msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napata discomfort upande wangu wa kushoto

    Naomba mnisaidie wadau, Mwaka jana nilipatwa na tatizo la shinikizo la juu la damu lakini wauguzi walinishauri na kuniambia ni tatizo la kupita hamna haja ya kutumia dawa za presa lakini kwa sasa ni takribani mwaka sasa kuna maumivu kwenye upande wangu wa kushoto. Maumivu hayo huwa nayasikia...
  2. John kirua

    JamiiForums Tanzania Msaada: naomba ushauri.

    Mjumbe wa mtaa kaniletea barua ya wito naitajika kwa afisa mtendaji. Barua imeandikwa naitajika kwa 7bu ya kutolipa ela ya takaa Nimeshindwa kujua kwanza mm ni mtumish wa serikalini pia nipo single naishi mwenyewe nipo busy hata muda wa kushinda nyumbn sina mwez au wiki sirudi nyumbn kutokan...
  3. Faana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba mwenye hii audio kamilifu anisaidie

    https://www.facebook.com/reel/1203968907588101
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada jinsi ya kufungua simu bila kureset, nimesahau pattern (aina ya simu ni lg velvet 5g

    Kama inavyojieleza hapo juu simu yangu nimesahau pattern na sitaki kufuta vitu vilivyomo, msaada kama naweza kuifungua
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mzalendo kwanini ukatae msaada wa uchunguzi kutoka Scotland Yard?

    Kama wewe ni mzalendo kwanini ukatae msaada wa uchunguzi kutoka Scotland Yard Je unafurahia utekaji kwasababu tu si ndugu yako kapotea au chama chako? Hata kama vyombo kweli vinafanya uchunguzi kuna shida gani kusaidiwa? Hasa pale ambako kuna wasiwasi vyombo vyetu vinahusika. Soma pia...
  6. Praying mantis

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata story ya nyuma

    Wakuu habari ya majukumu Naomba mwenye story ya yule jamaa wa biashara ya Uba antag please nashida nayo
  7. Intricate

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA ili kupata nakala ya maandishi katika daftari la ndoa

    Habari, Kwa mwenye kujua gharama za kusajili cheti cha ndoa RITA tafadhali pamoja na process zake. Natanguliza shukran za awali.
  8. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: Naomba Kujua software inayotumika kuingiza maneno ( KUTAFSIRI) video iliyo kwenye lugha nyingine inaitwaje?!

    Kichwa Cha habari hapo wakuu kinajieleza nataka Kujua Hawa wakina Mpemba og, side kama side Huwa wanatumia software gani kuingiza maneno Yao ?!? Nawasilisha swali na kama hujui kama Mimi Kaa kimya .
  9. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Msaada naomba makadirio ya malipo App yenye download 10k

    Habari zenu wakuu, Nimekuja kwenu wadau naomba msaada wenu kwa wamiliki wa App huko play store nataka nijue App yenye download watu 10k na watumiaji active 10% malipo yake huwa kiasi gani kwa makadirio kwa mwezi. Nimesikia Admob wanalipa sana na ndio mana nimekuja hapa ili nipate taarifa kwa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

    Mimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa. Mimi alikuwa ashaniharibu kisaikolojia na unavojua akili za utoto zile, nikafikirigi ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Anaomba msaada wa hii kozi tafadhali

    Kuna binti kamaliza form six mwaka huu kaomba chuo kapata vyuo viwili na alikuwa anasoma PCB kapata UDSM na UDOM lakini kozi aliyopata ndo haelewi kozi yenyewe ni Aquaculture vyuo vyote viwili kapata kozi iyo ss anauliza vp iyo kozi ajira zake zimekaaje
  12. herrera

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuunganisha sound bar

    Jamani naombeni msaada namna ya kuunganisha sauti ya kwenye tv niwe naisikia kupitia sound bar
  13. appoh

    JamiiForums Tanzania Msaada jins ya kuisajir dawa yangu ya bawasiri

    Habarini za muda huu Najua jamii forum ni forum yenye watu wa nyanja mbali mbali sasa nimekuja hapa kuomba msaada wa namna gan ntasajir dawa yangu ya kutibu bawasir ili nianze kuifanyia PA na kuibrand Dawa yangu imekua na mafanikio makubwa katika kutibu bawasir imewatibu watu weng waliokata...
  14. chibe dayo

    JamiiForums Tanzania Msaada wanna jamii forums

    Habari, Wanandugu naomba kujua sehemu gani naweza kupata beef fillet kwa bei chini ya elfu 15 popote pale ntafika kwa sasa Arusha. Asanteni
  15. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mambo gani yatanisaidia kushinda katika kesi yangu?

    Habari Wana JF, naombeni msaada wa kisheria. Mwajiri wangu alinivunjia mkataba bila kunipa barua yoyote yakuniachisha kazi, nilipewa kesi ya wizi ambapo alinipeleka polisi, lakini hakupeleka kesi mahakamani, baada ya kutoka polisi nilienda kituo cha haki za binadamu, nikapewa form za CMA...
  16. bint white

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu Kuvunjiwa mkataba

    Habari zenu humu
  17. Akotia

    JamiiForums Tanzania Msaada kutuma kahawa Marekani

    Habari za mchana jamii, Nina tatizo la kutuma kahawa ya Kilimanjaro kwa rafiki yangu aliye Marekani. Nimejaribu kutumia huduma za posta lakini wameambia ni lazima niwe na leseni hata kwa kiasi kidogo kama 400g ya kahawa. Hali hii ya urasimu inakera sana na inafanya iwe ngumu kwa sisi Watanzania...
  18. switmumie

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada katika hili la kununua nguo

    Habari za asubuhi wapendwa. Yaani nimeamka na mawazo sana nikaona nije huku kutaka msaada wenu yawezekana mm ni mshamba eneo hili. Juzi nilinunua nguo duka fulan maeneo ya Sinza kulikua na sale hizi nguo za Uturuki kwa sale ya sh laki1. Katika nguo zilizokua kweny sale atleast ile kwangu ndio...
  19. Candela

    JamiiForums Tanzania Msaada kontena kutoka South Afrika kwa Roli

    Kontena 20ft, kulitoa south mpaka bongo bei gani kwa roli wakuu. Likiwa na mzigo full. Natangulizw shukrani.
  20. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupima ubora wa bidhaa kabla ya kuagiza mtandaoni?

    Habari za huku wakuu kuna mdau huku aliwahi agiza bidhaa na mzalendo cargo nataka kuagiza godoro nauliza ili nijue ubora maana bei zao ni za kizalendo kweli kweli
Back
Top Bottom