchini. Tatizo kubwa matokeo yangu yamekosewa katika mfumo wa NACTE na hii imekuwa ni kikwazo nisiweze kuendelea na masomo. JITIHADA NILIZOZIFANYA KWA SUALA HILO...
  7. dump

    Nimekua na uraibu wa sauna muda mrefu sana

    Habari zenu ndungu zanguni, Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,naomba Daktari anisaidie kuhusu kitu kinacho itwa SAUNA. Najua wengi tunafahamu kuhusu SAUNA,nimekua na uraibu wa sauna mda mrefu sana,nikiwa mapumzikoni jioni lazima niende nikatoke jasho. Je, Madaktari mnasemaje kuhusu...
  8. babu M

    Kwanini sisi weusi tupo hivi?

    Hata kama ujabahatika kutembelea nchi za Europe au America. Lakini utakuwa umejionea kwenye social media Kuna baadhi ya vitu sisi weusi tumekuwa tunavipenda na vimekuwa sehemu ya utamaduni wetu. Mfano bling jewellery, hair(mfano extensions, wigs, n.k), cosmetics, vyakula na vingine vingi...
  9. Private investigator

    Msaada. Homa ya Ini B. Mume anawezaje kumkinga mkewe?

    Ikiwa mume anayo hiyo homa, anaweza kushiriki tendo la ndoa na asimuambukize mkewe? Pia kuhusu uzazi, anaweza kumpa mkewe mimba na mtoto kuzaliwa salama bila kurithi ugonjwa?
  10. Alexander Lukashenko

    Morrison amparua Manara, Senzo ahusika kutoa msaada

    Katika ukurasa wake wa instagram Ndugu Haji Manara aliandika maneno yenye kila dalili ya kejeli kwa Bilionea Mohamed Dewji " Mo". Kuoneshwa kutofurahishwa na jambo hilo, winga machachari na hatari Bernad Morrison ameandika maneno yakumuasa manara, kuwa usikejeli watu waliokustili mwanzo kwani...
  11. emmarki

    Msaada: Nataka kupima/kujua uzito wa nguruwe bila kutumia mizani

    nguruwe akiwa bandani kutambua uzito wake ni shughuli kwa sababu hakuna mizani za kuweza kumpima akiwa hai kwa sababu ni msumbufu. Naomba kufahamu ni mbinu zipi za kutumia kujua au kupima uzito wa mnyama huyu nguruwe, ili nikimnunua nijue baada ya kutoa utumbo na kichwa angalau nitabaki na kilo...
  12. Last sentinel

    Naomba msaada wa kujibu hili swali

    Hllw guyz,naomba msaada wa hili swali. 1. ACustomer needs to get an Electric Circuit which will operate his DC Electric bell which Requires a Voltage input of 12Vdc and Current of 3.5A in his house. You as an Engineer you have ten resistors of 100R, 220R, 470R, 540R, 600R, 1K, 2.2K, 4.5K, 5.6K...
  13. Komeo Lachuma

    Nahitaji msaada: Nachelewa kupata hisia katika mambo mbalimbali

    Kabisa nahisi nerves system zangu zina shida. Either ni kuna uzembe flani unakuwepo au kuna hitilafu. 1. Nilianza tu kama kitu kidogo nachelewa kusikia maumivu yaani naweza kanyaga mwiba then nikatembea baada ya dk kadhaa mbele ndo nasiki maumivu kama nimekanyaga kitu kikali. Wakati nlikanyaga...
  14. JF Member

    Msaada: Nyumba ya contemporary inavuja

    Nilikuwa nazipenda sana nyumba za aina hii hadi nilipojionea kwa ndugu yangu. Nyumba imeezekwa lakini inavunja sana Pembeni mwa mabati. Afanyeje ili isivuje? N.B: Pembeni ukuta umechimbwa ili kuingiza bati na kuzibwa kwa cement ya water proof.
  15. guzman_

    Msaada. Makadirio ya kodi kutoka TRA

    Wakuu za leo. Katika kupambana na maisha nikaamua kuanzisha duka la rejareja almaarufu la mangi mitaa ya hapa Mwanza. Nikaenda TRA kusajili TIN bana jamaa wakakadiria kodi nilipe 250,000 kwa mwaka. Sasa yaani nimeshindwa hata cha kuongea nawaambia mimi kwa hii miezi miwili kwa siku hardly...
  16. Nukta5

    Msaada: Unaondoaje Ukungu wa nje kwenye kioo cha mbele?

    Juz nilienda marangu na gari sasa usiku wakat narudi kulikuwa na baridi gari ikawa inaweka ukungu kwa nje nimejaribu kuwasha heater ta kioo haikubali ilichosaidia ni wiper inafuta kidogo but inarudi palepale, ukikutana na gari inayokuja imewasha taa huoni vizuri kabisa nimeenda nayo hadi sehem...
  17. Shobi

    Msaada: Mchanganuo wa Biashara ya Nyama ya Mbuzi

    Hongereni kwa mapambano ya uchumi. Nimefikiria kuanzisha biashara tajwa hapo lakini sina uzoefu sana kama baadhi yenu humu.Kibnafsi location ya kupata mbuzi ipo nje kidogo ya mji na location ya kuweka goli langu bado nipo kwenye upembuzi yakinifu. Naomba maoni nyenu Manguli wa biashara hii...
  18. 911sep11

    Msaada. Naomba picha za viwanda vilivyojengwa nchi nzima

    Hapo ulipo ndio panaitwa nchi nzima kwahiyo piga picha kiwanda kilichojengwa awamu hii uweke hapa. Msaada wadau naomba kuona picha za hivyo viwanda. Na bidhaa zake na zinako safirishwa johnthebaptist Maendeleo hayana uvyama ndani yake.
  19. Intrvt

    Changamoto kwenye Blockchain exchange nahitaji msaada

    Naomba kufahamu kama kuna mtu aliyeweza ku upgrade to gold level kwenye Blockchain exchange jamani. Nimepata challenge kwenye kuwa verified Kwa kutumia government issued ID (nilitumia voter's ID). Kama kuna aliyeweza kutumia passport au driving license pia naomba mwongozo, hii inanikwamisha...
  20. Mr Q

    Wajuzi, hii inaweza kuwa ni aina gani ya simu?

    Hizo n screenshot kutoka kwenye series inayoitwa HANNA season ya pili, episode ya 7 Hiyo simu ilionekana nikaiscreenshot kama hivyo. Sasa naomba kama kunamtu kwa huo muonekano anaweza kuitambua anipe jawabu Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom