Msaada juu ya Escudo

inspectorbenja

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
514
440
Wadau poleni na majukumu ya kulijenga taifa.
Napenda kujua,maana mara nyingi escudo zenye shape hii,ona picha huwa ni v 6 cc 1990.Je kuna zenye Cc 1590.
Na je kama watalaam wa magari mnanishauri kununua hiyo,maana ni gari ya zamani sana.Ninahofu upatilkanajinwa spare
 

Attachments

  • Screenshot_20240507_172701_Facebook.jpg
    Screenshot_20240507_172701_Facebook.jpg
    858.5 KB · Views: 5
Kama unaagiza nje tafuta model ya mbele yake au toleo la pili baada ya hilo. Utapata gari modern zaidi kwa bei almost ileile. Nkte kwamba bei ya hiyo model mtandaoni unaweza usiamini, labda ununue kwa mtu hapa hapa Tz
 
Cc 1.5 zipo mkuu
Kuhusu spare usiwaze hzo gari ni za zamani uko nje ila hapa zipo nyingi mno muulize masawe

Labda kma una factor nyingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom