msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu fixed account

    Habari za muda huu wakuu, Mimi ni kijana kama vijana wengine wapambanaji,ila changamoto nayopata kuhusu uhifadhi wa pesa ni kubwa mno. Nimefungua akaunti benki kadhaa ila nikipata shida kidogo naenda kutoa pesa achilia mbali makato yao hii hali inanifanya pia nitimize malengo kwa muda mrefu...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: 2grfse (Crown Athlete), inalia knock kwa mbali sometime hailii kabisa na iko fresh, engine power haipungui.

    Habari wadau, Nimekwama hapa, mana hakuna check engine light inayowaka. Gari inalia knock kwa mbali lakini nikiwa naendesha, huwa inapotea, ila nikisimama naanza kusikia mlio wa knock. Saa nyengine nikiwa idle, hakuna mlio wa knock kabisa, engine inanguruma vizuri tu, na sometime ikiwa idle...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta eneo la Car Wash Dar

    Hello wanjamii Kwa mtu yeyote ambaye anafaham sehem ambayo ipo sehem nzurii Kwa car wash hapa JIJINI DAR es salaam anifahamishe. Kuhusu vigezo Nataka iwe sehem ambayo ipo road inafikika kirahis na mtu anaweza kujua kama Kuna biashara ya car wash. Ikiwa center itakuwa vizurii zaidi sehem ambayo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA; ushauri wenu nahitaji kupanga chumba

    Ndugu zangu watanzania wenzangu habari zenu. Nimechoka life la kuishi kikolabo na rafiki yangu katika utafutaji wa maisha Sasa naona kuwa wakati sahihi wa kwenda kuanza life langu nikijitegemea Kwa kila siku yaan independent Sababu ya kuja katika jukwaa hili ni kuja kuomba ushauri skills and...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hizi Terms and conditions za UTT AMIS naziona kama kandamizi, msaada kwa anae elewa zaidi anifafanulie

    Baada ya kushauriwa na rafiki yangu kuhusu uwekezaji katika mifuko ya pamoja na kunielezea juu ya UTT AMIS nimevutiwa juu ya hili na kutaka kufahamu zaidi kuhusu UTT AMIS. Katika harakati za kutafuta maarifa kuhusu UTT AMIS nikaperuzi kwa site zao niweze ona pia vigezo na masharti walivyoweka...
  6. JamiiForums Tanzania WB Yaikopesha Tanzania Bilioni 284 Za Kuimarisha Jinsia na Kukabilina na Ukatili

    Mara zote naunga mkono Serikali kukopa na Kwa kweli Iendelee kukopa Kwa sababu Nchi zote zilizoendelea zinakopa sana. Hoja ni aina gani ya mikopo? Mikopo ya dizaini hii sikubalini kabisa. Aliyeelewa jinsi huo Mkopo utatekekeza hayo mambo anisaidie.👇👇 --- Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa mbinu ya kuruka Mtego

    Iko hivi wadau, kuna Manzi mimi nilikua namuimba.. Karuka, na kudai tuwe marafiki. Nikaforce sana huo urafiki badae nikakata tamaa alikua anakwepa tusionane. Zilipopita kama week tatu, nikampandia hewani tena, kubembeleza, nikaona respond ipo kidogo Sasa Leo nimeenda kwake Manzi, na...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada gharama za ujenzi wa nyumba ya floor moja ikiwa boma bila finishing

    Nyumba Ina master bedrooms 2 cinema room kitchen dining , lounge na Stor kwa ground na floor ya juu Ina 3 master bedrooms office na stares kadhaa naomba wenyekua na expérience na ujenzi wanisaidie ili niingie mzigoni bila kua na wasiwasi … ni Makadirio ya boma tu bila finishing maana sijapata...
  9. JamiiForums Tanzania Nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu

    Habari kaka Magical power Samahani sana nimekuja kwako nahitaji Msaada. Mimi mpaka hapa nilipo nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu.ila Nina mpenzi wangu wa muda mrefu tunapendana Kwa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu gmail

  11. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka ku-renew password akaunti ya Yahoo email

    Mambo vipi wadau nimekua na account ya email ya yahoo Kwa muda ila Kuna siku mwaka Jana nilitaka kulogin ikakataa kwamba password sio yenyewe nikajaribu kuforget password ili ni renew ikadai code zitatumwa kwenye namba ya simu niliotumia kusajilia account nilishindwa kwasabqbu namba niliotumia...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza namba ya simu ambayo ilitumika kujisajil katika mfumo wa NACTE

    Nimepoteza namba ya simu ambayo ilitumika kujisajil katika mfumo wa nacte (AVN) na kwa sasa nashindwa kupata password ya kuweza ku log in katika account yang na nna uhitaj sana wa kupata AVN number kwa yeyote mwenye uwezo tafadhal naomba anisaidie
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishwa kutoka kwenye ualimu nikaenda ustawi wa jamii?

    Naomba msaada plz. Mimi nmesoma Elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamii, hivi Kuna uwezekano wa kubadilishiwa muundo kutoka kwenye ualimu nikaenda kufanya kazi Uastawi wa jamii au maendeleo ya jamii? , na je maendeleo ya jamii scale yao ya mshahara ni zaidi ya ualimu? Naomba kueleweshwa kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Damascus: Urusi imeanza kuwaondoa wanajeshi wake nchini Syria kwa msaada wa Uturuki

    Shirika la Habari la Serikali ya Syria,SANAA limeripoti kwamba,Msafara wa wanajeshi kadhaa wa Urusi pamoja na vifaa vya kijeshi vimeanza kuondoka nchini Syria. Video kadhaa zimeonesha msafara wa magari ya kijeshi ikiwemo mifumo ya ulinzi wa anga aina ya S-300/400, Vifaru aina ya T-64 na Magari...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Screen mirroring Television ya LG

    Habari wakubwa, moja kwa moja kwenye mada. Kuna Tv aina ya LG yenye specifications zifuatazo Model no : Lg 43LM6300PVB 0A1L00B2 (370/550) Power : AC 100-240V ~ 50/60 Hz/ 68 W Serial no : 001EGVJML759 Manufactured January 2020 Nahitaji msaada namna ya kufanikisha 'screen casting' kwa kutumia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Urusi inaomba Msaada wa Uturuki ili kuwaondoa wanajeshi wake kwa usalama nchini Syria

    Wanaukumbi Moscow anaomba msaada kwa Mturuki baada ya kuzingirwa na vikosi vya waasi. ========== Russian troops have requested Turkey’s support for their safe exit from Syria following a lightning Islamist-led offensive that resulted in regime change, CNN Turk reported Sunday. The broadcaster...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nakosa mood na ari ya kuendelea na masomo, naombeni msaada wa kimawazo

    Hello guys wa jf tumekua tukishauriana vingi na nilitamani tena mnipe mawazo. Nipo chuo diploma ya kwanza IT chuo Fulani Nina umri wa miaka 20 ila kadri siku zinavozidi kwenda sio siri napoteza muamko na kusoma na Kuna changamoto ambazo ninazo binafsi za kiafya ambazo ni ngumu kuajiriwa au...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Msaada, Nahitaji ardhi Songea ambayo haijawahi limwa

    Samahani wadau ninasikia songea Kuna ardhi haijawahi limwa na inauzwa kama Kuna mtu ana uwezo wa kunikonect naomba anisaidie nipo iringa.
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa Haraka; RC Makonda Asaidiwe Kisaikolojia ana tatizo Linamtesa na Anajidanganya kwa Drama

    Kama Mtanzania na niseyependa mtu apogee au apoteze wengine naomba hili lifanyike. Makonda amesikika kama kawaida yake kuropoka maneno yenye utata kuwa Rais Samia anaongoza hapa nchini kwa kurogwa sana na pia karudia tabia ile ya kulialia hovyo hadharani kwa kivuli cha kufanya maombi na...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada VPN

    Habari wanajamii naombeni mwenye kufahamu jina la vpn nzuri ambayo ni free maana napata taabu sana kule mtandao X(Twitter) kwenye mijadala pale space,ahsante.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…