msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii

    Habari Wana JF, Samahani nilikua naomba msaada jinsi ya kutangaza biashara mtandaonii kwa kutumia zile sponser au Kama Kuna njia nyingine yoyote ilimradi iwafikie watu wengi mtandaoni. Ahsanteni 🙏
  2. JamiiForums Tanzania Rangi wanazopaka wanajeshi mwilini wakiwa vitani huwa zinaashiria nini?

    Habari za Leo wadau wa humu ndani. Niende Moja Kwa Moja kwenye swali, mwenye uelewa anieleweshe. Rangi wanazopaka wanajeshi usoni wakiwa wanaelekea kwenye oparesheni za kivita huwa zinaashiria nini, au zinamaana gani?. Nawasilisha
  3. JamiiForums Tanzania Nyie kuna uhuni nimewanyia 1xbet sasa najuta naomba msaada

    Wakuu kwema, mimi mkamaria ninayetumia 1xbet, wakamaria kama mnavyojua tunakula sana za uso... Mimi siyo mwandishi mzuri tuvumiliane Siku moja nikakaa chini nikafikiria namna ya kupata pesa kupitia betting bila kuloss, niliziangalia sana odds za 1xbet kwa umakini nikagundua kuna mahala...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa kubadili umiliki wa umeme na maji unaponunua nyumba

    Habari za muda huu ndugu zangu, naombeni msaada wenu, nimenunua nyumba mwezi mmoja sasa hapa jijini dar es salaam, mita ya maji na lukuya umeme inasoma majina ya mwenye nyumba wa zamani (ambaye ameniuzia mimi), nilikuwa naomba utaratibu wa kufata ili niweze kubadili majina pamoja na namba ya...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Udhamini wa vipimo na matibabu

    Mambo vipi Wana Jf wakubwa kwa wadogo Natumaini wote wazima, mwenye changamoto yoyote MWENYE MUNGU ATASAIDIA, Nije kwenye hitaji au dhumuni langu, nimepata changamoto kidogo upande wa kushoto chini ya mbavu tumboni kunauma sana na kuacha, pia muda mwingine mwili unawasha unakuwa unajikuna Kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada namna na kuondoa watuamiaji kwenye router ya airtel 5G

    Habari wakuu, Nimenunua Router ya airtel 5G (smart box), nimejiunga kifurushi cha unlimited cha 110,000/- kwa mwezi, nimepata changamoto ambayo hata airtel wenyewe wameshindwa kunisaidia. Nimeona kuna tatizo kwenye kifaa chao mfano nilimuunga rafiki yangu kwenye simu yake ya Samsung s20...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: udhamini vipimo/ matibabu

    Mambo vipi Wana Jf wakubwa kwa wadogo Natumaini wote wazima, mwenye changamoto yoyote MWENYE MUNGU ATASAIDIA, Nije kwenye hitaji au dhumuni langu, nimepata changamoto kidogo upande wa kushoto chini ya mbavu tumboni kunauma sana na kuacha, pia muda mwingine mwili unawasha unakuwa unajikuna...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Msaada (live stream)

    Msaada kwa mtu anaye jua software au njia ya kufanya connection kati ya reporter anaye taka kurusha matangazo live from field to ONAIR studio... Equipment alizo nazo field: 1.pc 2.soundcard 3.mixing console 4.wireless mic
  9. I

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya Escudo

    Wadau poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Napenda kujua,maana mara nyingi escudo zenye shape hii,ona picha huwa ni v 6 cc 1990.Je kuna zenye Cc 1590. Na je kama watalaam wa magari mnanishauri kununua hiyo,maana ni gari ya zamani sana.Ninahofu upatilkanajinwa spare
  10. V

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa biashara ya kufanya

    Habari wanajamii Mnakumbuka nilileta changamoto yangu na hamkusita kunishauri vyema na sasa ule ushauri mlionipa umezaa Matunda Nawashukuru kwa kila mmoja wapo kwa kusoma story yangu na kutia chochote kitu Moyo ukapoa maana niliwaza mengi Sana kwa wakati ule Ila kubwa Zaidi nilijitahidi sana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania RC Makonda tunaomba msaada Tanfom Arusha wamejaza udongo kwenye barabara Moshono-Losirway

    Tunaomba msaada mkuu wetu wa Mkoa, nafahamu jinsi ulivyo na moyo wa kuwasaidia wananchi. Tanfom wamejenga ukuta kwenye eneo Lao jipya la moshono losirway, wamejaza udongo barabarani zaidi ya miezi miwili sasa hawajatoa. Kwa kweli tunapata shida tunapokuja usiku tunaachwa mbali na toyo inabidi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Mwenye version ya the Latest STANDING ORDERS FOR THE PUBLIC SERVICE anisaidie hapa au inbox

    Nina shida na kanuni za uumishi wa wartumishi wa serikali. (STANDING ORDERS FOR THEPUBLIC SERVICE, ). Ya mwisho ilikuwa ya 2009. Kama kuna latest anisaidie
  13. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa wakili mzuri aliyepo Sengerema, Mwanza atakayeweza kusaidia hili suala la NMB kugoma kutoa hati ya mteja wao kwa miaka mitano

    Ndugu zangu naomba tumsaidie huyu mama anayezungushwa na NMB kupewa hati yake aliyoitumia kama dhamana ya mkopo miaka 5 iliyopita. Naomba msaada wa kisheria kama kuna wakili humu ambaye yuko Sengerema, Mwanza anaweza kusimamia hili suala. NB: MKOPO UMESHALIPWA MIAKA 5 ILIYOPITA Pia soma...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusiana na swala la website

    Nahitaji kufungua website kwa ajili ya biashara. Nimepitia baadhi ya nyuzi tofauti tofauti kuhusiana na maswala ya website na aina zake nimepata mwanga angalau kidogo. Ila bado nina maswali kwa wataalamu, naombeni mnisaidie a] Nitajuaje kama website niliyotengenezewa na web designer kama ni...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta juu ya Mafao

    Habari wakubwa? Nina swali kwenye kunufaika na mafao. Mchangiaji anapofariki mwenza wake anaendelea kupokea mafao kila mwisho wa mwezi? Anapofariki na mwenza utaratibu wa yale mafao unakuaje ama ndio unakoma?
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini kutoa msaada ni ibada

    Watu wa dini, wasioamini Mungu, freemasons kupitia charity zao, wote wanaunganishwa katika jambo moja la kutoa msaada kwa watu wenye shida. Kutoa kwa kusukumwa na huruma kwa mwanadamu mwenzako ni ibada kamili iliyokamilika. Hii kazi ilipaswa kufanywa na Mungu mwenyewe aliyemuumba huyo mtu, wewe...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu wale wataalamu wa simu

    Kati ya hizi simu ipi itafaa Nokia G20_128gb 6 ram Vivo v20_ 128 GB 6 ram Redmi pocco X3 _128GB 6 ram Redmi note 12 5g_ 128gb 6 ram N.B zote nimeangalia features zake zaidi ipi iko vizuri wataalamu. Chief-Mkwawa
  18. JamiiForums Tanzania Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

    Kampeni za kuchangishana zimekua nyingi sana, wakiwa wazima mpaka wanajirekodi wakilawitiana, sasahivi ni kutia huruma tuu, watu maarufu wanapenda sana kuchangiwa na walala hoi
  19. A

    JamiiForums Tanzania Nimelipia cheti cha kuzaliwa hadi leo hamna, vijana walinihakikishia control number ikitoka tu basi

    Salaam kwenu wabongo wenzangu, Bila kupoteza muda naomba Kusaidiwa ushauri kama ifuatavyo; Ninataka cheti cha kuzaliwa cha binti yangu wa nje mwenye miaka 13. Nilipewa procedures kwamba niombe mtandaoni. Kwa kuwa nilikuwa bize ilibidi hilo jukumu niwape vijana ktk steshenari fulani...
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada: Nimeng'atwa na mjusi shingoni

    Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba. Naogopa kufa, bado sijapublish theory yangu ya Everything...naombeni msaada Jf doctor:Floshed:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…