Nimetuma pesa kwa Wakala asiyestahili, naombeni msaada wa jinsi ya kumfikia

Joninho

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
559
611
Naomba msaada anaeweza kunisaidia kumfikia wakala huyu VODACOM LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506

Nililipia bidhaa nikakosea namba moja nikalipa kwake. Nimekosa msaada huduma kwa wateja hivyo kabla ya kuchukua hatua zaidi naomba anaeweza kumfahamu anisaidie wadau.

Umetuma TSh 135,000 kwenda kwa mpokeaji wa Vodacom LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506 - . Jumla ya Makato TSh 3,650. (Ada TSh 3,650, Tozo TSh 0), VAT TSh 557. Salio jipya ni TSh 15,585. Muamala: 408047296685. 18/04/24 13:14. Tafadhali subiri.LKS
 
Nilijaribu ku google
 
Attachments

  • Screenshot_20240420-083931.png
    Screenshot_20240420-083931.png
    209.7 KB · Views: 5
Naomba msaada anaeweza kunisaidia kumfikia wakala huyu VODACOM LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506

Nililipia bidhaa nikakosea namba moja nikalipa kwake .
Nimekosa msaada huduma kwa wateja hivyo kabla ya kuchukua hatua zaidi naomba anaeweza kumfahamu anisaidie wadau.

Umetuma TSh 135,000 kwenda kwa mpokeaji wa Vodacom LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506 - . Jumla ya Makato TSh 3,650. (Ada TSh 3,650, Tozo TSh 0), VAT TSh 557. Salio jipya ni TSh 15,585. Muamala: 408047296685. 18/04/24 13:14. Tafadhali subiri.LKS
Kwa hela kama hizo jitahidi uende physically huduma kwa wateja katika tawi au wakala mkubwa aliye karibu nawe ikiwa umejaribu tu kusolve tatizo kupitia kupiga simuWafanyabiashara wengi wameshatapeliwa na wateja wasio waaminifu ambao wanalipia halafu wakipata bidhaa wanasema wamekosea muamala hela zao zinarudishwa na wanatokomea mitini

Hivyo nenda katika Tawi husika na details zako, pesa yako itaridishwa tu kwani watajiridhisha kwa mwenye lipa namba husika kuwa hakufanya kweli biashara na wewe
 
Watu wanaweza kukusaidia kwa kupitia iyo number ya lipa hapo tukapata number yake ya simu ya iyo lipa tatizo linakuja kama amekusudia kukutapeli iyo pesa ata iyo lipa atakuwa amekwisha izima tayari, Je utampataje? Unaweza kusaidiwa kutrace mpaka nida yake then ukajua na namba zake za simu za mitandao mingine, tatizo ni kuwa pia gharama za tracking zinaweza kukaribia icho kiasi unachotafuta then ukamata na kumkuta ni mtu asiyeweza kurudisha gharama zako na sio mfanyabishara maana unatakiwa kujua saiv lipa namba zinagawiwa ovyo ata kwa watu binafsi ambao sio wajasirimali wala wafanyabiashara.
Pia, pesa inayokosewa kwenda kwenye namba za biashara kama lipa na Wakala huwa hazirudishwi kirahisi ni mpaka Wakala atoe ushirikiano kwaiyo kama pesa yako imezuiwa (hold) basi endelea kuwa mpole pesa yako itaridishwa wakati mwingine inachukua mpaka 7 days ikiwa wakala kawa mkahidi kutoa ushirikiano.
 
Hela yako utaipata tu ila mpaka mwenye lipa namba atoe ushirikiano kwa voda.

Mimi kuna mtu alikosea kulipa kama 140,000 sasa ile simu ya lipa niliizima.
Yule mteja akapiga huduma kwa wateja, wao wakanipigia ili kujiridhisha na hawakunipata.

Siku ya pili wakanipigia kwenye namba yangu nyingine ninayotumia na wakaeleza kuhusu huo muamala kama nautambua.

Nikawapa muda kidogo
kujiridhisha kisha tukamalizana, muamala uakarudishwa kwa mteja.
 
Umetuma TSh 135,000 kwenda kwa mpokeaji wa Vodacom LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506 - . Jumla ya Makato TSh 3,650. (Ada TSh 3,650, Tozo TSh 0), VAT TSh 557. Salio jipya ni TSh 15,585. Muamala: 408047296685. 18/04/24 13:14. Tafadhali subiri.LKS
BD73CRQ0OLX Confirmed. Tsh191,000.00 paid to LIPA MARTHA WILLIAN KIMISHA on 7/4/24 at 2:56 PM and charged Tsh2,000.00.New M-Pesa balance is Tsh6,874,371.00.

Ujumbe wa Vodacom ukilipa kwa simu unasomeka namna hiyo, wenye kiswahili pia wanaweza kutusaidia.... huu wa mleta malalamiko ni UPOTOSHAJI.
 
Mtoa Maada laini yake ni ya Tigo na inaonekana alilipa kwenda Voda mkuu
 
Wewe ni MUONGO.
Ujumbe wa Vodacom ukilipia bidhaa hausomeki UMETUMA TSH, bali UMELIPA kwa (JINA LAWAKALA)..... hata hiyo 'LKS' ni Lipa kwa Simu ya TigoPesa.
Hivi kwanini watu mnakuwaga wepesi kutoa conclusion pindi mnapoona sintofahamu yoyote kwenye maelezo?

Kwanini usitumie hiyo sintofahamu kuuliza maswali ka mleta mada kisha ukasubiria majibu/clarifications toka kwake?

Hizi conclusion sometimes zinafanya watu wanashindwa kupata msaada japo wana matatizo kweli. Hebu tujifunze kuhoji kwanza bila kwwnda kwenye conclusion moja kwa moja.
 
Aise mbona haukusema mapema! tayari nimeshazungusha round ya pili hapa Kidimbwi, wananiita molionare mpya mjini, Dah! Sa itakuwaje
 
Naomba msaada anaeweza kunisaidia kumfikia wakala huyu VODACOM LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506

Nililipia bidhaa nikakosea namba moja nikalipa kwake. Nimekosa msaada huduma kwa wateja hivyo kabla ya kuchukua hatua zaidi naomba anaeweza kumfahamu anisaidie wadau.

Umetuma TSh 135,000 kwenda kwa mpokeaji wa Vodacom LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506 - . Jumla ya Makato TSh 3,650. (Ada TSh 3,650, Tozo TSh 0), VAT TSh 557. Salio jipya ni TSh 15,585. Muamala: 408047296685. 18/04/24 13:14. Tafadhali subiri.LKS
Mkuu wewe unatumia mtandao gani?
 
BD73CRQ0OLX Confirmed. Tsh191,000.00 paid to LIPA MARTHA WILLIAN KIMISHA on 7/4/24 at 2:56 PM and charged Tsh2,000.00.New M-Pesa balance is Tsh6,874,371.00.

Ujumbe wa Vodacom ukilipa kwa simu unasomeka namna hiyo, wenye kiswahili pia wanaweza kutusaidia.... huu wa mleta malalamiko ni UPOTOSHAJI.
Sio mpotoshaji mkuu mm mwenyew natumia Lipa ktk biashara yangu,hapo jamaa katumia kulipa kwa Tigo kwenda Voda,ndo maana unaona ata makato ni makubwa elfu 3 na zaid ww hapo umetumia Voda kwenda Voda 191000 umekatwa 2000, namshauri angeenda mlimani city pale ataonana na customer care wa Tigo na voda ndo anaweza kupata msaada akipiga simu watatupiana mpira ingekua ametumia Voda kwenda Voda wangeublok fasta tu huo muamala ishatokea mteja wangu alikose airtel kwenda Voda laki 6 tulivyowapigia simu wakatupiana mpira alivyoenda mlimani city Voda wakaublok ule muamala bahat mwenye namba alikua hatumii ile line akarudishiwa lak 6 yake baada ya wiki ivi.
 
Ame kwambia ana kaa Dar ? Wabongo bhana
 
Naomba msaada anaeweza kunisaidia kumfikia wakala huyu VODACOM LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506

Nililipia bidhaa nikakosea namba moja nikalipa kwake. Nimekosa msaada huduma kwa wateja hivyo kabla ya kuchukua hatua zaidi naomba anaeweza kumfahamu anisaidie wadau.

Umetuma TSh 135,000 kwenda kwa mpokeaji wa Vodacom LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506 - . Jumla ya Makato TSh 3,650. (Ada TSh 3,650, Tozo TSh 0), VAT TSh 557. Salio jipya ni TSh 15,585. Muamala: 408047296685. 18/04/24 13:14. Tafadhali subiri.LKS
Wasiliana na vodacome pesa yako ipo.

Shida tu ni kuwa hii mitandao furaha yake ukiwa unatumia pesa zako kwa huduma zao lakini ukipata shida hakuna rangi utaacha kuona.
hawajali
Si tigo. Voda wala Halotel.

Nimeshapoteza pesa zangu kwa makosa madogo madogo na wala hakuna aliyejali.
 
Hela yako utaipata tu ila mpaka mwenye lipa namba atoe ushirikiano kwa voda.

Mimi kuna mtu alikosea kulipa kama 140,000 sasa ile simu ya lipa niliizima.
Yule mteja akapiga huduma kwa wateja, wao wakanipigia ili kujiridhisha na hawakunipata.

Siku ya pili wakanipigia kwenye namba yangu nyingine ninayotumia na wakaeleza kuhusu huo muamala kama nautambua.

Nikawapa muda kidogo
kujiridhisha kisha tukamalizana, muamala uakarudishwa kwa mteja.
Wabongo anaweza hata laini akaitupa kwa sababu ya laki na 40 tu
😂😂😂
 
Back
Top Bottom