msaada.

  1. K

    Msaada kwa ufaulu huu unaweza kusomea kozi gani nzuri

    Civics=C History=C. Biology=C Chemistry=C English=C. Kiswahili=C. Geography=D. Math=F. Div(III) point 22. 2019. Ushauri wenu muhimu wadau katika kufanya maamuzi
  2. Rolandi

    Msaada: Kuhamisha nyimbo toka PC kwenda iPhone 7

    Nashindwa kufanya hivyo, sio kwa cable wala bluetooth. Any suggestion?
  3. Tabutupu

    Zitto: Serikali imepika data ili kupata fedha kutoka IMF

    Kwenye website ya IMF Tanzania Jana imeupdate taarifa yake lakini inaonekana kama imepikwa kwa sababu hakuna serikali imefanya kwenye kuhakikisha uchumi hautetereki hasa kwenye SME. Angalia nakala ambatanishwa. TANZANIA Background. Tanzania has reported 480 positive cases, and 16 deaths of...
  4. Mukulu wa Bakulu

    Rwanda na Ethiopia waomba msaada Marekani kupambana na corona, Trump aahidi kutoa msaada

    Wenzetu wanapambana kwa hali na mali kusaidia na kuokoa maisha ya wananchi wao. Sisi tumeamua kukaa kimia raia wajifie wenyewe.
  5. Msukule Msafi

    Hivi kuna shida gani kwa makampuni ya Courier hapa Tanzania msaada katika hili

    Habari zenu wakuu bila shaka ni wazima wa afya nina suala moja hapa linaniumiza kichwa na kukwamisha project yangu nimeandaa nimeandaa platformya e-commerce utendaji kazi wake ni ule ule wa ALIEXPRESS kwa maana amekusanisha stores and viwanda mbalimbali kuweka bidhaa zao katika website yake...
  6. kalendi

    Msaada: Nahitaji kuingiza WhatsApp kwenye Ipad yangu

    Wasaalamu wandugu! Jamaa yangu kaniletea iPad sijui hata model haina WhatsApp. Nahangaika namna ya kuingiza yangu jana bado inanizingua. Msaada wandugu nifanyeje ili niweke WhatsApp?
  7. R

    Msaada LAPF kuhusu fao la kujifungua

    Habar zenu ndugu zangu?.Natokea wilaya ya Muleba, mkoani Kagera, naombeni msaada wa mawazo na muongozo kwa wale wanachama wa LAPF. Nilijifungua mwaka Jana 10/8/2018 nilijaza fomu na kuweka viambatanisho vyote kudai fao la uzazi. Tarehe 5/9/2018 barua zangu zilipokelewa ofisi za LAPF mwanza...
Back
Top Bottom