Sisi Wafanyabiashara wadogowadogo tuliokuwa tukifanya shughuli zetu za biashara katika eneo lililopo jirani na ofisi za World Oil eneo la Tungi Mnadani, Kigamboni hapa Dar es Salaam.
Tulianza kufanya biashara kwa takribani miaka miwili iliyoputa na tukajenga vibanda vyetu eneo hilo, tulitumia...
Habari wanajukwaa
Mimi ni kijana wa miaka 23
Jina ni Rajab
Makazi ni Kwa Aziz Ali, Dar es salaam
Elimu nimesoma hadi kidato cha sita kisha nikaenda chuo.
Nimehitimu chuo mwaka huu (Lakini sitaweza pata cheti wala kufanya mahafali hadi mwakani juu ya changamoto zilizonitokea ikasababisha...
Habari ndugu zangu matumaini yangu ni kuwa mu wazima wa afya na kama kuna changamoto yoyote usikate tamaa ndio ubinadamu.
Leo nilikua siko poa, na mara nyingi napokua katika situation kama hii napenda kusikiliza mziki au kusoma bibilia ili kurudi kwenye mood.
Sasa leo katika kusoma kwangu...
Habari zenu,
Poleni na majukumu. Natumia televisheni ya Rising pamoja na king’amuzi cha Azam TV. Mdogo wangu alibonyeza kitu kwenye rimoti, na sasa picha kwenye televisheni inajikata pamoja na menyu ya Menu.
Naomba msaada, nibonyeze wapi ili nirekebishe tatizo hili?
Ahsante sana!
Hello wakuu
Nina program ya mafunzo ya kutengeneza vitu mbalimbali vya umeme (Repair and Maintenance) Simu, Kompyuta kwa vijana waliokosa njia mbadala ya kujipatia kipato. Ninaomba kama kichwa cha habari kinavyojieleza msaada wa mtu yoyote mwenye mawasiliano ya wahusika wa Kitengo cha TEHAMA...
Nimekuja kwenu wadau natafuta msaada Kuna shida imetokea wakati najaribu kuverify account kama vile wanavyotak nimejaribu kwa kitambulisho cha taifa nida, leseni, bank statement naona wanakataa Google developer sijui wanataka Nini
Msaada account yangu ipo suspension
Msaada kwa mwenye uzoefu
Kuna chuo kinaitwa Ebonite cha Kimara Bucha kinatoa Diploma ya Ualimu kwa Kiswahili.
Hii diploma ni halali na nikitaka kuthibitisha uhalali wake nafanyaje!?
Habarini wenyeji wangu.
Kwa mwenye kuzijua ofisi za Tume ya maendeleo ya Ushirika TCDC Dodoma anielekeze na kama una chombo cha moto kama boda boda anipeleke asubuhi hii majira ya saa mbili.
Bila shaka familia ya JF, wote mko salama.
Nisiwachoshe, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni miongoni mwa wale wa "pangu pakavu," lakini namshukuru Mungu kwa kunijalia uhai na afya njema.
Najua humu ndani wengi wenu ni wenye vipato vikubwa, lakini naomba msisahau kuwa hata sisi...
Wadau nahitaji Showcase/display fridge ya lita 300-380, kwa ajili ya biashara..
Nikinyoosha sana mkono Naishia 1.5M, kulingana na Brand na ujazo.
Brands ninazoziwaza ni kati ya
Midea
Haier
Hisense
Westpoint
Bruhm au
Von,
Ninacho omba kujua kwa wazoefu, kuna za mtumba Nyingi tu kama LG...
Hii email ni muhimu maana ndio naendesha blog,website na mambo mengine mengi ya kibiashara.
Niliweka 2 step verification,Sasa inadai inatuma notification nibonyeze yes lakini haiji notification yoyote na mbaya zaidi hizo njia zingine kama passkey Sina access nayo ,na hata namba ya simu...
Nilikuwa naongea na watoto (wanafunzi) kama 100 hivi. Basi katikati ya maongezi ikanijia chafya, nikaziba mdomo tu nilijua kuwa sina tatizo lolote na ni chafya ya kawaida tu kama zile zingine. Ajabu ni kuwa nilipopiga tu ile chafya lilitokea pande kubwa puani la kamasi mbichi na nzito sana...
Toyota, wakongwe kutoka Japan waliokataa kuingia EV miguu yote, wamezindua EV sedan inayoitwa BZ7.
Tukumbuke BZ ni series ya EV kutoka Toyota ambazo amekua akishirikiana (co-develop) na Mchina.
This time, BZ7 ameshirikiana na GAC na kutumia battery za BYD.
Sida zaidi hatujapewa ila kwa...
Habari zenu ndugu zangu,
Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia
Naombe ushauri wenu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.