msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa bei ya chicken wire kwa bei ya jumla

    Habari za wakati huu GTs, Naomba usaidizi ni wapi wanauza chicken wire kwa bei ya jumla. Nipatikana Mwanza
  2. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Msaada kuhusu simu za Samsung

    Habari ndugu zangu? Nisaidieni kujua ni simu gani nzuri kati ya Samsung S series na Note series na vipi kati ya S10+ na Note 10+ ipi ni nzui?
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa Namna ya Kutengeneza Mtindi

    JF Wataalamu wa Mapishi mko pouwa? Mimi ni mdau wa maziwa, mara nyingi nimekuwa nikimwaga maziwa kwakuwa nashindwa kuyanywa kwa wakati Nimeona ninusuru hali hiyo kwa kuyatengeneza kuwa Mtindi Naombeni Msaada wa Namna bora ya Kutengeneza Mtindi kutoka kwenye Maziwa mabichi ya Ng'ombe. Nataka...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada kutoka xwa JF wajenzi

    Huo ufa hapo kwenye dirisha unasababishwa na nini na ni ipi njia sahihi ya kujenga ili kuzuia nyufa za aina hiyo kwenye dirisha
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Uume kupinda ni tatizo au kama ni tatizo msaada please

    Uume wangu huwa unapinda nikisimamisha yaan unakuwa kama unakata kata kona je hata style zingine kwenye mechi nashindwa kufanya je ni tatizo na kama ni tatizo msaada kwa watu wanaofahamu hii shida na pia unakuwa mzito nikisimamisha kwenda juu au ni hali ya kawaida
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Wataalam wa maji

    Naomba kusaidiwa Nimejenga water tower yenye height ya mita 3.5 nimeweka tank la lita 5000 inlet line size yake ni robo tatu na outlet line size yake ni inchi moja na nusu, water tap ni 4 za (2 za nusu inchi na 2 za robo tatu) lakini changamoto ni kiasi cha maji yanayotoka kwenye water tap hizo...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Programmers naomba msaada kwenye hili

    Wakuu kama kuna mtu anatumia Python anisaidie script ya code ambazo zinaweza kutengeneza namba na herufi ila kwa mfumo fulani; Kwa mfano '6XWE217 ' '6WTY54' Mimi ndiyo naanza kujifunza'
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata ussd l/mmi code za Samsung Z fold 2

    Kwa wataalam sinu tajwa hapo juu siwezi ingia menu ya huduma mtandao husika mfano mpesa huduma za voda inaandika error na inakubali kuangalia salio pekee
  9. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa taratibu za kusafirisha asali Ulaya

    Habari za wakati huu wana jf. Naombeni msaada nataka kusafirisha asali nje ya nchi nipeleke Ulaya, je natakiwa kuanzia wapi kufuata taratibu ili nisisumbuliwe bandarini. Najua jukwaa hili kuna wafanyabiashara hii biashara pia Naombeni muongozo wenu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya Electrical Engineering na Bachelor of Science in Digital Content and Broadcasting Engineering nichaguwe kipi?

    Naomba msaada nimechaguliwa udom kusoma broadcasting engineering na electrical saut je niende wapi kwa better future
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo hana msaada kwa Nay Wa Mitego?

    Nimefuatilia sakata la Ney wa Mitego na BASATA toka limeanza sijaona kabisa Naibu Waziri akiwa na msada wowote kwa msanii husika. Nini shida, sheria gani aliyovuja Ney kwa wimbo wake wake Nitasema?
  12. JamiiForums Tanzania Msaada Sony xz1

    Habari wakuu. Napata shida kutumia simu aina ya Sony xz1. Kila nikitaka kununua kifurushi inatakiwa niwashe data. Hata kama nabonyeza menu ya M PESA (*150*00#) JE NIFANYEJE?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Connection ya kibarua chochote

    Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote ili niweze kuisadia familia yangu nikiwa na maana ya mke na watoto pamoja na mzazi wangu ambae ni mjane. Elimu yangu ni form 6 ila pia najua kutumia computer. Hata kama ni kibarua cha kulipwa kwa siku nipo...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Main Switch inajizima yenyewe

    Habari wana JF. Leo toka asubuhi home sina umeme. Kwenye mida ya saa tano asubuhi Uemme wa Tanesco ulikuwa unakatika na kurudi baadae main switch ikajizima. Sasa kila nikiiwasha bado inajirudi kuzima. Naulizia waataalam wa umeme shida ni nini. Na nifanye nini ili iweze kurudi kawaida?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Siwezi kupata access ya WhatsApp account yangu

    Habari wakuu, nimepata changamoto baada ya kuinstall whatsapp kutoka playstore. Na ni official application ila inaniandikia hivi. Sasa wakuu naombeni msaada wenu. Na hata nikienda kwenye hiyo website yao, nikipakua app inaniletea taarifa hiyo hiyo.
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa shule nzuri ya boarding kwa mtoto wa kike

    Habari, kama kichwa cha habari. Msaada wa shule nzuri kwa mtoto wa kike boarding O level. Nataman sana za kikatoliki kwa anaejua. Pia na connection naomba tafadhali. Asante.
  17. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeuza nyumba, niliyemuuzia hataki kunimalizia fedha yangu mwezi wa nne huu, nikiuza tena kuna kosa?

    Wakuu, nilitangaza kuuza nyumba yangu na nikaletewa na dalali mteja. Mteja huyo akaomba kulipia nyumba hiyo kwa installment mara tatu. Awamu ya kwanza ilikuwa tarehe 23/12/2023. Awamu ya pili ilikuwa iwe mwezi wa tatu lakini alichelewa akanilipa mwezi wa tano. Na malipo ya mwisho alitakiwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu juu ya safari ya train kutoka mbeya kwenda Dar es Salaam

    Habari wakuu naomba msaada wenu kuhusu safari za train kutoka mbeya kwenda Dar es Salaa. Ni lini inatoka mbeya kwenda DSM. Zote zikiwemo express na ordinary. Mbeya linaondoka siku gani? Msaada please.
  19. JamiiForums Tanzania Msaada jamani biashara yangu inakufa

    Kwa ufupi niseme tu hapa nilipo sielewi kabisa nimepigana sana mpaka kufika hii hatua niliyonayo, toka barabarani mpaka kumiliki ofisi, kama mnavyojua kusimamamisha biashara sio jambo ndogo. Japo nilianza hii biashara ila nilijipa muda wa miaka mitatu kwamba labda ndio naweza kuona mwanga...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya ku re-apply chuo cha Muhimbili?

    Jinsi ya ku re-apply chuo cha Muhimbili, maana kwenye akaunti yangu niliyoombea sioni sehemu ya ku re-apply.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…