msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa anayefahamu shule nzuri maeneo ya viwege

    Habari za wakati huu wakuu. Mwezi wa 8 tunategemea kuhamia kwenye makazi mapya maeneo ya Viwege msikitini. Nina wadogozangu wawili ambao mmoja yupo shule ya msingi na mwingine kidato cha tatu maeneo ya Mwananyamala. Kutokana na hali ilivyo tunatazamia kuweza kuwahamisha iliwawe karibu na...
  2. JamiiForums Tanzania Nina TV ya Samsung inch 43 android, inaniletea shida kiasi kwamba siwezi kuona chochote

    Habari ndugu zangu wanaJamiiforums......Nina TV ya Samsung inch 43 android, inaniletea shida kiasi kwamba siwezi kuona chochote. TATIZO: Nikiiwasha inawaka lakini ndani ya sekunde kumi inazima tena baada ya zingine kumi inazima tena. Inakuwa inafanya mchezo wa aina hiyo muda wote ambao inakuwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wenu kwa hili:

    Kijana wangu kamaliza form four Mwaka jana 2023. Kafanya vizuri Masomo yake yote ana div one B 6 na C 1. Alikuwa ana chukua Masomo ya science. Kachaguliwa kwenda kusoma tahasusi ya PCB. Yeye hataki anataka akasome EGM, je ina wezekana wakati hakusoma commerce wala accounts O level? Naomba...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika

    Habari wanajamvi Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
  5. JamiiForums Tanzania Nanusa harufu ya matukio

    je! inawezekana vp mtu kuendelea kutumia wtsp na kupost stutus mf hta mpka sa 8usiku while lst seen yake inanionyesha ni sa2? hta ukimtxt labda sa 3usiku utakutna na jbu asubuhi na atakuambia nimekujibu toka jna labda mtndao. Najua kwl mtandao unaweza kusumbua lkn inwezekena vp kuendelea kuona...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada link ya final NEDBANK CUP Mamelodi vs Orlando Pirates

    Wakuu msaada tafadhali wa link niweze kuangalia mechi hiyo kupitia simu.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Fangasi za korodani zimeanza kubandua ngozi na kutengeneza vijipele, msaada!

    Wakuu kwema. Hivi karibuni nilikuja humu kuomba msaada wa jinsi ya kutibu hizi fangasi baada ya kushindikana hospital Nimekuwa nikipewa dawa ileile kwa kila daktari nayemtembelea, nimeenda hadi kwa daktari specialist wa ngozi lakini dawa aliyonipatia ni kama niliyokuwa napewa na wengine...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jamani kijana wenu nimeaibika nahitaji msaada wenu ili kuyaepuka haya yasijirudie

    Wakuu heshima yenu, Mimi ni kijana Aged 27 sijaoa ila nina mchumba tangu mwaka 2020 ila bado hatujatambulishana makwetu, sina mtoto na wala sijawahi kumpa ujauzto manzi yeyote. Kilichonileta hapa Jukwaani ni kutaka msaada wenu kwa wale wakali wa hizi kazi ( Mambo ya kitandani). Iko hv Juzi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CDRB yatoa msaada wa mbegu za mahindi kwa waathirika wa mafuriko Rufiji

    Rufiji. Tarehe 29 Mei 2024: Kutokana na mafuriko yaliyotokea katika msimu wa masika mwaka huu, Benki ya CRDB imekabidhi msaada wa mbegu za mahindi zenye thamani ya shilingi milioni 50 kwa wananchi wa Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani. Benki ya CRDB imekabidhi kilo 7,148.857 za mbegu za kisasa za...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa mwongozo wa jinsi ya kufika Visiwa vya Comoro tokea Dar Es Salaam

    Habari Wana jukwaaa? Mimi ni mkazi wa dar es salaam Mwishoni mwa mwezi June ni matarajio yangu kufika visiwa vya COMORO nimeleta Uzi huu ili kusaidiwa kupata mwongozo jinsi ya kufika visiwa hivyo Yani nauli vigezo na masharti mpka kuingia visiwa hivyo kutokea hapa DAR ES SALAAM Ahsanteni...!!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kujisahiri Nest ( PPRA)

    Habari za mda huu Wakuu, Naomba kufahamu jinsi ya kujisajiri mfumo wa PPRA na jinsi ya kuomba Tenda , Nahitaji kujisajiri kama Electrical Contractor , Natanguliza Shukrani🙏
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: SSD 1080 PRO NGFF M.2 4TB Haifanyi Kazi Kwenye Laptop Yangu

    Habari wanajamvi, Nimenunua kifaa cha kuhifadhi data aina ya 1080 PRO NGFF M.2 SSD 4TB Kwa ajili ya kuongeza uwezo wa laptop yangu. Hata hivyo, baada ya kukifunga kwenye laptop yangu, haisomi ingawa inaonyesha kuwaka kama kawaida. SSD iliyokuwepo awali ni ya 128GB M.2 NGFF ambayo niliinunulia...
  13. JamiiForums Tanzania Wanasheria naomba mpitie na hapa pia tunaomba msaada na mawazo yenu kisheria

    Habari wakuu, nna jamaa yangu alikuwa anafanya Kazi kampuni tuiite X, lakin kampuni X ime outsource position yake kwenye kampuni Y ambayo kampuni Y ndo iliyo muajiri na kumpa mkataba na inahusika na issue zote za Mambo ya HR. Sasa katik Kazi kuna mengi kampuni X inamshutumu jamaa ameisababishia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua watengenezaji au wasambazaji wa mfuko wa AM

  15. JamiiForums Tanzania Kwa anayemfahamu mgonjwa aliyepo pichani atoe taarifa

    Kama picha inavyojieleza
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba njia sahihi ya kukataa uteuzi wa rais bila kumkasirisha Rais

    Sio utani. Wakuu heshima kwenu. Vyanzo vyangu vya uhakika kabisa ambavyo vingine viko kwenye jungu la ushauri la uteuzi wa rais vimeniambia ndani ya wiki moja mpaka mbili jina langu litakuwa moja katika mabadiliko fulani fulani katika uRC na uDC. Nimeambiwa kwa uhakika kabisa kuwa kuna...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama kwenye ununuzi wa nyumba

    Naomba kujua ukinunua nyumba, zile garama zinazotumika kuandaa nyaraka au kumlipa mwanasheria zinajumlishwa kwenye gharama za ununuzi au ni matumizi gani?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwenye hili

    Habari wanajamvi. Nimekuwa nikikabiliana na woodworms (wood borers) kwenye miti na mbao hasa ni wale long-horn beetles wadudu wanao kula mbao kwa muda mrefu kwa kutumia aina tofauti todfauti ya viuatilifu ikiwemo Dichlorvos(DDV), Chloropyrifos(Colt) na Imidacloprid (Twiga Prid) bila mafanikio...
  19. X

    JamiiForums Tanzania Ujerumani na Italy zakataa mpango wa NATO wa msaada wa silaha kwa Ukraine kushambulia ndani ya mipaka ya Urusi

    Katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amezitaka nchi za NATO kuipa silaha Ukraine ili ishambulie ndani ya mipaka ya Russia hasa military targets. Mpango huu umekuja baada ya Ukraine kutembezewa kichapo cha kutosha kutoka kwa Russia na majeshi ya Russia kuzidi kusonga mbele kuelekea mji muhimu wa...
  20. JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba kujua kuhusu shule ya Turkish Maarif School Of Zanzibar

    Habari wanaJamiiForums! Naomba nisiandike mengi, naomba kupata taarifa kuhusu shule Turkish School of Zanzibar. Natamani kujua mazingira ya shule, ada na mengine mengi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…