msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maana na sifa za maeneo ya kiutawala!

    Naulizia vitu hivi hapa wakuu; 1. Halmashauri ya wilaya 2. Halmashauri ya manispaa 3. Halmashauri ya mji 4. Halmashauri ya jiji 5. Maana ya 'halmashauri' Hili ni jukwaa la kujifunza na kuelimika, naomba nielimishwe kuhusu hoja hizo hapo juu ambazo mpaka sasa nazijua kwa mazoea tu ya kuzitamka...
  2. JamiiForums Tanzania Nawezaje kwenda Marekani?

    Habarini wakuu__nahitaji msaada wa mawazo ama ushauri au njia gani nipite ili niweze kufanikiwa kuingia marekani _bongo maisha magumu sana Kuna jamaa yangu yuko marekani kupitia yeye nataka namm nikanyage kwa biden Msaada ninao uhitaji kutoka kwako. Kwa upande wangu huku tanzania natakiwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kufanya usaili wa IT Security huko ajira portal msaada wa muongozo

    Wakuu habari, Nimeitwa usaili wa IT Security hivyo nimekuja kuomba muongozo ikiwezekana possible za maswali. Kuna hatua tatu, usahili wa paper, practical na oral. Je nifanyaje niweze kufaulu? Natanguliza shukrani
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Swali la Ufahamu

    Katika imani ya kikristo tunaambiwa Malaika Mkuu aliitwa Gabriel, baadaye malaika huyo aliasi nakugeuka kuwa shetani na Mungu alimfukuza katika kundi la malaika wake. Je kama ni sahihi watu kupewa jina la Gabriel ambaye ni shetani? Je kuna logic gani makanisa kupewa majina kama hayo? Nimepita...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna kinyama kinaning'inia sehemu ya haja kubwa, naombeni msaada

    Habarini wapendwa, naombeni msaada wenu, kipindi cha nyuma mimi niliwahi kusumbuliwa na tatizo la umeng'enyaji chakula, nilikuwa najisaidia choo kigumu sana, nikaambiwa na doctor kuwa nina tatizo kwenye mfumo wa umeng'enyaji chakula, chakula hakimeng'enywi inavyotakiwa, nikapewa dawa tatizo hilo...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu naumia sana, naombeni msaada wa ushauri

    Habari za sikukuu ya pasaka natumai wote ni wazima waungwana, niende Moja Kwa moja kwenye mada ni kwamba hapa kazini Kuna dada mmoja tulitokea kupendana sana Sasa juzi tukapishana kauli nikatikisa kiberiti mwenzangu kamwaga njiti kabisa. Nilikuwa nampima tu kwamba tuachane akakubali Sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada simu yangu inagoma kuinstall App nilizo download kwenye Google Chrome na nilizo rusha kwa njia ya Xender

    Nimeluhusu sehemu zote zihusianazo na security & install unknown apps. kila nikijaribu ku install inaandika hivi 👇 Msaada plz.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani kwa wanaojua kichina

    Kuna TV imekomalia hapa: Ni TV ya muda kidogo na manual haipo Tena. Kwa anayeweza kujua maana yake, msaada tutani please.
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kupata mafao yangu ya NSSF

    Habari wakuu, Kuna ajira fulani nilikuwapo nafanya miaka minne nyuma ambapo niliifanya kama 4 yrs nikaiacha bila utaratibu maalumu maana nilipata Safari ya ghafla nikaona mambo yasiwe mengi. Sasa leo katika kupekua pekua ID's zangu nimekutana na Card ile ya NSSF na nikakumbuka hawa jamaa...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada mwenye uzoefu/utaalamu na biashara ya chakula(mama ntilie)

    Habari zenu wapendwa, Tafadhali naomba kujua kiundani kuhusiana na biashara ya chakula cha kawaida(mama LISHE/ntilie) au tuiite biashara ya chakula cha bei nafuu, kuanzia sh. 1000 - 5000. Kwa mwenye uzoefu naomba kujua taswira nzima inavyokuwa, mf: 1. Mahitaji muhimu (vifaa nk.) 2. Namna ya...
  11. JamiiForums Tanzania Israel maji ya shingo yakiri bila msaada wa Marekani haiwezi kushinda vita dhidi ya Hamas

    Israel may not be able to destroy Hamas despite five months of intense fighting in Gaza, intelligence officials have admitted. The main objective of the Gaza invasion faces failure as international support turns against Israel, sources warned. Israel believes it has dismantled Hamas’s main...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Msaada Wapi naweza pata huduma ya VPS hosting

    Wakuu kwema? Wapi naweza pata kampuni zinazo provide VPS hosting. Kuna project zangu nimetengeneza na react na mern nahitaji ku deploy online Please nitashukuru sana
  13. JamiiForums Tanzania Msaada hii ni app gani?

    Wakuu naomba kufahamishwa hii app inaitwaje? Ni app kwaajili ya habari za michezo au ni kwaajili ya kununua tiketi pekee?
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo wakuu

    Ni kawaida shida huwa haipigi hodi naomba msaada hivi naweza kwenda bank ninayopitishia mshahara wngu nikazungumza na branch manager akaniwezesha kupata hiki kiasi 210k kwa makubaliano tu mshahara wangu ukiingia wachukue pesa yao
  15. F

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niache kununua malaya?

    Yaani nikishanunua na nikishakula mzigo kwa maana kusex na malaya najuta pale pale kwanini hii pesa nisingenunua msosi pale. Kwa mama nitilie au nisimpelekea kodi ya meza na mambo yakaenda? Kiukweli nasumbuliwa sana na uraibu wa kusex na kugegeda malaya mpaka imefika hatua imani yangu imeshuka...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada anayeifahamu Indeed

    Habari zenu ndugu zangu Mimi ni kijana wa miaka 23 na nimekua na matamanio ya kufika ng'ambo (ughaibuni) kwa muda mrefu Sana kwa sababu ya kupambana na hali ya kiuchumi (umasikini) Sasa katika pita pita zangu online nikakutana na jamaa mmoja anazungumzia website moja inaitwa Indeed na hii...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimetupiwa kipande nateseka mwaka wa 3 sasa, nahitaji msaada

    Habari wana jamvi, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ntaomba kuelezea kwa uchache changamoto ninazopitia kwa miaka 3 sasa. Ikibidi nitaandaa treads ya kusimulia mkasa mzima toka ulivyo anza mpaka hali niliyonayo kwa sasa. Nipende tu kuwaomba wale wenye itikadi za kidini kukaa pembeni...
  18. JamiiForums Tanzania Kujitegemea maisha kipindi nipo chuo cha afya bila msaada wa wazazi

    Kama mpo mlio weza naomba mnipe codes hususani kipindi cha rikizo
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa taarifa hizi za kujifungua Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Naomba mtu mwenye kujua gharama za kujifungua kwa upasuaji kwa Muhimbili ni kiasi gani? Na ikitokea mtoto kazaliwa njiti process zinakuwaje za kumweka kwenye chupa? Na gharama zake zikoje? Naomba mwenye uelewa anisaidie.
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kengele ya kufunga getini, isizidi laki 2

    Msaada wakuu, nakereka na hodi na mtu sina mpango kumfungulia. Sasa geti linapogongwa napata wakati mgumu kuacha au kufungua. Wakati mwingine hodi hizo ni fursa wakati mwingine ni kero na kuzipotezea. Hicho ndicho kitu hasa nataka. Screen ndogo, kengele kutoka getini kuja ndani kwangu. Wadau...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…